Ushauri wa dharura:Girlfriend wa rafiki yangu ananitaka..

huyo dem nikumpa makavu maana sio mwaminifu ikiwezekana acha mazoea nae.na uwe makin anaweza kukusingizia mabaya kwa huyo rafik yako ukiendelea kumchekea.imeshawah kunitokea kaka

siyo vzr hivyo, assume ungekuwa ww dem wako akakufanyia hivyo ungejisikiaje? Acha upuuz

akinifanyia hivyo ni ishara tosha kuwa hanipendi.

Achana na huyo demu mkuu, jaribu kufikiria uhusiano wako na rafiki yako, mmetoka mbali tokea utotoni leo hii mje mzinguane kisa mwanamke, fanya maamuzi magumu mkuu, mchane huyo demu kuwa huitaji mahusiano nae.

Ni tupie mie mkuu, hiyo mipira iliyokufa mi mfungaji mzuri sana na namzidi Inzaghi!

NB: Mwambie mshikaji kuwa demu anachemka!!

Wewe unajua kitu sahihi cha kufanya,dhamiri yako imeshakwambia,kuja kuomba Ushauri hapa na hata kuwasiliana na huyo Mwanamke ina maanisha kwamba na wewe unamtaka ki-aina ila dhamiri ina kuhukumu!!

Ili si jambo la kuomba Ushauri,haijawahi kutokea hata siku Moja kwamba USALITI ukawa Hekima!!

Huyo mwanamke ni Kahaba mwenye pepo la Ngono,kaa naye mbali lakini usimwambie rafiki yako mpaka atakapo-realise mwenyewe!!!
Dont entertain her,keep ur distance na umwambie kwa macho makavu kwamba Rafiki yako ni Muhimu kwako kuliko huo Uchi wake unaomuwasha!!

Cheers!!!

Ushauri wa nini wakati uamuzi unao mwenyewe! Usitafute justifications hapa for what you intend to do...traitor!

Ooooh!! Umekwisha Kaka! Tembelea ward 09 ukirudi utakuja na jibu la kumpa.

C vyema, "MPENDE JIRANI YAKO KAMA NAFC YAKO!" Hako ka dem hakaja2lia, hakikachomolea kataenda kwingine alaf katamuulia rafikie kipenzi! Amwambie ili ajilinde.

C vyema, "MPENDE JIRANI YAKO KAMA NAFC YAKO!" Hako ka dem hakaja2lia, akikachomolea kataenda kwingine alaf katamuulia rafikie kipenzi! Amwambie ili ajilinde.

Tumaini Jipya;
Wewe unajua kitu sahihi cha kufanya,dhamiri yako imeshakwambia,kuja kuomba Ushauri hapa na hata kuwasiliana na huyo Mwanamke ina maanisha kwamba na wewe unamtaka ki-aina ila dhamiri ina kuhukumu!!

Ili si jambo la kuomba Ushauri,haijawahi kutokea hata siku Moja kwamba USALITI ukawa Hekima!!

Huyo mwanamke ni Kahaba mwenye pepo la Ngono,kaa naye mbali lakini usimwambie rafiki yako mpaka atakapo-realise mwenyewe!!!
Dont entertain her,keep ur distance na umwambie kwa macho makavu kwamba Rafiki yako ni Muhimu kwako kuliko huo Uchi wake unaomuwasha!!

Cheers!!!
ndugu nahisi huyu jamaa siku mingi alikuwa anamega kimya kimya sa mefikia hatua huyu msichana anataka kuhamia kitu ambacho kitafanya mahusiano yao kuwa wazi zaidi.

ndugu nahisi huyu jamaa siku mingi alikuwa anamega kimya kimya sa mefikia hatua huyu msichana anataka kuhamia kitu ambacho kitafanya mahusiano yao kuwa wazi zaidi.

cjawah kummega mkuu.

Inaonyesha una mtamani na weye tukikushauri ukamege utamuachwa au unahitaji ushauri wa kitu gani?

Similar Discussions

Back
Top Bottom