Ushauri wa dharura:Girlfriend wa rafiki yangu ananitaka..

Mueleze gfriend wako uone hiyo kasheshe!

Tulikuwa na jirani mmoja mama mtu mzima Muheshimiwa sana, mume wake alikuwa anatembea na mke wa jirani yetu mwengine. Siku moja alimsimamisha mume wa yule mwizi na kumwambia 'mwambie mke wako asiniibie mume wangu'

You can imagine hiyo kasheshe iliyozuka hapo mtaani, palikuwa hapatoshi na hasa huyo aliyekuwa anaibiwa alikuwa ex-usalama.
 
Tatizo hajasema kwanin anamuacha mshikaj kuja kwako! Nahic sababu zilezile za kumuacha jamaa atatumia kukuacha nawewe bdae....vicheche wengi sikuhizi!
 
sio kweli. huyo dada hawezi kusema maneno hayo na akijua fika wewe na boyfie wake ni chanda na pete? labda usema wewe ndo unamtani msichana wa rafiki yako, hapo nitakusikiliza. najua unao wivu mwenzako kamrembesha demu wake na wako umemwachilia aonekana mzee kukuliko kisha unatafuta vizingizio. kwani ni nini hicho ulicho nacho zaidi mpaka utaminike kiasi hicho? eti demu akutongoze????? mkuu nina uhakika hata demu akikutamani vipi hawezi kukutamkia maneno hayo.
 
ni galfrd wa rafiki yangu kipenzi ambae 2mekua 2kisaidiana v2 mbalimbal tangu utoton,nlianza kuzoeana na huyu galfrd wake tangu mwaka 2009,mazoea yakawa mazoea,cku ya kwanza alinambiaga anataka kumuacha mshkaji na kuja kwangu,me nikadhan ni utani,ckutilia maanan,cku ya pili tena akanambia hvo hvo,nkachukulia ni utani,leo kani2mia txt anasema eti nimuelewe kwa anacho nambia as ye yuko serious...sasa wakuu,nifanyaje hapa,maana me ctaki kabisa kukosana na rafiki yangu kisa msichana??
sasa kama hutaki kukosana na rafiki yako kisa huyo unaomba ushauri wa nini?au unataka kutoa tu mada na wewe uonekane upo?
 
Mkubalie alafu nawe umtambulishe kwa marafiki zako wengine kama girlfriend wako,utaona muziki wake.
 
dogooo...usipate tabu kisha ukavunja "undugu" na mshkaji wako...nipe namba yake nigonge kisha mwambie mshkaji muje mutufumanie then apate sababu ya sekondari ya kumwaga demu kicheche anayetaka hata shemeji zake..

Huyo ukimchapa keshokutwa atamtaka babako mzazi then unaanza kumwita mama ...ndioo...mpenzi wa babako ni mama n vice versa

ni pm namba ya huyo kicheche niwasaidie kuwaondolea mkosi kunako "ukoo wenu" asije-jipenyeza mara nduguyo kaoa inakuwa tabu tena kumwambie amwage mkewe...niuzie kesi hiyo pleaseeee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom