Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

Waliohamisha serikali mbali na kuamini kuwa Dom ni makao makuu ya nchi bali pia walitaka kwa namna yoyote ile kuipiku Dar ila imeshindikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hv magufuli anawezaje kukusudia Dom iipiku Dar wakati ye kwao Chato huko, halafu hii kitu ya Dom kuipiku Dar siyo leo wala Kesho labda miaka 10 ijayo angalau kuanza kuisogelea lakini kwasasa mapema sana kuanza kuishindanisha Dom na Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliohamisha serikali mbali na kuamini kuwa Dom ni makao makuu ya nchi bali pia walitaka kwa namna yoyote ile kuipiku Dar ila imeshindikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, walio hamishia makao makuu Dodoma ndio wanao ijenga Dodoma. Sasa unapo sema kwamba aliamini ama kutaka Dom kuipiku Dar, hiyo sio kweli.
Kimsingi Dodoma ndio inajengwa, na Dodoma bado haija fanana wala kulinganishwa na Dar. Ingawa kwa jinsi inavyo jengwa na kupangwa pamoja na miundo mbinu, nina hakika Dodoma itakuja kuwa jiji zuri na lakuvutia zaidi kwenye miaka 7-10 ijayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv magufuli anawezaje kukusudia Dom iipiku Dar wakati ye kwao Chato huko, halafu hii kitu ya Dom kuipiku Dar siyo leo wala Kesho labda miaka 10 ijayo angalau kuanza kuisogelea lakini kwasasa mapema sana kuanza kuishindanisha Dom na Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dar ni mji mkongwe, hata miaka 20 ipite bado dom kua kama dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv magufuli anawezaje kukusudia Dom iipiku Dar wakati ye kwao Chato huko, halafu hii kitu ya Dom kuipiku Dar siyo leo wala Kesho labda miaka 10 ijayo angalau kuanza kuisogelea lakini kwasasa mapema sana kuanza kuishindanisha Dom na Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndilo kosa ambalo watu wengi wanalifanya. Ukweli naona watu hapa wanajaribu kuilinganisha Dom na Dar, lakini wanasahau kwamba ili Dom ije ifananishwe na Dar inatakiwa juhudi zifanyike kwa walau miaka mingi kidogo mbeleni.
By the way, hata Dar mpaka inafikia hapo ilipo kwanza ilijengwa kwa miaka mingi na vivyo hivyo itakavyo kuwa Dodoma in ten years to come

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, walio hamishia makao makuu Dodoma ndio wanao ijenga Dodoma. Sasa unapo sema kwamba aliamini ama kutaka Dom kuipiku Dar, hiyo sio kweli.
Kimsingi Dodoma ndio inajengwa, na Dodoma bado haija fanana wala kulinganishwa na Dar. Ingawa kwa jinsi inavyo jengwa na kupangwa pamoja na miundo mbinu, nina hakika Dodoma itakuja kuwa jiji zuri na lakuvutia zaidi kwenye miaka 7-10 ijayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Watapanga vyote ila hali ya hewa itabaki kuwa ile ile ya kuumiza mionekano ya watu ,dodoma watumishi wanachakaa jamani lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watapanga vyote ila hali ya hewa itabaki kuwa ile ile ya kuumiza mionekano ya watu ,dodoma watumishi wanachakaa jamani lol

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu, kwani hali ya hewa ya Dodoma inaumiza nini ama wapi?
Na swala la watumishi kuchakaa, huo ni uzembe wao kwasababu kujipenda ni utashi wa mtu mmoja mmoja.
By the way, kwani walio hamishiwa Dodoma walipunguziwa mishahara yao hadi sasa uwaone wamechakaa..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo wewe hebu wapgie simu watu walioko CHINYOYA maeneo ya pestana hii ni siku ya tatu Hakuna maji .... Na wiki huwa haikatiki bila maji kukatika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwa Dodoma mjini hakuna eneo ambalo halipati maji kwasababu chanzo cha maji tunayo yapata Dodoma nzima hatujaweza kuyatumia hata kwa asilimia hamsini.
Sehem ambayo haina maji Dodoma ni pale tu ambapo Duwasa haija fikisha miundombinu kwaajili ya kusambaza maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja nyepesi hii, kama unataka mionekano mizuri, mkae ndani na mumeo, ajiri wapambaji na wapiga picha mjiphotoe na kurusha instagram huko msifiwe.[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Yaweza kuwa nyepesi ila yenye mantiki ,ukweli upo ndani yake Mjomba "wanapauka,wanachakaa" nashukuru Mimi niliachwa hapa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu, kwani hali ya hewa ya Dodoma inaumiza nini ama wapi?
Na swala la watumishi kuchakaa, huo ni uzembe wao kwasababu kujipenda ni utashi wa mtu mmoja mmoja.
By the way, kwani walio hamishiwa Dodoma walipunguziwa mishahara yao hadi sasa uwaone wamechakaa..??

Sent using Jamii Forums mobile app
ile Dry Wind ya Udom kule si nzuri kwa kweli tena wangewa double mishahara tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii purukushani ya kuhamishia Wizara Dodoma imewaathiri watu wengi sana. Nyumba bado ni za shida, maji ya shida na changamoto nyingine lukuki.

Sasa sijui mambo yatakuwaje hapo mbeleni. Wafanyakazi wengi wameziacha familia zao Dar es salaam. Nimemhurumia sana jamaa yangu, analazimika kurudi Dar kila Ijumaa kwa ajili ya familia.

Wadau mlioko Dodoma kutoka Dar ni changamoto gani nyingine mnazokutana nazo Dodoma?

Poleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ujinga na uvivu .kuna watu wapo vitani Congo Drc mwaka sasa hawajarudi, unafikiri hawana familia pumbavu. Au unafikiri ni mahanisi sigizigi wewe, acha kazi uone kazi kupata kazi. Mnawaza Club ambiance ,mara matako bar, Tabata kula bata. Pumbavu umesahau kazi ndiyo iliyokufanya ununue smartphone. Nyang'au wewe unawaza starehe kuliko kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndoa zetu zipo kwenye majaribu makubwa...umbali na wa ubavu wako ni kitu hatari sana kwa ustawi wa familia..tumeumbwa tu wadhaifu... sasa kuna wale eti eee ni kuaminiana tu bwana...... nasema hivi unamwamini huyo ni mamako au babako mzazi? Yaani kitu miezi 3 kipo mbali unategemea nini sasa hapo!!
 
Kiranga, Hoja zako dhaifu sana ndugu, nimekuuliza jambo moja je vipaumbele vya nchi vinavyotakiwa ni vipi kwa Sasa ukiachana na kuhamia Dodoma ila haujanijibu?

Tatizo nikikujibu popote, una uwezo wa kuliona jibu? Utaelewa ninachoandika?

Sijakujibu na kukuambia serikali itangulize vitu vyenye Return On Investment kabla ya kufanya straight up expenditures kama kuhamisha mji?

Unaelewa hilo maana yake nini? Unaelewa Return On Investment ni nini?

Kama huelewi, kwa nini huulizi ueleweshe? Kama unaelewa, kwa nini unaandika sijakujibu?

Umeanza kuongelea Capital Development Authority - CDA ambayo siyo msingi wa Hoja na pia ilishavunjwa hiyo mamlaka.

CDA inakosaje kuwa sehemu ya msingi wa hoja wakati ni mamlaka iliyoanzishwa kuhamisha mji kwenda Dodoma, ikashindwa? Inakosaje kuwa sehemu ya msingi wa hoja wakati inaonesha incompetency ya serikali?

Unasemaje si msingi wa hoja?

Pia umesema nchi zinazoendelea zinatakiwa kuwa uchaguzi mzuri wa vipaumbele ili zianze na Miradi inayozalisha kwanza, je vipaumbele vipi vinavyotakiwa kufanywa na nchi Sasa ukiachana na jambo la kuhamia Dodoma?

Sasa unataka niweke laundry list ya miradi badala ya kuongelea main ideas hapa? Nimeongelea ujinga wa serikali kuingilia biashara ya korosho, saidia wakulima waweze ku add value kwenye korosho waongeze exports na revenue. Tumia hela chache kuwatengenezea miundombinu na kuwezesha wafanyabiashara wajenge viwanda vya kubangua korosho, tu export finished products badala ya raw materials. This is a basic example of how the government has wrong priorities.

Una export raw korosho, huna kiwanda cha kubangua korosho cha kueleweka, halafu unahamisha mji mkuu.

Ni kama vile watoto wanakufa kwa njaa hawana chakula, baba unaenda bar kulewa!

Umesema unaongelea idea nzima ya kuhamia Dodoma tangu Enzi za nyerere ilikuwa ujinga mtupu, nafikiri wewe umetembea nchi kadhaa,
je unafahamu kwamba nchi zifuatazo zilibadilisha miji mikuu iliyorithi kutoka kwa wakoloni na lengo ilikuwa kurahisisha Utawala wa nchi, ulinzi , kuweka uwiano wa maendeleo ya maeneo ya nchi n.k.
nchi hizo ni Nigeria: Lagos to Abuja, Misri: Cairo to new Cairo, Brazil: Rio de Janeiro to Brasilia n.k

Unafananisha chumi za Nigeria, Misri na Brazil na uchumi wa Tanzania? Umeangalia hata GDPs tu za hizo nchi?

Nchi zote ulizozitaja hazipo katika level ya GDP ya Tanzania. Umasikini wetu hauturuhusu kufanya mradi wa luxury kama kuhamisha mji mkuu. Nigeria wametumia petrodollars kuhamisha mji mku. Walivyotaka kuhamisha walikuja kuchukua uzoefu kwetu. Matokeo yake, waliokuja kujifunza kwetu wamemaliza kuhamisha mji mkuu, sisi hatujamaliza. Kwa sababu hatuna hela, hatuna commitments.

Kuhamisha mji mkuu ni expenditure. Nchi masikini zina demands nyingi sana kwenye forex zake. Zinatakiwa kuwa makini kutumia forex kwenye miradi yenye

Unasema serikali imeamua kushindanisha dodoma na dar es salaam mji ulioibuka naturally, kwa kifupi hii Hoja yako Haina ukweli.

Hapa unaonesha uvivu wa kujenga hoja tu, unasema kitu, halafu unashindwa kukitetea.

Nimeeleza kwa kifupi ili turudi kwenye msingi wa Hoja, ni kwamba jambo la kuhamia Dodoma serikali iko sahihi na faida zake ni nyingi sana kama nchi na sio kwa kuangalia mawazo ya wafanyakazi wachache wa serikali wasio taka kuhama dar es salaam sababu ya Mazoea.

Faida ya kuhamia Dodoma ni ipi ambayo isingeweza kupatikana kama mji mkuu usingehamishiwa Dodoma?

Again, unaonesha uvivu wa kujenga hoja. Nilitegemea uorodheshe faida ni hii na hii na hii.

Hujaorodhesha. Hata wewe mwenyewe unazijua hizo faida au unasema zipo bila kuzijua tu?

Halafu kama bado una Hoja Jaribu kufata mtiririko wa Hoja sio kuruka ruka na maneno Bila mpangilio Mara CDA, Korosho, export za agriculture, exploit agriculture potential, social benefits na mengine kama hayo uliyoongea ambayo sio msingi wa Hoja ambavyo jibu la hayo yote ni kwamba serikali haiwezi kufanya mambo yote kwa wakati mmoja.

Hoja ukiiona utaijua? CDA mismanangement itakosaje kuwa hoja katika mjadala wa kuhamia Dodoma? Serikali isiyo na mkakati kwenye biashara ya korosho lakini inayoweka kipaumbele kuhamia Dodoma itakosaje kuwa hoja?

Kuanguka kwa exports za agriculture kwa sababu serikali haina mkakati wa ku add value kwenye agricultural products wakati serikali ina prioritize kuhamisha mji mkuu kutakosaje kuwa hoja?Nchi yenye watu wasio na social benefits za kueleweka, halafu manakimbilia kuhamisha mji mkuu itakosaje kuwa hoja kuonesha misplaced priorities?

Msingi wa hoja ni nini? Unaweza ku define msingi wa hoja?


Hoja ni kwamba kuhamia Dodoma Unasema ni gharama na Unasema serikali ifanye vipaumbele vingine,
Je gharama hizo za serikali kuhamia Dodoma ni zipi na je vipaumbele vingine ambavyo serikali inatakiwa kufanya ukiachana na kuhamia Dodoma ni vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hilo Bunge limejengwa kwa hewa? Ofisi za serikali? Nyumba za wafanyakazi wa serikali? Mafuta ya kupeleka watu Dodoma na kurudi Dar

Soma wataalam wameandika hapa "Poverty stricken Tanzania, unlike Nigeria, cannot throw hundreds of millions of pounds at the scheme and it will take some time to develop".

Bado unasema hakuna gharama?

 
Back
Top Bottom