Ushauri wa bure: Usioe career woman!

Ushauri wa bure: Usioe career woman!

Naunga mkono hoja. Baba kazi mama kazini huyu mtoto atalelewa na nani.
 
Carrier women wakidemonstrate freedom yao. Kwamba hawabanwi na mtu wanaweza kuamua chochote, hawamtegemei mtu wanaamua wanachotaka. wako "huru" tena HURU KWELI KWELI
 
MWA. 2:18, 20
"BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye. Adamu akawapa majina yao kila mnyama wa kufugwa, na ndege wa angani, na kila mnyama wa mwituni; lakini hakuonekana wa kumsaidia Adamu aliyefanana naye."

Mistari hii naipenda sana, inaonyesha jinsi ambayo wanawake waliumbwa kwa sababu, waliumbwa baada ya Mungu kuona kuwa si vyema mwanaume aishi peke yake, na Adamu hakuweza kupata msaidizi wa kufanana naye katika viumbe wote waliokuwa wameshaumbwa.

Hii inaonyesha kuwa nafasi ya mwanamke hakuna wa kuiziba. Nafasi hii ipo katika kila sehemu ya maisha. Nafasi na umuhimu wa mwanamke upo kuanzia kwenye familia, jamii na taifa bila kusahau kanisa.

Mungu amempa mwanamke uwezo wa kutambua mahitaji ya watu kuyashughulikia. Katika uongozi wowote bila kuwepo mwanamke ni ngumu sana kwa wanaume kutambua mahitaji ya watu, katika familia vilevile na hata katika uongozi wa kanisa.
 
MWA. 2:18, 20
"BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye. Adamu akawapa majina yao kila mnyama wa kufugwa, na ndege wa angani, na kila mnyama wa mwituni; lakini hakuonekana wa kumsaidia Adamu aliyefanana naye."

Mistari hii naipenda sana, inaonyesha jinsi ambayo wanawake waliumbwa kwa sababu, waliumbwa baada ya Mungu kuona kuwa si vyema mwanaume aishi peke yake, na Adamu hakuweza kupata msaidizi wa kufanana naye katika viumbe wote waliokuwa wameshaumbwa.

Hii inaonyesha kuwa nafasi ya mwanamke hakuna wa kuiziba. Nafasi hii ipo katika kila sehemu ya maisha. Nafasi na umuhimu wa mwanamke upo kuanzia kwenye familia, jamii na taifa bila kusahau kanisa.

Mungu amempa mwanamke uwezo wa kutambua mahitaji ya watu kuyashughulikia. Katika uongozi wowote bila kuwepo mwanamke ni ngumu sana kwa wanaume kutambua mahitaji ya watu, katika familia vilevile na hata katika uongozi wa kanisa.
Peace be upon you Chief!
 
Binafsi naona mwanamke kumweshimu mume is nothing to do with career,unaweza kuoa asiye na career ukawa busy kufanya kazi huku nyuma wanaume wenzio wakakusaidia,pia anaweza kuwa literate akawa anajielewa vizuri tu.Tabia ya mwanamke let's not generalise kuwa wote wenye kazi ni wasumbufu si kweli,ila wanaume wengi waliopigapiga umande huwa wanapenda mwanamke illiterate ili kuwa huru kufanya mambo yao cos anakuwa hawezi kumchallenge sana,mfano anaweza kuwa anachat na mchepuko kwa kizungu mbele ya mkewe bila shida.

Wapo wanawake wasomi wenye heshima na ni wife material kabisa
 
haya mawazo yako mfilisi kabsa

acha majungu kwa career woman we km ni jobseeker basi tulia mda utafika.

km niivo shule zingetengwa za wanawake wakasomee kumlea mume. tunasoma ili kuondoa ujinga na tunafanya kazi ili kujipatiaexperience ya kuishi na watu mbalimbali. sio kutwa kibarazan na misutano au vigodoro.
mambo ya kugombania mirathi nani yupo tyr? jaribu kuwa na vission afu usifananishe mambo ya kale na sasa.

tupo kwenye utandawazi mkuu.
 
Hujajibu swali langu, Mungu ndo aliamuru mwanaume kutunza familia kwa jasho lake na mwanamke kuzaa kwa uchungu na kulea. JE NA MUNGU ALIKUA HAJIAMINI ?! Na kutuonyesha mfano Mungu aliwatumia wanaume tu kama wanafunzi wa Yesu wote wanaume, Manabii, wafalme na waamuzi wote wanaume ila wanawake kawatumia kuzaa na kulea kama Maria mama wa Yesu. JE MUNGU PIA ALIKUA HAJIANIMI ? MBONA HAKUMLETA YESU WA KIUME NA WA KIKE ?!! (am sure hii text hutajibu)
Kama wewe ni mkristo naomba usome Mithali 31:10-24

Mithali:31.10
Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani.
Mithali:31.11
Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato.
Mithali:31.12
Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.
Mithali:31.13
Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
Mithali:31.14
Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.
Mithali:31.15
Tena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.
Mithali:31.16
Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
Mithali:31.17
Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu.
Mithali:31.18
Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.
Mithali:31.19
Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia.
Mithali:31.20
Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
Mithali:31.21
Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
Mithali:31.22
Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
Mithali:31.23
Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
Mithali:31.24
Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi.

Tilia mkazo hapo Mithali 31:16,18,24....
Halafu tujadili kama huyo mwanamke alikuwa hatafuti kwa ajili ya familia
 
Hapo unamtumia Mungu vibaya hafu hilo ni agizo tu la wanadamu kutokuheshimu binadamu na unajua utaratibu wa zamani hakumuona mwanamke ka ni kitu ndo maana walikuwa hawahesabiwi au kupiga kura so hata waandika maandiko wa enzi hzo waliandika hayo ka sehemu ya utamaduni wao ila jinsi mabadiliko yanavoenda kuna changes. So.hapo tusimsingizie Mungu dini imetumika kumu undermine mwanamke kwanza kubeba mimba tu ni kazi kubwa kuliko huko kutoka jasho.

Sasa hyo kutumia wanaume si ilikuwa tu utamaduni ka zamani hakukuwa na gari usafiri ulikuwa wa punda hafu hao mitume wameandikwa kwa sababu ya uanaume zamani wanawake walikuwa hawaandikwi popote, pia Yesu mbona Maria, Magdalene na Martha wameandikwa kiufupi.

Usitumie maandiko Ku justify ur inferiority complex kwa umepigwa kibuti na mwenye kukuzidi useme, hyo hyo dini ilitumika kujustify.utumwa wa wazungu kwa weusi.
Katumia maandiko kujustify mwanamke hatakiwi kutafuta,na mm nimetumia maandiko pia kumuonyesha kwenye maandiko hayohayo mwanamke alikuwa mtafutaji Mithali 31:10-24... So atafute sababu nyingine
 
Carrier women wakidemonstrate freedom yao. Kwamba hawabanwi na mtu wanaweza kuamua chochote, hawamtegemei mtu wanaamua wanachotaka. wako "huru" tena HURU KWELI KWELI

View attachment 911337
Kwahiyo hapo inahusiana vipi na carrier,maana nimeona tu a woman.. Huyo naked woman anaweza kuwa mama yako,mke wako,shangazi yako,na ndugu zako wote wa kike... Toa hoja ujibiwe hoja hii ni mada umeleta,na kwa hichi ulichoonyesha unasumbuliwa na inferiority
 
Mabinti zetu lazima wasome kwa ustawi wa maisha yao ya baadae, hao watakaowaoa wanatakiwa kujipanga kiakili maana siyo vibaya ukioa carrier woman halafu ukamfungulia mradi wa familia ausimamie huku akitumia elimu yake kuuboresha zaidi.

Enyi carrier woman zingatieni kuwa wake watiifu kwa wanaume wenye upendo. Wanaume tusisahau kuwapenda wake zetu.

Kuwapenda ni pamoja na kuwaongoza vyema.
 
