Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,240
- 6,608
- Thread starter
-
- #21
Sawa MjombaWewe ni mjomba wangu kabisa, na kama ilivyo ada mjomba ni mama.
Na kama wewe ni mama yangu ni lazima nikupe ukweli.
Unakubalije kuwa na kalio mjomba?
Anza hata kuruka kama ili kalio likaze kwanza ndio uanze mazoezi mengine.
BTW nikutakie siku njema mama yangu.
Ila ni mwonekano wa hovyo mno kwa mwanaume, yani hovyo kabisa.Hapana bhanaa kuna men wana big thigh and ass but si kihivyo
So the guy ni insecured tu
Mkuu nashukuru nitazingatiaKimbia angalau 5-7km kwa Siku.
Unakimbia kawaida dakika 2-5 unatembea haraka dakika 1. Hivyohivyo.
Zoezi la kusimama huku unanyanyua mguu huu na mguu huu. Piga 100 per day.
Piga zoezi la balance la kusimama kwa mguu mmoja dakika 1-2 alafu na mwinginw hivyohivyo
Piga zoezi la kuruka kamba.
Asee unajiuzaMimi ni mrefu almost 6.4 ft.
Miaka 27 Nina kilo 89.
Kuanzia kichwani mpaka kiunoni ni mwembamba wa kawaida
Ila kuanzia kiunoni mpaka kwenye mapaja ni mnene kabisa tusema Nina asili ya shape na hips nahisi ni genetics nime inherit,
Je ni aina Gani ya mazoezi au life style naweza kuishi au kufanya ili niweke kuwa bora na stable.
Kifupi ni kupunguza mapaja na makalio.
Ahsante karibu sana kwa ushauri.
Kuna mambo mkuu yapo nje ya uwezo wa binadamu, yaani hawez kujipangia .Ila ni mwonekano wa hovyo mno kwa mwanaume, yani hovyo kabisa.
Absolutely 💯Accept yourself first
Wewe ni mwanaume 100%
No matter how people see or perceive you
It's Okay kwenda gym but that won't remove your insecurities. Deal with your mental and emotional state first
Mkuu nashukuru nitazingatia
Sawa mkuu nitazingatia piaIla kama ni nature isikusumbue.
Mwili wako ni mwili wako.
Muhimu uwe na afya njema.
Mkuu ushaukimbia uzi wako wa mshahara ushapoa tayar😀Mkuu, kimbia mdogo mdogo kama 5 km kila evening
Hamna shida. Uwe unavaa ivo ivo izo buggy jeans. Usivae mibano.Sawa mkuu nitazingatia pia
Ukichagua wanawake wenye makalio makubwa lazima watoto hata wa kiume wayaokote bwashee, kwa namna moja ama nyingine hata jamii zenye vigoda kuna namba za wanaume wameyakwaa bwashee 😅Kuna mambo mkuu yapo nje ya uwezo wa binadamu, yaani hawez kujipangia .
Sawa mkuu ntazingatia zaidiHamna shida. Uwe unavaa ivo ivo izo buggy jeans. Usivae mibano.
ingia gymMimi ni mrefu almost 6.4 ft.
Miaka 27 Nina kilo 89.
Kuanzia kichwani mpaka kiunoni ni mwembamba wa kawaida
Ila kuanzia kiunoni mpaka kwenye mapaja ni mnene kabisa tusema Nina asili ya shape na hips nahisi ni genetics nime inherit,
Je ni aina Gani ya mazoezi au life style naweza kuishi au kufanya ili niweke kuwa bora na stable.
Kifupi ni kupunguza mapaja na makalio.
Ahsante karibu sana kwa ushauri.
Sawa mkuu nitazingatia pia
Sawa ahsanteingia gym
Ubarikiwe sana MtibeliSio tatizo kama hiyo ndio picha yako.
Uko vizuri mbona. Acha kujikosoa.
Kama hiyo picha ni wewe. Fanya mazoezi kwa afya sio kwaajili ya kubadili mwonekano wa mapaja, hipsi . Kwa sababu hakuna tatizo.
Na hata kungekuwa na tatizo bado ungetakiwa kujipenda ulivyo.
If this is you and you are 6ft 4in and 89kg you are ok. Just stay fitSawa mkuu nitazingatia pia