Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Ni galfrd wa rafiki yangu kipenzi ambae 2mekua 2kisaidiana v2 mbalimbal tangu utoton,nlianza kuzoeana na huyu galfrd wake tangu mwaka 2009,mazoea yakawa mazoea,cku ya kwanza alinambiaga anataka kumuacha mshkaji na kuja kwangu,me nikadhan ni utani,ckutilia maanan,cku ya pili tena akanambia hvo hvo,nkachukulia ni utani,leo kani2mia txt anasema eti nimuelewe kwa anacho nambia as ye yuko serious...sasa wakuu,nifanyaje hapa,maana me ctaki kabisa kukosana na rafiki yangu kisa msichana??