Ushauri wa bure: Usioe career woman!

Ushauri wa bure: Usioe career woman!

Kuna kimoja. Niache kazi au unifungulie biashara. Siwezi kukaa ndani 24/7 nakula nalala. Kesho ukifa watoto atalea nani na mimi umenilea goal keeper? Ila kuniambia nikae tu kama msukule kisa ndoa pita kushoto na ndoa yako. Mama yangu kanisomesha kwa shida leo niache kazi akose hata sh mbili tatu kisa mume hataki kazi.
Ukiogopa competition na wanawake tafuta utakaemmudu. Ndio maana kila binadamu ana chaguzi zakw when it comes to relationships.
 
Akili ni mali kila mtu anayoyakwake.
Unazo za kwako tena ni unawaza mbali vibaya mno.
Hujui mwanamke ni atakayekusaidia ukifukuzwa kazi.
Au ukipata tatizo lolote wanaume ambao hawataki maendeleo ya mwanamke.
1.ni wabinafsi
2.hawajitambui
3.wanajifanyaga wanajua kila kitu ila huwa ni maboya.
4.Wao kama wameoa wake zao hawajasoma wanakaa tu ndani wanalala nakuamka wanawasifu kama ndio mabosi wa dunia .
Wanakaripiwa hajapika au kitu fulani na wanaume wanapenda wawe wakubwa kama nini juu wao watoke makazini waenjoy maisha wanawake wawe ndani wakiwasubiria .
Wawe malooser na wasiwe na mbele wala nyuma.
Ila hawajui kuwa maisha nikusaidiana nope.
Wao wanataka wanawake zao wawe na vikazi vidogo tu.
Iliwaweze kuwapa attention saa yeyote.
Ukipata wanaume kama hao ni wanasampuli wa umama so ni bora ukiwa na mchumba au boyfriend wanamna kama ya huyu kaa mbali nao.
Kaaaa mbali nayo ni wabaya watakurudisha nyuma kimaendeleo.
Dah hii ni kali mtu anaacha kuwaza hela maisha magumu anadiscuss wanawake na wadada wanaojituma huo ni UMAMA BIG TIME.
mkalike wote 35 mko juu
[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Kumbe unaweza kuandika vizuri hivi?

Nilikuwa napata shida kwenye andishi zako,

Lakini sasa naona nukta unaweka, alama ya mkato na kuacha nafasi baina ya neno kwa neno na sentesi kwa sentesi.

Uwe una andika hivi.
 
Oyoo acheni utoto na mkue nyie vimbola maish magumu mnawaza ukichaa kama mtu mmoja namnukuu " wanawake sio lazima wafanye kazi ila sana sana wao wafikirie kuolewa na jinsi ya kutunza mume dah hambadiliki bado tupo enzi za utumwa.
Au UMAMA
Au what ever i mean i want to say MORE but kama hata humu wapo watu kama wewe uliyetoa mada basi wanaume wa tz.
Wapo nyuma kimaendeleo.
Kabisa hujui tu 35 wamekubaliana na uchovu kama huo basi wanawake tuweni makini.
Aaaahgg,
Hapa unakosea sasa.

Alafu usipende kutumia hilo neno 'UMAMA'

Ni kumdhalilisha mwanamke, ambaye we ni mmoja wapo.

Nategemea na wewe utakuja kuwa Mama.
 
Kuna kimoja. Niache kazi au unifungulie biashara. Siwezi kukaa ndani 24/7 nakula nalala. Kesho ukifa watoto atalea nani na mimi umenilea goal keeper? Ila kuniambia nikae tu kama msukule kisa ndoa pita kushoto na ndoa yako. Mama yangu kanisomesha kwa shida leo niache kazi akose hata sh mbili tatu kisa mume hataki kazi.
Ukiogopa competition na wanawake tafuta utakaemmudu. Ndio maana kila binadamu ana chaguzi zakw when it comes to relationships.
Embu rekehisha kidogo, au yaweza kuwa sijaelewa.

Umesema kuna kimoja, "Uache kazi au akufungulie biashara".

kwamba upo tayari uache kazi, akupe huduma zote, au

Upo tayari uache kazi na akufungulie biashara

AU

"Uache kazi na akufungulie biashara??
 
Niache kazi anipe biashara. Sio kukaa ndani kama msukule
Mleta mada alilenga Mwanamke ambae mwenye elimu na ajira/kazi yake hafai katika ndoa (career woman). Kwamba Mwanamke wa aina hii anakuwa yupo busy na kazi, anakiburi na kipato chake na pia anakuwa hajali ndoa na malezi ya watoto nyumbani.

