Ushauri wa bure: Usioe career woman!

Ushauri wa bure: Usioe career woman!

NAJIULIZA HIVI UNAONGEA YOTE HAYO UNAMTOTO WA KIKE KWELI WEWE!! MWANAO UNAMPANGO WA KUMSOMESHA HAMA LA!!! ME NADHANI USIMSOMESHE HATA DARASA MOJA ILI ASIJE AKASUMBUA WATU BAADAE.. HAKUNA KITU KABISAA
Hapana sina mtoto wa kike wote midume. (ngoja nikujhbu kwa herufi zako) JAPO NIMEJITAHID KUPATA MTOTO WA KIKE SIJAFANIKIWA KUPATA, ILA NINGEPATA MTOTO WA KIKE NINGEMSOMESHA KWANI ELIMU NI KWAAJILI YA KUAJIRIWA ?!! ELIMU NI KWAAJILI YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA BINADAMU. SO AKIOLEWA AKIWA NA ELIMU NI BORA SANA. MKE WANGU AMESOMA ILA HAJAAJIRIWA NAMUANZISHIA MIRADI NA MIMI NDO BOSS WAKE.
 
Hebu achana na vitabu vya nadharia hivyo.
Bahati mbaya mimi sio mtu wa nadharia na NDO MAANA HATA MKE WANGU HAJAAJIRIWA ILI HALI NI MSOMI MZURI ILA NACHOKIAMINI NIMEKIWEKA KWENYE MATENDO HALISI NA MATOKEO YAKE NIMEYAONA.
 
Sasa Ukioa mama wa Nyumbani Alafu ukifa ghafla nani atalea watoto na kusomesha
 
Alafu mkuu sida siyo kufanya kazi, tatizo ni wakianza kupata vipesa, dharau zinaanza, atataka arudi saa sawa na wewe mkula home, mzigo hakuna ati kachoka, hatimizi kilichomleta ndoani, wazee wetu walikuwa na akili sana ,.
Mkuu nlimpata dem mhasibuu kiukwel nlikuwa napata kila nnachotaka lakn nlimkimbia mwenyeweee maaan kila siku anarud anadai kachokaaa yaaan n shidaaa
 
Wiselly said, yani ni wachache sanaaa. Kazin kwetu kuna wadada wawili na masters zao nawaona wanaisogelea meno pause na hakuna hata engagement ya kuigiza.
Okoa jahazi mkuu
 
Kwa mawazo haya sidhani kama binti yako atapata elimu ya degree ..We endelea na slogan yako hiyo hiyo ila usisahau kumtafutia kabiashara huyo mama wa nyumbani maisha yanaukomo ili siku ukifutika gafla umuache hata na pakuanzia
 
Umecomment jambo ambalo ni irrelevant na huu mjadala
Katika fasihi kipengele kigumu kuliko vyote ni "maudhui"
Naamini ulikuwa miongoni mwa waliopata taabu sana!
 
pambana na UANAUME WAKO UNAOBEBWA NA UDHAIFU WA MWENZI WAKO!

yani kwa kifupi watu kama nyie hamdindishi mpk muwe mnaombwa hela ya kula!!

Mtu akisema naomba hela ya kitunguu,we ndo unafika climax!!
Psyuuuuuu
 
Hata babu alivyomwoa bibi, bibi alikuwa nurse, lakini alivyotia miguu yake ndani ,kazi no , na wameishi kwa furaha tuu more than 78 years mpaka mzee anafariki, me nikikuoa, kazi hakuna kufanya, mwanaume abaki kuwa mwanaume ,



Mfumo dume uheshimiwe., asilimia 98
% kwa 2% na siyo 50%50%
Na Elimu aliyosemeshwa na wazazi wake kwa mapesa kibao itaishia wap!? Unahic ni haki
 
Sasa Ukioa mama wa Nyumbani Alafu ukifa ghafla nani atalea watoto na kusomesha
Anayo miradi anayosimamia., swala ni mke kutokua ameajiriwa ila kusimamia miradi ya nyumbani ni sawa. Kutokua na maboss wengine ndo hoja tunayoipinga.
 
pambana na UANAUME WAKO UNAOBEBWA NA UDHAIFU WA MWENZI WAKO!

yani kwa kifupi watu kama nyie hamdindishi mpk muwe mnaombwa hela ya kula!!

Mtu akisema naomba hela ya kitunguu,we ndo unafika climax!!
Psyuuuuuu
Tatizo ni kutokujiamini tu huyu ndo anaamini mwanamke ni dhaifu hastahili kujitaftia kipato. Mimi nimekuwa sehemu wamama ndo bread winners wa familia na wanachapa kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom