Ushauri wa bure kwa Waislam

Status
Not open for further replies.
Mkuu MZIMU.

Mkubwa wetu Mkandara tupo nae muda mrefu humu kwenye Jihadi toka 2008.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MZIMU.

Mkubwa wetu Mkandara tupo nae muda mrefu humu kwenye Jihadi toka 2008.

Mmepata ufadhili wa ISIS,BOKO HARAM au AL SHAABAB? Muulizen sheikh farid raha ya ndoa ikoje huko aliko
 
Last edited by a moderator:
Hii bayana naichukuwa kama data kwa siku za baadae.
 
Mmepata ufadhili wa ISIS,BOKO HARAM au AL SHAABAB? Muulizen sheikh farid raha ya ndoa ikoje huko aliko
Mkandara yupo JF wakati wewe bado upo kijijini kwenu haujui Jambo Forums ni nini, teh teh teh!!
 

Huo upuuzi mwingine ulioandika sina haja ya kucomment na kujaza page.. Hilo la kupenya hadi chuo kikuu ni kutokana na mwamko wa waislamu wengi kwenda shule kipindi kile. Na mtakumbuka maneno ya Prof. Kapuya na Makamba enzi zile walivyowaambia acheni kuilaumu serikali haiwasaidii waislamu, kazaneni muende shule..

Mimi nimesoma shule mbali mbali, na katika hizo shule including vyuo vya elimu ya juu, wengi wetu tutatambua ubaguzi wa kidini ambao umekuwa ukiendeshwa na hii inatokana na watu kuwa na mawazo mgando kama yenu kuwa "tunaonewa". Group discussions badala ya kukazana kuungana au kuwa na mix ya watu wenye uwezo, watu wanakomaa na watu wa dini zao...

Hebu tuache kueneza propaganda za kidini kaeni chini mfanye kazi na kuacha kukaa barazani kunywa kahawa mkitegemea serikali itawakomboa...

Ushauri; siku nyingine jibu hoja kwa hoja na sio porojo.. Ungejibu maswali yangu ningeona una malengo ya kujadiliana kwa hoja..
 
D2050 nikupongeze kidogo wewe hujatukana sana kma kawaida ya wanaitwa waislamu halisi......mimi nina rafiki yangu ni muislam safi wa swala 5 na surual fupi....huwa ananambia mahakama ya kadhi wengi wasiyoitaka ni waislamu wasomi na wenye uelewa wa haki za binadamu.huwa anaelezea mambo meng sana....mengine si vizur kuandika....ila mimi naona moja ya madhara hayo ni ...
1. Kuvunjika kwa umoja wa kitaifa uliopo kati ya waislam, wakristu na wapagani
2. Ugomvi wa kimaslahi kati ya wakristu, wapagani na waislam. Endapo Mahakama ya kadhi itaingizwa kwenye katiba ya nchi ni wazi itagharamiwa na serikali na hivyo viongozi wa dini ya kiislam ambao ndiyo watakuwa makadhi watatumia fedha za walipa kodi wa Tanzania ambao ni waislam, wakristu na wapangani kujinufaisha wenyewe kwa kujitengenezea ajira. Vipi kuhusu viongozi wa dini za wakristu Maaskofu, Mapadri, Wachungaji na Viongozi wa dini za Jadi nao watakuwa wanalipwa na Serikali?
3. Kutoweka kwa wakristu kutokana na utawala wa sharia, sababu hukumu iliyo tawala kwenye sharia ni kifo hivyo wakristu watauwawa kwa kuwa hawatakubali kuishi tamaduni za kiislam.
 
Mkandara yupo JF wakati wewe bado upo kijijini kwenu haujui Jambo Forums ni nini, teh teh teh!!
Ritz na wewe unalalamikia suala la elimu? Labda benno malisa aje atusaidie
 
Last edited by a moderator:

Ndugu yangu wewe unamakengeza ua vipi?. Uislamu sio Majina, tumia akili yako vizuri. Ulishamuona mtu akawa Muislamu akamiliki Bendi ya Muziki, au kufunga ndoa na Mkristo au asiekua Muislamu.
 
MZIMU pole sana kwa pigo takatifu la karne,vipi mkuu,jihadi imeishia wapi au jeshi limesambaratika,niliona ulianza kugawa vyeo vya kijeshi
 
Last edited by a moderator:
Nakupa angalizo dogo tu kwamba hii katiba ni ya miaka hamsini ijayo,nina imani katika maisha yako mpaka unakufa hutalishuhudia taifa hili likiwa na taasisi yenye mandhari ya udini
 
Last edited by a moderator:

Huo ndo upuuzi wa karne ya zamani kutaka utumike hadi leo. Huyo mtoto wa nje ya ndoa yukoje ktk dunia hii ya sasa? Yaani kwa upuuzi wa huyo anayeitwa marehemu,mndi iwe sababu ya yeye kukosa haki ya babanyake?
 
Huo ndo upuuzi wa karne ya zamani kutaka utumike hadi leo. Huyo mtoto wa nje ya ndoa yukoje ktk dunia hii ya sasa? Yaani kwa upuuzi wa huyo anayeitwa marehemu,mndi iwe sababu ya yeye kukosa haki ya babanyake?

Ushasema huu upuz so hata huyo mtoto ni mpuuzi.sisi waislam hatuwatambui watoto wanaotokana na upuuz
 
Kwa namna Serikali haiwezi kuruhusu kila mtu kuwa na mahakama anayojisikia yeye kuwanayo. Kama Waislam wanaona hawatendewi haki na mahakama zilizopo kwa mujibu wa Quran hata Wakristo watadai mahakama yao kwasababu mahakama zilizopo haziwatendei haki kwa mujibu wa Biblia Takatifu. Mfano Biblia imetuagiza kusamehe 7x70, lakini mahakama zilizopo hazitusamehe hata mara moja labda ukae jela miaka kadhaa ndipo huruma ya rahisi ikupitie. Kwa mantiki Wakristo tunataka mahakama ambazo tutakuwa tunasameheana 7x70. Je na wakristo wadai mahakama yao iwepo kwenye katiba? Iwapo serikali itaruhusu kila dini kuwa na mahakama yake, Je mahakama zilizopo zifungwe au zifutwe ili kila dini itumie mahakama yake ya dini?
 
MZIMU pole sana kwa pigo takatifu la karne,vipi mkuu,jihadi imeishia wapi au jeshi limesambaratika,niliona ulianza kugawa vyeo vya kijeshi

Nakupa angalizo dogo tu kwamba hii katiba ni ya miaka hamsini ijayo,nina imani katika maisha yako mpaka unakufa hutalishuhudia taifa hili likiwa na taasisi yenye mandhari ya udini

Mzimu tupo usifikir tumekuacha Ila hatujaona jipya tunaona wanaropokaropoka tu

Haya bwana! Asiekubali kushindwa si mshindani, kipa kauza timu, sasa sisi tutafanyaje. Ila mark my words. You have just won a battle, the War still rages on.

Ila najua mnajua na mnakiri kua tupo sahihi, ila mnashindwa kutuunga mkono, kwa sababu kuna watu kama hao ndani ya jitihada zetu.
 
Kidumee Sheikh Farid akisalisha . Nyuma walo maamuma Karume na Shein Leo watanganyika wamemlawiti.... uhaini mkubwa na shari kubwa kwa uislam

Mbona unakauli chafu mkuu?

Turudi kwenye, unadhani kunaulazima gani wa mahakama yakadhi kuwepo kwenye katiba?
 

Wewe wacha hoja za kijinga na ukifuu.
Bakwata ni taasisi ya iliyo undwa kwa kiasi kikubwa na Nyerere lengi ikiwa udhibiti wa waislam wasipinge sera zake la kulinufasisha kanisa kama alivo liahidi.hata baada ya kuondoka yeye
Bakwata ni sawa na tawi la ccm limekuwa likichaguliwa viongozi kwa kuwekwa hata watu wasio soma mfano wa mufti wa sasa.
Hili waislam wamesha achana nalo na bakwata imebaki kutangaza siku ya eid kwa vile inakua holiday otherwise haina impact yoyote na kila muislam anaejijua ameachana nayo.

