Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

Ushauri wa bure: Msije Dodoma mnadanganywa sana

Yani eneo likiwa na shida na maji si Salama kwangu..pole ziwafikie wana Dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, wasikutishe wanao iponda Dodoma.
Dodoma haijawahi kuwa na shida ya maji kuanzia nilipo ifahamu rasmi 2017.
Na tangu nihamie Dodoma, sijawahi kuona wauza maji kwa matoroli wakitembeza kama huko Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalifahamu joto la Dom wewe? + ile Dry wind inayovuma hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu.... Dodoma haijawahi kuwa na joto kali, na hata ikiwa na joto ni kwa kipindi kifupi sana na sio joto kama la Dar.
Hali la kipupwe chenye upepo kwa Dodoma ni kawaida hasa wakati wa kiangazi na hii imetokana na mazingira ya kijiografia ya Dodoma, na hali hii inaenda kuisha hapa karibuni kwasababu tayari Dodoma imekuwa na kampeni kabambe ya upandaji wa miti kwa kila eneo linalo rasimishwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa anasema Dodoma pagumu sana.
Hata utendaji unashuka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ugumu wa maisha mnao uona Dodoma peke yake ni upi?
Hapa naona watu wamebadilisha hili swala na kulifanya kisiasa zaidi ili wajenge sababu zisizo na mashiko baada tu yakuhamishiwa Dodoma.
Kama mnaona kuishi Dodoma ni ngumu, basi acheni kazi tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivi, mini siongelei kuhamia Dodoma kama mtu ninayekusoma magazetini.

Nimeona bajeti zikipitishwa na kuliwa miaka nenda rudi. Nineona namba zikibadilishwa.

Walioongoza CDA ni watu nawajua kwa karibu sana. Nikiingea nao wananipa malalamiko yao.

Hapa sijui hata kama watu wanajua CDA ni nini.

Nchi zinazoendelea zinatakiwa kuwa na uchaguzi mzuri sana wa vipaumbele. Ili, zianze na miradi inayozalisha kwanza, ili pesa chache za kigeni kabla ya kuwekezwa kwenye projects zisizo na uzalishaji kama kuhamisha mji mkuu, ziwe zimezunguka kwenye uzalishaji.

Kuhamisha mji mkuu hakuna uzalishaji. Ni straight expenditure tu.

Tuanze na vitu vyenye Return On Investment. Kuhamisha mji mkuu hakuna ROI.

Serikali imeingilia biashara ya korosho, imeangusha mapato ya exports za agriculture kwa asilimia 55, kwa mwaka mmoja tu, halafu tunahamisha mji mkuu?

Unasema kuhamisha mji mkuu hakuna gharama, hao watu wanaotoka Dar kwenda Dodoma wanapaa kwa ungo?

Serikali inatakiwa kuweka mazingira mazuri ya biashara, kukusanya kodi, kusambaza huduma za jamii, kuhakikisha usalama wa raia na mali zao.

Serikali inadaiwa madeni kibao, haijalipa wastaafu, haina social benefit network ya kueleweka, haija exploit agri ultural potential to even half, haya yote yangewe,a kufanyika vizuri sana kwa hizi fedha zinazounguzwa kwa ujinga wa kuhamisha mji mkuu.

Mji mkuu ulikuwepo tayari Dar, ume develop kwa biashara, naturally.

Tumeamua kushindana na mji ulioibuka naturally, kwa sisi kutaka gharama nyingi za kujenga mji mkuu tofauti.

Bila ya sababu ya kueleweka.

Na watu wanafurahia.

Unasema kuhamia Dodoma hakujagharimu kwa sababu Bunge na Ikulu vipo Dodoma miaka mingi, hata huelewi kwamba mimi nakosoa hilo jengo la Bunge na Ikulu kujengwa Dodoma.

Hivi unaelewa ninachijadili hapa?

Au unarukia kuhamia Dodoma ndani ya awamu ya Magufuli tu?

Mimi naongelea idea nzima tangu enzi ya Nyerere ilikuwa ujinga mtupu!

Sasa utasemaje Ikulu na Bunge tayaribyapo Dodima? Kwani mwaka 1961 kulikuwa na Ikulu na Bunge Dodoma?

Watu ambao kodi zao zinatumika ku homa mafuta safari za Dodoma, kujenga majengo ambayo tayari yapo Dar.

Ni umasikini wa mawazo. Wa kujitakia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wivu tu !!!
Hutaki Dodoma iwe kama Dasilamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu.... Dodoma haijawahi kuwa na joto kali, na hata ikiwa na joto ni kwa kipindi kifupi sana na sio joto kama la Dar.
Hali la kipupwe chenye upepo kwa Dodoma ni kawaida hasa wakati wa kiangazi na hii imetokana na mazingira ya kijiografia ya Dodoma, na hali hii inaenda kuisha hapa karibuni kwasababu tayari Dodoma imekuwa na kampeni kabambe ya upandaji wa miti kwa kila eneo linalo rasimishwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo wewe hebu wapgie simu watu walioko CHINYOYA maeneo ya pestana hii ni siku ya tatu Hakuna maji .... Na wiki huwa haikatiki bila maji kukatika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hakuzoeleki kwa kweli ndoa zetu zinayumba kwa ajili ya Dodoma


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, swala zima la uhamisho na kumuacha mwenza ni janga.
Na hapa ndipo huwa pagumu sana kwetu sisi wana ndoa, hata hufikia wengine kuamua mmoja kuacha kazi ili abaki na familia.
Uhamisho penginge huu ndio wakati mgumu kukiko kipindi chote kwa wana ndoa kwamba uchaguwe kazi ama uchaguwe ndoa..??
Hivyo nirudie tu kusema kwamba Dodoma haina mahusiano na kuyumba kwa ndoa yako mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom