Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,712
- 32,489
Nenda/aende Senegal. Pazuri sana na kuna mengi ya kuona na kujifunzaMzee baba huwezi thibitisha ni mimi, kinachokupasa uamini ni mwana until utakapothibitisha ni mimi. Toa ushauri mkuu
Nenda/aende Senegal. Pazuri sana na kuna mengi ya kuona na kujifunzaMzee baba huwezi thibitisha ni mimi, kinachokupasa uamini ni mwana until utakapothibitisha ni mimi. Toa ushauri mkuu
Ume-consider zile factors pale I hope. Let me check Senegal narudi soonNenda/aende Senegal. Pazuri sana na kuna mengi ya kuona na kujifunza
Kilugulu hujatajaNitoke kidg nje ya topic...Huyo mkewe ana yaya??kama hana yaya mwambie kuna mdada mtu mzima anatafta kazi za uyaya...anajua lugha 4 .kiswhili...kingereza.. kisukuma..na kihehe!
All the best🔥
Zambia or zimbabwe kuona Victoria falls, or Mauritius where they will see the best Africa (but $2,500 hazitoshi)Tanzania brother
Hahaha hapahapa tuu tz....si unajua mcheza kwao hutuzwa😊😉😀😀😀😀
Usinizuge hebu ataja hizo nchi bhana
Mkuu, Dakar nauli peke yake ni $1000 per person. This is one of the biggest challenge why we can't travel around Africa. Hakuna flights kiufupiNenda/aende Senegal. Pazuri sana na kuna mengi ya kuona na kujifunza
Hujambo???Kilugulu hujataja
Kenya airways wanakwenda kila siku mkuuMkuu, Dakar nauli peke yake ni $1000 per person. This is one of the biggest challenge why we can't travel around Africa. Hakuna flights kiufupi
Okey, will tell himZambia or zimbabwe kuona Victoria falls, or Mauritius where they will see the best Africa (but $2,500 hazitoshi)
Kigali is also one of the best destination akajidunze usafi
Akichemsha, atafute complementaries said Serengeti
The best place in Tanzania
Aende rwanda Egypt kufanya nini ntakuw mwenyej wakeWaungwana,
Ninae rafiki yangu ambae anajua mimi napenda sana kusafiri as my hobby. Like a week or so, alinipigia simu kuniomba nipendekeze kwake nchi gani atembelee atakapopata likizo yake ifikapo November mwaka huu. Kwa kweli nashindwa kumshauri kutokana na vigezo vyake hivyo nikaona sio mbaya nikaja nikaomba ushauri humu on his behalf.
Budget yake ni USD 2,500 kwa yeye na mke wake na mtoto wao wa mwaka mmoja.
Alikuwa anataka kwenda Egypt lakini hali ya usalama ya Egypt imemfanya ai-cancel hiyo trip, South Africa ameshawahi kwenda so it's not an option, Morroco could be but it's super expensive. Dubai there is nothing to see ukiacha majengo tu, Oman it's not ideal. South east Asia may be but he is not sure.
Moja ya important factor to consider ni distance because mke wake hataki kupanda flight itakayochkua zaidi ya masaa nane.
Turkey and Jordan were very good options kwake ila tatizo huko kutakuwa na baridi ikifika November na wao wana mtoto mdogo.
Wadau hebu nisaidieni na ambae yupo serious kumtengenezea hiyo itinerary anaweza hata kumpa hela ya soda.
Hizi vitu ni real time consuming na vinahitaji uwe na muda haswa. Vinachosha pia.
Karibuni kwa ushauri wandugu
DuhNitoke kidg nje ya topic...Huyo mkewe ana yaya??kama hana yaya mwambie kuna mdada mtu mzima anatafta kazi za uyaya...anajua lugha 4 .kiswhili...kingereza.. kisukuma..na kihehe!
All the best![]()
Sijambo rafiki, Mambo?Hujambo???
Ndio hao hao nimecheki ni ghali balaaKenya airways wanakwenda kila siku mkuu
Na wala sio ghali kiviile
Nitoke kidg nje ya topic...Huyo mkewe ana yaya??kama hana yaya mwambie kuna mdada mtu mzima anatafta kazi za uyaya...anajua lugha 4 .kiswhili...kingereza.. kisukuma..na kihehe!
All the best![]()

nani huyoHuyu mdada wa kazi ni mimi itakuwaNitoke kidg nje ya topic...Huyo mkewe ana yaya??kama hana yaya mwambie kuna mdada mtu mzima anatafta kazi za uyaya...anajua lugha 4 .kiswhili...kingereza.. kisukuma..na kihehe!
All the best![]()
Kenya airways wanakwenda kila siku mkuu
Na wala sio ghali kiviile