Sasa akikuachisha kazi na kukufungulua biashara nahisi utaangukia mulemulee. Utakuwa busy, kipato kikiongezeka utakuwa na dharau, hutojali ndoa na hata malezi yatapungua nyumbani.

Kwa upande wangu, mleta mada bado ana tabia za uafidhina na mfumo wa unyanyasaji au pengine mfumo dume.

Anyway,
Sisi wengine maisha ya ndoa bado hatujafikiria bado,
 
Umeandika sahihi kabisa kuhusu mtoa mada.

wazo zuri ila siliungi mkono hata kidogo.
Kawaida ubongo wa binadamu usipokuwa busy na kazi za maana utajaa kazi za kijinga. Mfano mke kama kazi yake ni kushinda tu nyumbani apike, afue na usafi jua kabisa hizo kazi hazishughulishi ubongo ipasavyo, na kupungukiwa uwezo wa kupambanua mambo vizuri.
Faida za kuwa na mke mtafutaji:
1. akili yake unakuwa active muda mwingi.
2. anajiamini maana naye anachangia pato la familia.
3. anajua changamoto za utafutaji, hivyo ataishi uhalisia.
4. ikitokea bahati mbaya mume mambo yamekwama ataweza kuivusha familia katika kipindi cha mpito.
5. bahati mbaya mume akifa, atasimama kama mama pia kama baba wa familia.

mambo ya heshima ndani ya nyumba hayana uhusiano sana na kazi, ni hulka ya mtu.
 
Kuna kimoja. Niache kazi au unifungulie biashara. Siwezi kukaa ndani 24/7 nakula nalala. Kesho ukifa watoto atalea nani na mimi umenilea goal keeper? Ila kuniambia nikae tu kama msukule kisa ndoa pita kushoto na ndoa yako. Mama yangu kanisomesha kwa shida leo niache kazi akose hata sh mbili tatu kisa mume hataki kazi.
Ukiogopa competition na wanawake tafuta utakaemmudu. Ndio maana kila binadamu ana chaguzi zakw when it comes to relationships.
Wanaume wenyewe hawa wachoyoo choyo ataweza kukupa pesa unayotaka usaidie na ndugu zako,bado asaidie ndugu zake,,yaan ukitaka saidia kwenu umuombe pesa mume uambiwe usubirie
 
Kusoma si lazima aje kua carrier woman, na hata mimi mke wangu ni msomi ila ni mke wa nyumbani. Tena kama ni msomi ndo vzuri zaidi., kwahyo wasomeshe mabinti zako ila wajengee hulka ya kua wake sio wafanyakaz
Naunga mkono hoja
 
Ukiomba hela uende salon utasikia kwani minyoosho ya 1000 haikutoshi? Kwanza napenda usuke minyoosho. Ukitaka kwenda kununua nguo utasikia mbona una nguo nyinhi vaa hizo hizo. Sababu anajua hata akikunyima huna jeuri ya kununua mwenyewe sababu huna.
Wanaume wenyewe hawa wachoyoo choyo ataweza kukupa pesa unayotaka usaidie na ndugu zako,bado asaidie ndugu zake,,yaan ukitaka saidia kwenu umuombe pesa mume uambiwe usubirie
 
Na Elimu aliyosemeshwa na wazazi wake kwa mapesa kibao itaishia wap!? Unahic ni haki
Tatizo mnajisahau sana , mkianza kupata hela dharau zinanza , na pia siyo kazi ya mwanamke kutafuta ni kazi ya mwanaume, since day one mkuu, so ni sawa, kama nakupa kila kitu nini mbaya tulia lea watoto/famolia
 
Mleta mada alilenga Mwanamke ambae mwenye elimu na ajira/kazi yake hafai katika ndoa (career woman). Kwamba Mwanamke wa aina hii anakuwa yupo busy na kazi, anakiburi na kipato chake na pia anakuwa hajali ndoa na malezi ya watoto nyumbani.

Sasa akikuachisha kazi na kukufungulua biashara nahisi utaangukia mulemulee. Utakuwa busy, kipato kikiongezeka utakuwa na dharau, hutojali ndoa na hata malezi yatapungua nyumbani.

Kwa upande wangu, mleta mada bado ana tabia za uafidhina na mfumo wa unyanyasaji au pengine mfumo dume.

Anyway,
Sisi wengine maisha ya ndoa bado hatujafikiria bado,
Why
 
Back
Top Bottom