Tuje kwenye mahakama ya Kadhi.
Hii ni mahakama ya sheria.
Kama mahakama nyengine mfano mahakama ya chini ya juu yaani high court au mahakama ya appeal.
Pia ni sawa na mahakama ya kazi au mahakama ya watoto au mahakama ya biashara au mahakama ya ardhi.
Hizi zote ni mahakama lengo likiwa ni kuendesha mashtaka madai na kutoa hukumu kwa mujibu wa sheria zinazohusika.
Na serikali imezigawa court hizi ili kuleta ufanisi zaidi.
Mahakama ya kadhi nayo ni mahakama ya sheria itakayo simamia haki na sheria inazohusu ndoa na mirathi ya waislam.
Waislam wana utaratibu wao katika mambo hayo.
Katika nchi yenye serikali halali yenye katiba mambo yote yanayohusu sheria huwa chini ya serikali yenyewe ndio msimamizi wao ndio dola.
Mahakama hizi zitaajiri wanasheria na majaji walo somea islamic law kwa viwango vitavo wekwa kama majaji wengine wa sasa hivi. Hapa bakwata hawaingii wala sio suala la kuwaundia waislamu kama ilivo kuwa bakwata.
Sheria siku zote husimamiwa na serikali na mahakama zake..na hio hufanya hukumu zitolewazo kuwa halali kwa zinakuwa kwa mujibu wa katiba ya nchi na katiba inazilinda.
Njee ya mfumo wa serikali hakuna mahakama .
Hapo nyuma mahakama hizi zikikuwapo na hazikuleta problem yoyote.chuki ya nyerere kwa waislam ndio akazifuta bila ya sababu za msingi.
Chuki ile ndio amewarithisha leo mkaona mkatae tu .
Inavo elekea nchi hii waislam wao wakubali ku sacrifice mambo mengi ili kuleta umoja na uwelewano.mfano nchi za kiislam zinapumzika alkhmis na ijumaa ili wapate muda wa kusali siku ya ijumaa.vile vile nchi za kikristo wao hupumzika jumamosi na na jumapili ili wasabato na wakatoliki wapate muda wa kwenda kanisani.
Tanzania sio nchi ya kikristo ila mkoloni alikua mkristo akatuwekea utaratibu huu kwa vile alikuwa jumapili anaenda kanisani. Utaratibu huu tukaurithi mpaka leo na waislam wameridhia kama njia ya kustahamiliana.pia
Serikali imekua ikiingia mikataba mingi kwa niaba ya kanisa pia imekua ikiziendesha tasisi zake zake kwa mabilion kila mwaka inawalipa madaktari wote katika hospital za kanisa na hospital hizo hazitoi huduma bure ila kwa malipo na ni ghali mno na waislam pia hilo wanaliona sawa ni katika kuvumiliana.
Leo kuendesha mahakama yenye mahakimu wasio zidi 50 kulipa mshahara hawa watu basi wakristo wana mind sana !! Ilhali hizi mahakama kimsungi ni za madai hivyo kuna malipo yakufungulia kesi na pia kwenye urithi sehemu ya mali hukatwa kama kodi kwa serikali.
Wakristo wanaonesha chuki tu kwa visababu vya uongo uongo ili jambo hili lisipite wao wanadhani ndio wanauzuia uislam usisambae tanzania.
Tunahitaji kustahamiliana kuleta utengano katika nchi.
Haya tuyowafanyia waislam kwa vile mumehodhi bunge sio la kujisifia nchi inaenda kidogo kidogo kwenye mawazo ya hili la waislam na hili la wakristo..nchi moja njia tofauti hatutofika popote zaidi ya kuchukiana ndani ya nchi moja
 
Kuna kitu kimoja wengi wetu hatukijui kwamba mkristo hawezi kumshauri kitu muislam na muislam akakubali na muislam vile vile hawezi kumshauri kitu mkristo na mkristo akakubali lambda hilo lifanyike nje ya dini na bila kutumia jina la dini yeyote
 

Wewe kama sio uislam ungebaki hukoo kijijini unalala na ngombe.
Jiangalie na mababu zako tuliwapokea na hatukuwa chinja...mlipokuwa na njaa na babu zako mlipolima vijijini na chakula hakizai ni muislam alo kufanya leo uwe na simu ya ku chat hapo babu yenu akisema ni anasa...ujinga mtupu..
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…