Ushauri wa dharura:Girlfriend wa rafiki yangu ananitaka..

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
Ni galfrd wa rafiki yangu kipenzi ambae 2mekua 2kisaidiana v2 mbalimbal tangu utoton,nlianza kuzoeana na huyu galfrd wake tangu mwaka 2009,mazoea yakawa mazoea,cku ya kwanza alinambiaga anataka kumuacha mshkaji na kuja kwangu,me nikadhan ni utani,ckutilia maanan,cku ya pili tena akanambia hvo hvo,nkachukulia ni utani,leo kani2mia txt anasema eti nimuelewe kwa anacho nambia as ye yuko serious...sasa wakuu,nifanyaje hapa,maana me ctaki kabisa kukosana na rafiki yangu kisa msichana??
 
Tena Mkuu unataka ushaur gani mzuri zaidi ya dhamira yako apo kwenye red?
 
Acha uzembe wewe, haihitaji hata kutumia nguvu kuresist kitu ka hicho unless na we unapenda. Chukua hatua mapema coz siku rafiki yako akijakuona hizo msg mtaonekana wabaya wote na zaidi wewe!
 
mi na binamu yangu huwa tunashare wanawake....lakini kuna wanawake ambao wapo off limit ambao mimi siwezi hata kuomba mzigo na yeye hivyo hivyo...kama rafiki yako anampenda huyo demu aise usiguse chalii yangu kama ni wa juujuu we piga alau umwambie jamaa yako kuwa huyo demu sio.
 
Senator inabidi uoneshe msimamo wako kwa huyo dada.... believe me you ungeonesha kua uko firm na kwamba hu-entertain huo upuuzi asingethubutu... sasa inaelekea hata wewe umemuonesha wamuonea imani kuhusu hayo matakwa yake....
 
Ndege hutua mti aupendao, ndege ametua kwako kwanini umfukuze?. We tia kazi chalii.
 
We vipi, Unakuwa na mazoea na demu wa mwenzio? Mbona hatari mzee. Achanae hana msimamo utakosana na mchizi bure.
 
Kapige mpini hako kademu then ukamwage na inabidi umwambie rafiki yako aachane nako kabisa. Kunguru hafugiki.
 
inaonyesha,hujazoea kutongozwa,vitu kama hivyo,mbona ni rahisi kuvitatua?na kama haupo interest,ndio kabisaaaaaa,unamueleza ukweli huyo dada aliekutongoza.wengine huwa wanajaribu tu kama utanasa au laa,na hupenda kuvuruga mahusiano ya wenzao.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom