Ushauri wa bure: Usioe career woman!

Ushauri wa bure: Usioe career woman!

Kuna jomba mmoja aligraduate na mkewe Computer science, leo hii jamaa yupo kazini, mkewe yupo hom na vyeti vyake. Gud enough mke wa jamaa baada ya mkataba wa kwanza kuisha hanaga tym ya kutafuta ajira tena, anataka ajiajiri
 
Ni kweli...wana changamoto nyingi sana na zaidi akiwa ni mrembo;hapo lazima mwanaume akubali kuolewa kama sio kuoa.
 
Me nadhani kiburi na dharau kwa mwanamke ni hulka binafsi ya mtu. It has nothing to do with wether the woman has a career or not. Maana hata sisi wanaume tupo wenye kazi na mishahara mizuri ila bado tunakwepa majukumu ya nyumbani.
uwezo na akili ya hao...so akiwa nazo kama ahana akili basi maumivu..akiwa muelewa atafanya majukumu yake vizuri na kujua position yake
 
Nadhani kuwa na mwanamke asiye na ajira ni bora zaidi maana kuna tofauti ya kimaumbile na kimajukumu kati ya mwanamke na mwanaume.

Majukumu ya mwanaume ni tofaut na ya mwanamke, jukumu la kutafuta fedha na kutunza familia ni la mwanaume. Huwa nawachekesha rafiki zangu kwa kuwaambia mwanamke mwenye ajira, kazi au mamlaka ya uongozi sio mwanamke ni mwanaume ila tu hana mpipi. Kuishi na mwanamke wa aina hii inabidi ujipange bru, ni kuish na mwanaume mwenzako ala tu yeye ana K, itakupasa kuwa mvumilivu sanaa

Unajua kuwa asilimia kubwa ya ndoa zinazovunjika ni zile za "career women"? Je, wajua nchi zinazoongoza kwa divorce rates ni nchi zinazohamasisha usawa wa kijinsia? Hata humu JF uwanja wa mahusiano, nimegundua wanawake wengi wanaotafuta mume ni career women.

Aminiamini nakwambia, mfumo dume ndio njia bora kwa jamii na hili linakamilika pale mume anapokuwa the sole bread finder.

Responsibility brings Authority and Respect. Sasa kuna watakaosema kuwa kuoa mwanamke mfanyakazi inaleta maendeleo mapema kwa sababu ya kusaidiana. Kwanza niseme siamini katika dhana ya kusaidiana na mwanamke. Hii dhana imekaa kizembe zembe, kimwanaume wa dar!

Mwanaume mzima anajitetea kutaka kusaidiwa kuleta maendeleo seriously?! Wanawake ndo wanapenda kusaidiwa na mwanaume pia anataka asaidiwe?! Nadhani this is irresponsibility.

Na kama mwanaume atataka "kusaidiwa" na mwanamke kuleta maendeleo basi akubali kugawana mamlaka, heshima na mke wake. Yani kuwe hakuna mume wala mke wote ni sawa. Mwanamke akiamua kurudi saa sita usiku hakuna kuhoji.

Mume inatakiwa afanye kazi kwa juhudi ili aitunze familia na naamini hata muumba wetu alikusudia hivyo. Mwanamke anastahili kupendwa, kutunzwa na kulindwa. Sasa mwanaume kazini mwanamke kazini ndo maana wanadai haki sawa. Wanawake wa siku hizi hawajui na hawapati raha ya kuwa wanawake cha ajabu wanataka kuwa sawa na wanaume kwa kufanya kazi ila wanachojijengea ni kiburi kinachowaangamiza wenyewe, na nikwambie kitu, men are smart wanawapa nafasi ila wanawatumia na kuwaacha.

Mwisho naomba nitoe ushauri kuwa kama unaweza kumudu stress kila kukicha, malumbano, kushitakiana oa career woman, ila kama ungependa kuishi kwa amani tele oa house wife.

Ushauri wa mwisho sasa fanya unavyofanya ila usioe single mother afu ukute ndo career woman aisee aisee

Huu ukweli mtupu,tatizo watu huwa wanajifariji na kujisahaulisha,ila cha moto wana kiona.

Hakuna awezae kushindana na ukweli. Leo watu wanafanya kazi mara mbili.

Ya kwanza ni hiyo uliyoitaja ya pili nakuja kuitaja...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom