Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,217
- 6,518
Sawa sawawanakuja
MwanaumeMe au Ke?
MwanaumeLeg bridge
Msomali au una asili ya Somaliland?Mwanaume
Mnyamwezi pure from TaboraMsomali au una asili ya Somaliland?
Kwani Gym wanasemaje?Mimi ni mrefu almost 6.4 ft.
Miaka 27 Nina kilo 89.
Kuanzia kichwani mpaka kiunoni ni mwembamba wa kawaida
Ila kuanzia kiunoni mpaka kwenye mapaja ni mnene kabisa tusema Nina asili ya shape na hips nahisi ni genetics nime inherit,
Je ni aina Gani ya mazoezi au life style naweza kuishi au kufanya ili niweke kuwa bora na stable.
Kifupi ni kupunguza mapaja na makalio.
Ahsante karibu sana kwa ushauri.
Noted,Hapo mkuu unatakiwa ukimbie sana na utembee sana,, kikubwa zisiwe nyama uzembe i mean iwe ni misuli asilimia kubwa.
Wewe ni mjomba wangu kabisa, na kama ilivyo ada mjomba ni mama.Mnyamwezi pure from Tabora
Hapana bhanaa kuna men wana big thigh and ass but si kihivyoKwa maelezo yako upo namna hii?View attachment 3593339