FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,106
- 2,789
Ndio mkuu ukiangalia kwa asilimia kubwa pana ukweli mwingi hapoHaaaha "two degrees cant sleep in the same bed"
Ndio mkuu ukiangalia kwa asilimia kubwa pana ukweli mwingi hapoHaaaha "two degrees cant sleep in the same bed"
Acha mawazo mgando, kwani dhumuni la elimu ni kuajiriwa ?! Ebo !! Dhumuni la kupata elimu ni kuwa na uwezo wa kutatua changamozo zinazotuzunguka. Kwahyo kua na elimu na kuolewa anakua mke bora anaeweza kutatua changamoto.Na Elimu aliyosemeshwa na wazazi wake kwa mapesa kibao itaishia wap!? Unahic ni haki
hakuna mwanamke anayependa kuamka asubuhi na mapema kuwahi kazini, kuwaacha watoto pengine wadogo wanaonyonya kwenda kutafuta riziki.Tatizo wanaume mkiona mnategemewa 100% basi ni full manyanyaso kwa mkeo.
bibi yangu aliniasa "soma shule kwa bidii upate kazi nzuri uwe na kipato usimtegemee mwanaume sana mana utaishi maisha ya huzuni"
nazingatia ushauri wake mana kaona mengi, hata ukinambia kuchagua kati ya kuacha kazi na kuacha mume , kazi yangu ni mpenzi wangu wa moyo
Mungu ndo aliamuru majukumu ya kutunza familia kwa jasho ni ya mume na mwanamke anamajukumu ya kuzaa kwa uchungu na kulea, sasa sijui na Mungu alikua na inferiority complex ??!Mleta mada hujiamini una inferiority complex kwa wanawake wenye kipato pole sana, dunia imebadilika lazima ukubaliane na hali hii haikwepeki
Hujajibu swali langu, Mungu ndo aliamuru mwanaume kutunza familia kwa jasho lake na mwanamke kuzaa kwa uchungu na kulea. JE NA MUNGU ALIKUA HAJIAMINI ?! Na kutuonyesha mfano Mungu aliwatumia wanaume tu kama wanafunzi wa Yesu wote wanaume, Manabii, wafalme na waamuzi wote wanaume ila wanawake kawatumia kuzaa na kulea kama Maria mama wa Yesu. JE MUNGU PIA ALIKUA HAJIANIMI ? MBONA HAKUMLETA YESU WA KIUME NA WA KIKE ?!! (am sure hii text hutajibu)Tatizo ni kutokujiamini tu huyu ndo anaamini mwanamke ni dhaifu hastahili kujitaftia kipato. Mimi nimekuwa sehemu wamama ndo bread winners wa familia na wanachapa kazi kweli kweli.
Inaonyesha wazi haujui wala hajapata kujishughulisha kujua kwanini wewe ni mwanamke na sisi ni wanaume. Andiko lako limekaa kiakili ya kianamke anamke, eti maisha yapo juu ada, ujenzi, lishe sikia wewe ndo maana tukaitwa wanaume ndo maana yatupasa kutimiza yote hayo na zaidi. Mungu aliposema kwa josho alimaanisha yatupasa kufanya kazi kwa juhudi kweli kweli. Hii dhana ya kusaidiana bakini nayo huko huko Dar na wanaume wenu wala chips, binafsi mke wangu ni MALKIA uliona wapi malkia anafanya kazi ?!Pole yako wewe unaishi dunia ipi gharama za maisha ni juu mno wewe usomeshe( elimu bora kizazi hiki ni private school gharama zake ni juu ) ,ujenge , ulishe familia, usaidie ndugu, michango ya harusi kwa mshahara upi mkuu
Nyie mnalalamika carrier woman ni wale mmepata pesa mnaacha wanawake zenu mliosota nao mkiwa chuo unadandia hao mashangingi ya mjini unayakuta yako ready made dada ana gari ana nyumba anawaka lazima yakukute ila mtu umesota naye toka Alevel mpaka chuo hawezi kuwa kigego period!!!
Hapo unamsingizia Mungu kwa kutokujiamini tangia kale watu wote wanafanya kazi. Sasa wanaume waoga hutumia biblia ka fimbo ya ukandamizaji wa wanawake eti wasifanye kazi. Siku hizi sio lazima utoke jasho kuna AC. Mimi kuwa na mwanaume asiye jiamini hivi kwa kweli hapana eti nisifanye kazi ili mtuonee eeeh, kazi lazima wanawake tufanye kwa bidii hyo ya kutegemea kuomba omba hela ni umaskini kwanza huna hela ya kumpendezesha mke akae tu eti azae.Mungu ndo aliamuru majukumu ya kutunza familia kwa jasho ni ya mume na mwanamke anamajukumu ya kuzaa kwa uchungu na kulea, sasa sijui na Mungu alikua na inferiority complex ??!
Hivi unajua hatari yeye kusimamia miradi mke wako, hivi unajua baada ya hapo mradi unakua wakeAnayo miradi anayosimamia.,
Hapo unamtumia Mungu vibaya hafu hilo ni agizo tu la wanadamu kutokuheshimu binadamu na unajua utaratibu wa zamani hakumuona mwanamke ka ni kitu ndo maana walikuwa hawahesabiwi au kupiga kura so hata waandika maandiko wa enzi hzo waliandika hayo ka sehemu ya utamaduni wao ila jinsi mabadiliko yanavoenda kuna changes. So.hapo tusimsingizie Mungu dini imetumika kumu undermine mwanamke kwanza kubeba mimba tu ni kazi kubwa kuliko huko kutoka jasho.Hujajibu swali langu, Mungu ndo aliamuru mwanaume kutunza familia kwa jasho lake na mwanamke kuzaa kwa uchungu na kulea. JE NA MUNGU ALIKUA HAJIAMINI ?! Na kutuonyesha mfano Mungu aliwatumia wanaume tu kama wanafunzi wa Yesu wote wanaume, Manabii, wafalme na waamuzi wote wanaume ila wanawake kawatumia kuzaa na kulea kama Maria mama wa Yesu. JE MUNGU PIA ALIKUA HAJIANIMI ? MBONA HAKUMLETA YESU WA KIUME NA WA KIKE ?!! (am sure hii text hutajibu)
Kwa comment hii tu inaonyesha ur biased haishangazi ndo ulivolelewa kutokuamini wanawake yet wanakuamiza kichwa eti logic zero Mara emotions ur too low honestly.Hujajibu hoja, anyweiz ndo akili za wanawake always emotional and zero logic. Na misikusema namsingizia Mungu ni hoja yako ya mwanamke kufanya kazi na kujishindanisha na wanaume. andiko langu lipo straight endelen kufanya kazi na vibur viwajae huku tuna wapiga mpipi na kuwaacha. Nawewe nakuona meno pause inakunyemelea ngoja ifike ndo ukuja na post za "a serious man wanted to be a husband"
Wanawake kama katika 10 utapata m1 au unaweza usipate kabisa katika hao 10Nadhani anachojaribu kufikisha hapa.. ninkwamba wanawake wengi ambao ni carrier woman huwa wana ile sence ya kutaka mamlaka ndani ya nyumba.
Ila japo si wote, wapo waelewa na wenye kutii waume zao na kusimama katika nafasi zao kama wake..(type ya kina mama samia suluhu).
Sema ni wachache mno..
Waliobaki Mungu saidia