Mayala B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 2,353
- 5,723
- Thread starter
- #101
Hahahahaaaa wateja wengi mpaka unawakimbia?
Sasa kama wateja wa chips yai wamekosa hao wateja wa nguo unawatoa wapinina hardware dodoma, duh, wateja wengi mpaka nawakimbia, sasa we dodoma unaenda kuuza chips yai utaacha kulalamika? uza hata nguo wanachuo wengi utapatapo wateja