Private-eye
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,211
Ishu ni maji na ni sehemu yenye mvua kiduchu sana.I was thinking the same.... Mkoa kama dodoma ukipandwa miti ya kutosha.... Tuseme miti ya misitu isiyopungua milioni tano kwa mwaka..... Ndani ya miaka kumi dodoma itakuwa na hali ya hewa nzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dodoma sio kama Rusinga kwetu mkuuUtakuta anaye lalamika dar aliingia kama mkimbizi kutokea bushi ya vichakani afadhali hata ya Dodoma!!!
Hicho sio kigezo cha kupeleka makao makuu Dodoma (poverty mentality)
Mhh wewe unazungumzia Dom ipi,upatokanaj wa maji Dom mjini Ni zaidi ya asilimia 90.Hakuna maji kabisa Dodoma mkuu.
Kipindi cha kiangazi inaweza kata miezi 6 bila drop ya mvua![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo mdogo Mkuu, tutafika tuNchi ina mambo kibao yanahitaji kufanywa, haijamaliza.
Halafu inajiongezea kitu kingine ambacho si lazima cha kufanya.
Kwa gharama kubwa sana.
Halafu tunashangaa kwa nini bado ni masikini kama jamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo tukifika hata hapo tunapoenda penyewe patakuwa pashaondoka na Continental Drift.Mdogo mdogo Mkuu, tutafika tu
Mkuu, wapi huko ambapo hakuna maji?Hakuna maji kabisa Dodoma mkuu.
Kipindi cha kiangazi inaweza kata miezi 6 bila drop ya mvua [emoji98] [emoji98]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hizi ni propaganda za wale ambao bado hawataki kukubali kwamba Dodoma ndio imekuwa makao makuu ya nchiYani eneo likiwa na shida na maji si Salama kwangu..pole ziwafikie wana dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiranga mbona unatutisha wana iDodomya hilo ni linini tena Bonde la ufa?Tatizo tukifika hata hapo tunapoenda penyewe patakuwa pashaondoka na Cintinental Drift.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] maofisa wanapauka, Tanzania hii dar itabaki kua dar maana tokea enzi za wakoloni ndio palikua Tanzania mjiniNilikua Dodoma wiki iliyopita,kwa kweli hata wapafanyeje Dom hapawezi kufanana na Dar
Ukame ukame kiasi kwamba hata majengo mazuri yaliyojengwa yanakosa mandhari ya kupendeza mfano lile jengo la bodi ya barabara limeisha ila halivutii,lipo mlimani yaani halina mvuto kabisaa
Ule upepo wa udom kule unawapausha maofisa ,hawapendezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, unalalamika sana.... Ebu tuambie hapa, wapi hakuna maji Dodoma?
Kigezo ni kipi?Hicho sio kigezo cha kupeleka makao makuu Dodoma (poverty mentality)
Huyu jamaa anataka kudanganya watu hapa.Mhh wewe unazungumzia Dom ipi,upatokanaj wa maji Dom mjini Ni zaidi ya asilimia 90.
Hata kuhamia Dodoma ni moja kati ya mambo kibao yanayohitajika kufanywa, pia ni moja kati ya kitu ambacho ni lazima kufanywa.Nchi ina mambo kibao yanahitaji kufanywa, haijamaliza.
Halafu inajiongezea kitu kingine ambacho si lazima cha kufanya.
Kwa gharama kubwa sana.
Halafu tunashangaa kwa nini bado ni masikini kama jamii.
Sent using Jamii Forums mobile app