Hapana sina mtoto wa kike wote midume. (ngoja nikujhbu kwa herufi zako) JAPO NIMEJITAHID KUPATA MTOTO WA KIKE SIJAFANIKIWA KUPATA, ILA NINGEPATA MTOTO WA KIKE NINGEMSOMESHA KWANI ELIMU NI KWAAJILI YA KUAJIRIWA ?!! ELIMU NI KWAAJILI YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA BINADAMU. SO AKIOLEWA AKIWA NA ELIMU NI BORA SANA. MKE WANGU AMESOMA ILA HAJAAJIRIWA NAMUANZISHIA MIRADI NA MIMI NDO BOSS WAKE.
WEWE NI DHAIFU NA NAFIKIRI UNAJITAMBUA NDIO MAANA UNAJIHAMI.. MAMBO YA KISIASA UNALETA KWENDA NDOA LAZIMA ITAKUSHINDA TU KINACHOTAKIWA NI UPENDO NDUGU NDIO KINACHOWAUNGANISHA WATU WAWILI HAIJALISHI NANI ANA KAZI GANI WALA NINI USITUMIE MABAVU SANA ILI UESHIMIKE KWENYE NDOA LAZIMA IKUSHINDE
 
Nimekuelewa sana.
Hivyo bhasi, natafuta mwanamke asiye na ajira. Fika PM nataka kuoa.
Siku hizi mke au mme hupatikana kokote maana tulio kanisani/misikitini ndo wale wale tulio club. Karibuni sana
 
Men insecurities. Kama wewe sio MWANAUME haki usioe mwanamke yeyote. Nunua geisha itakusaidia sana.
 
Nadhani kuwa na mwanamke asiye na ajira ni bora zaidi maana kuna tofauti ya kimaumbile na kimajukumu kati ya mwanamke na mwanaume.

Majukumu ya mwanaume ni tofaut na ya mwanamke, jukumu la kutafuta fedha na kutunza familia ni la mwanaume. Huwa nawachekesha rafiki zangu kwa kuwaambia mwanamke mwenye ajira, kazi au mamlaka ya uongozi sio mwanamke ni mwanaume ila tu hana mpipi. Kuishi na mwanamke wa aina hii inabidi ujipange bru, ni kuish na mwanaume mwenzako ala tu yeye ana K, itakupasa kuwa mvumilivu sanaa

Unajua kuwa asilimia kubwa ya ndoa zinazovunjika ni zile za "career women"? Je, wajua nchi zinazoongoza kwa divorce rates ni nchi zinazohamasisha usawa wa kijinsia? Hata humu JF uwanja wa mahusiano, nimegundua wanawake wengi wanaotafuta mume ni career women.

Aminiamini nakwambia, mfumo dume ndio njia bora kwa jamii na hili linakamilika pale mume anapokuwa the sole bread finder.

Responsibility brings Authority and Respect. Sasa kuna watakaosema kuwa kuoa mwanamke mfanyakazi inaleta maendeleo mapema kwa sababu ya kusaidiana. Kwanza niseme siamini katika dhana ya kusaidiana na mwanamke. Hii dhana imekaa kizembe zembe, kimwanaume wa dar!

Mwanaume mzima anajitetea kutaka kusaidiwa kuleta maendeleo seriously?! Wanawake ndo wanapenda kusaidiwa na mwanaume pia anataka asaidiwe?! Nadhani this is irresponsibility.

Na kama mwanaume atataka "kusaidiwa" na mwanamke kuleta maendeleo basi akubali kugawana mamlaka, heshima na mke wake. Yani kuwe hakuna mume wala mke wote ni sawa. Mwanamke akiamua kurudi saa sita usiku hakuna kuhoji.

Mume inatakiwa afanye kazi kwa juhudi ili aitunze familia na naamini hata muumba wetu alikusudia hivyo. Mwanamke anastahili kupendwa, kutunzwa na kulindwa. Sasa mwanaume kazini mwanamke kazini ndo maana wanadai haki sawa. Wanawake wa siku hizi hawajui na hawapati raha ya kuwa wanawake cha ajabu wanataka kuwa sawa na wanaume kwa kufanya kazi ila wanachojijengea ni kiburi kinachowaangamiza wenyewe, na nikwambie kitu, men are smart wanawapa nafasi ila wanawatumia na kuwaacha.

Mwisho naomba nitoe ushauri kuwa kama unaweza kumudu stress kila kukicha, malumbano, kushitakiana oa career woman, ila kama ungependa kuishi kwa amani tele oa house wife.

Ushauri wa mwisho sasa fanya unavyofanya ila usioe single mother afu ukute ndo career woman aisee aisee
Tuna mtazamo sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom