Ushauri wa bure: Usioe career woman!

Ushauri wa bure: Usioe career woman!

Ushawahi kujiuliza ukifa nani atalea familia yako?

Ofcourse wanawake wasomi na wenye kazi wengi wao kwenye swala zima la mahusiano uwaga wajinga wajinga hivi hawajui na wana kibri hatukatai.

Mi nadhani kazi na elimu sio kigezo cha mke mwema kabisaaaaaaa.

Kikubwa ni kufungua biashara ambayo mke anakuwa msimamizi na ww msimamizi mkuu ila lzm mke ajifunze kutafuta pesa hata km sio kwa kufanya kazi basi biashara.

Kwa maisha ya sasa lzm mke na mume wafanye kazi km team kwenye kila nyanja ingawa kwa approach hii lzm huo a mke wakueleweka.
Mkuu na hili ndo hua wazo langu kua mke namfungulia miradi anasimamia mimi ndo boss wake ila kwa hili la yeye kuajiriwa na kua na boss huko ndo HAPANA NAPINGA
 
Nadhani anachojaribu kufikisha hapa.. ninkwamba wanawake wengi ambao ni carrier woman huwa wana ile sence ya kutaka mamlaka ndani ya nyumba.

Ila japo si wote, wapo waelewa na wenye kutii waume zao na kusimama katika nafasi zao kama wake..(type ya kina mama samia suluhu).
Sema ni wachache mno..
Waliobaki Mungu saidia
Kwani huyo kaolewa mkuu ?
 
Chief umenena sana

Kawaida ya Mama,ni mfano wa Waziri wa mambo ya ndani
Na haina maana,kwamba Mwanamke wa ndani,hawezi miliki Biashara?!!
Anaweza kumiliki mambo mengi,huku akiwa kwake ndani

Ila tukirudi nyuma kidogo
Sisi Wanaume wengi,tumekuwa chachu kwa hawa wanawake
kuna unyanyasaji wa hali ya juu kwa baadhi yetu juu ya wake zetu,Mpaka wao nao,wakaona watafute njia mbadala ya ukombozi(japokuwa ni makosa).
Muhimu kwetu sisi,Ni kujua majukumu yetu na kuyatekeleza ipasavyo,kisha tuwe na mapenzi ya dhati kwa wake zetu
Kukosea kwao,kusiwe ndio sababu ya vipigo na kejeli,na sisi tukajipa nafasi ya kutokukosea,kila siku sisi tupo sawa tu

Kisheria ya Dini

Mwanamke Bora,ni yule mwenye kuitunza nyumba yake na heshima ya mume wake

Naunga mkono hoja
 
Nadhani kua na mwanamke asiye na ajira (carrier woman) ni bora zaidi maana kuna tofauti ya kimaumbile na kimajukumu kati ya mwanamke na mwanaume.

Majukumu ya mwanaume ni tofaut na ya mwanamke, jukumu la kutafuta fedha na kutunza familia ni la mwanaume. Hua nawachekesha rafiki zangu kwa kuwaambia kua mwanamke mwenye ajira, kazi au mamlaka ya uongozi sio mwanamke ni mwanaume ila tu hana mpipi. Kuishi na mwanamke wa aina hii inabidi ujipange bru, ni kuish na mwanaume mwenzako ala tu yeye ana K, itakupasa kua mvumilivu sanaa

Unajua kua asilimia kubwa ya ndoa zinazovunjika ni zile za "carrie women" je wajua ajua nchi zinazoongoza kwa devoce rates ni nchi zinazohamasisha usawa wa kijinsia, hata humu jf uwanja wa mahusiano, nimegundua wanawake wengi wanaotafuta mume ni carrier women. amimi amini wakwambia, mfumo dume ndio njia bora kwa jamii na hili linakamilika pale mume anapokua the sole bread finder.

Responsibility brings Authority and Respect. Sasa kuna watakaosema kua kuoa mwanamke mfanya kazi inaleta maendeleo mapema kwasabab ya kusaidiana, kwanza niseme Siamini katika dhana ya kusaidiana na mwanamke hii dhana imekaa kizembe zembe, kimwanaume wa dar, mwanaume mzima anajitetea kutaka kusaidiwa kuleta maendeleo seriouslly ?..! Wanawake ndo wanapenda kusaidiwa na mwanaume pia anataka asaidiwe ?! Nadhani this is irresponsibility.

Na kama mwanaume atataka "kusaidiwa" na mwanamke kuleta maendeleo basi akubali kugawana mamlaka, heshima na mke wake. Yani kuwe hakuna mume wala mke wote ni sawa, mwanamke akiamua kurudi saa sita usiku hakuna kuhoji. Mwisho naomba nitoe ushauri kua kama unaweza kumudu stress kila kukicha, malumbano, kushitakiana oa carrie woman, ila kama ungependa kuishi kwa amani tele oa house wife.

Ushauri wa mwisho sasa fanya unavyofanya ila usioe single mother afu ukuto ndo carrier woman aise aise
hawa marioo wanashida sana wakishafukuzwa huko wanakimbilia huku
 
You nailed it comrade.
I do strongly suggest this book " MAN OF STEEL AND VELVET" by Aubrey P. Andelin for any man aspires to be a real gentleman and assumes total masculine role before his women folks.
1540451509821.jpg
1540451590949.jpg
1540451631984.jpg
 
Umeongea nadharia zaidi kuliko uhalisia. Trust me hao unaowaita carrier women wamegawanyika mno. Wapo ambao ni vimeo lakini wapo ambao ni supa sana. Hapo ni kuomba bahati tu otherwise ukitegemea ushauri kwa masuala ya aina ya mke /mme asee utaingia chaka mazima.
 
Wapo wanawake kibao washinda vibarazani na ni pasua kichwa balaa.

Wapo wanawake wenye uwezo mkubwa tu kifedha na wanajua nafasi zao ndani ya nyumba.

Tatizo kwa sasa baadhi ya wanawake wenye careers zao ni viwembe kuliko hata wanaume, huko maofisini ni kuliwa kama njugu tu...its so sad!

Omba tu upate mnayeendana coz mapenzi sio π=3.14 kwamba ya nyumba yako ni sawa na ya nyumba ya jirani.
 
Zama zimebadilika
hata hizo enzi za mababu zetu mnazo refer hapa mabibi zetu hawakuwa house wife per se.. Walikua wanalima jamani tena wanalima haswaa pengine kuliko hata hao mababu, walikua wanafuga wanahakikisha nyumbani kunachakula
sasa zama hizi mjini hakuna mashamba so mwanamke lazima Afanye kazi au la afanye biashara.. ni muhimu mwanamke ajifunze kujitafutia na sio kuwa tegemezi per se

Achana nakufariki kuna magonjwa jamani mwanaume umeugua umelala ndani haya mke alikua tegemezi mnaishije hapo
ila kama alikua anajua kujitafutia maisha yanakua rahisi kidogo

So kama hutaki mkeo Aajiriwe basi mfungulie biashara Ajifunze kujitafutia hii ni kwa faida yake na watoto na hata kwa wazazi wake hatoshindwa kuwatunza kwa mahitaji ya hapa na pale na SIO ILI AMSAIDIE MWANAUME NARUDIA NI KWA FAIDA YAKE!
 
Nyie ndio type ya wanaume mnauouliwa na wake zenu ili wake zenu wapate kujimilikisha mali na uhuru wa kudinywa!

Mwache awe na input itapunguza mivutano ukifa.
(ndugu zako VS mkeo)
Umecomment jambo ambalo ni irrelevant na huu mjadala
 
Ushawahi kujiuliza ukifa nani atalea familia yako?

Ofcourse wanawake wasomi na wenye kazi wengi wao kwenye swala zima la mahusiano uwaga wajinga wajinga hivi hawajui na wana kibri hatukatai.

Mi nadhani kazi na elimu sio kigezo cha mke mwema kabisaaaaaaa.

Kikubwa ni kufungua biashara ambayo mke anakuwa msimamizi na ww msimamizi mkuu ila lzm mke ajifunze kutafuta pesa hata km sio kwa kufanya kazi basi biashara.

Kwa maisha ya sasa lzm mke na mume wafanye kazi km team kwenye kila nyanja ingawa kwa approach hii lzm huo a mke wakueleweka.
Vipi akifa yeye nani atalea familia?!
 
Nadhani anachojaribu kufikisha hapa.. ninkwamba wanawake wengi ambao ni carrier woman huwa wana ile sence ya kutaka mamlaka ndani ya nyumba.

Ila japo si wote, wapo waelewa na wenye kutii waume zao na kusimama katika nafasi zao kama wake..(type ya kina mama samia suluhu).
Sema ni wachache mno..
Waliobaki Mungu saidia
Kinga nzuri ya mwanamke itakayomuweka mbali na kiburi na dharau ni kumshika MUNGU maana atamuongoza kufanya maamuzi sahihi na sio hawa wanawake ambao hawajui hata ukurasa m'moja wa bible kila siku wao wasoma post za Instagram na facebook halafu halafu wanaleta ujinga ujinga......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom