ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,207
Yeye ametaka ndoa ambayo mume anatoa kila kitu mke amekaa nyumbani,akife mke mume ataendelea nawajibu wake km provider,sasa akifa mume ambaye ndo provider nani atalea familia ili hali mke alikuwa nyumbani tu?????Vipi akifa yeye nani atalea familia?!