Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

Natamani kuwe na kampeni endelevu za kuifanya Dodoma kuwa KIJANI. Sijui Kama kuna mkakati wowote wa makusudi kuweza kufanya hili kuwa Halisi.
Wajapan walianzisha nursery pale maili mbili, SNV ilianzisha kitengo cha miti huko huko maili mbili na kupanda miti Dodoma nzima kwenye mradi wa DOVAP. hivyo vyote vilitoweka sababu ya siasa zetu za kuchagua kipi kwanza. Wafadhili walipoondoka wakaondoka na kila kitu sis tupo tu. Dodoma inahitaji kupandwa miti nyingi na itasaidia hata mvua kuongezeka. Mimi kama mwenyeji wa Dodoma nimejitahidi kupanda miti ya kidumu kibao na nina kisima ambacho natumia kumwagllia maji. Karibuni Idodomya jamani.
 
Unapofananisha dodoma na dar tayari unajitengenezea tatizo kwenye ubongo wako!

Ukiwa dodoma ishi kidodoma dodoma
Nilikua Dodoma wiki iliyopita,kwa kweli hata wapafanyeje Dom hapawezi kufanana na Dar
Ukame ukame kiasi kwamba hata majengo mazuri yaliyojengwa yanakosa mandhari ya kupendeza mfano lile jengo la bodi ya barabara limeisha ila halivutii,lipo mlimani yaani halina mvuto kabisaa
Ule upepo wa udom kule unawapausha maofisa ,hawapendezi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom