Ushauri unahitajika kwa huyu Ticha

Ushauri unahitajika kwa huyu Ticha

Nina jamaa angu ambaye ni kama kaka angu ameajiriwa kama mwalimu ya shule ya msingi moja ya shule hapa jijini dar es salaam tangu mwaka 2004
Mwaka 2006 ticha alifanya kosa moja la kizembe sana kazini kwani alijikuta amempa mimba Aisha binti mdogo tu wa darasa la saba akiwa na umri wa miaka 15 tu.

Kwa bahati nzuri Aisha alipata ujauzito akiwa yupo miezi miwili tu kabla ya kufanya mtihani wake wa mwisho hivyo alifanikisha kuhitimu elimu ya shule ya msingi mwaka huo wa 2006

Suala lilikuwa kubwa sana lilivyofika kwa wazazi wa binti japo ni kweli binti yao alikuwa amemaliza masomo ya shule ya msingi ila walihitaji aendelee zaidi na masomo ili kuja kuisaidia familia yao ambayo kiuhalisia ilikuwa duni sana.

Mlolongo wa kesi ulianza ngazi ya mtaa na kijiji pamoja na kutumia busara za pande zote mbili ambapo ticha alikuwa yupo tayari kulipa fidia yoyote ili kuepusha jambo hili kufika mbali, kwa busara za wazee jambo lile lilizimwa kwanza ili wasubiri matokeo ya binti ambayo hayakuwa miezi mingi mbele

Kwa upande wa aisha darasani hakuwa vizuri sana kwani miezi kadhaa tu baadae matokeo yalivyotoka alikosa nafasi ya kuchaguliwa kujiunga kidato cha kwanza hivyo kupelekea kusalia nyumbani akiwa pia bado hajajifungua

Vikao vikarudi tena na safari hii wazazi wa aisha walikuja na wazo moja tu la kutaka ticha amuoe binti yao kwani amemharibia maisha na pia ni moja ya sababu zilizopelekea binti yao kufanya vibaya mtihani wa darasa la 7

Licha ya kwamba alishakuwa kwenye mahusiano na mwanamke mwengne ambaye kwa wakati huo alikuwa na mtoto wake apataye miaka miwili ticha aliridhia suala hilo kwani ndio ilikuwa njia pekee ya kumuweka salama maana wazazi wa binti walitishia kwenda mbali zaidi kama angekataa kumuoa binti yao huyo

Ticha na Aisha wameishi pamoja tena kwenye kota za shule hiyo hiyo ya msingi kwa takribani miaka 15 sasa na wakibahatika kupata watoto wengne wawili wote wakiwa wa kike

Miaka ya hivi karibuni Aisha ambaye ni mke wa ticha amekuwa malaya wa kuotea mbali akifikia hatua ya kufanya mambo yake hadi kulala nje, na kibaya zaidi wazazi wa binti wapo pamoja na mtoto wao kwa kila jambo analolifanya huku wakimshutumu ticha kwa kukatisha ndoto za mtoto wao

Kuna wakati huyu mwanamke alisafiri wiki nzima kwenda zanzibar huku wazazi wakimkingia kifua kuwa ni safari ya kawaida na wao wanaitambua lakini ukweli ni kwamba kuna mwanaume ambaye anamchukua aisha kuzunguka nae maeneo tofauti na hata kwao wanajua kwani anatoa vijisenti vya kuwakimu ukizingatia hali yao duni

Baada ya hiyo safari ticha alifikiria kumuacha huyu mwanamke kwani alikuwa malaya sana ticha akiwa ameshagongewa na karibia nusu ya walimu wote vijana shuleni hapo, wazazi wa binti walitia mkwara kwamba mwanetu huwezi kumuacha kirahisi vingnevyo tutafufua kesi ya kumpa mimba binti yetu

Kila akijaribu kumtimua huyu mwanamke nyumbani kwani sasa ana ujauzito licha ya ticha kusema hajashiriki nae tendo kwa miezi 7, na huyu mwanamke anasema siwezi ondoka hapa kirahisi lazima kieleweke na tutakufikisha mbali ukitaka au la sivyo utulipe fidia

Huyu ndugu yangu ni muoga sana wa kesi na anahofia sana kudhalilishwa kama mtumishi analazimika kuishi na huyu mwanamke huku akinyanyasika sana kwani amekuwa ni mwanamke wa kuingia na kutoka siku nzima

Je kuna namna nzuri anaweza kufanya kuachana na huyu Aisha bila kumuathiri kazini na maisha yake kiujumla??


NB:Aisha ni mwanamke mzuri sana kisura na umbo pamoja na rangi yake ya chungwa aliyobarikiwa
Uzi bila picha ya huyo Aisha ni utaabishaji tu!
 
Mkuu huyu ticha alifanya kitu kinaitwa rape,msichana wa miaka 15 hajakomaa na kuweza kuamua kuhusu sex,hii ni cold case kwa wanaojielewa ticha angekua na case hapa ya kujibu,ushauri wangu ticha akajisalimishe kituoni (police)
Ticha anapaswa kumpiga matukio Aisha mpk akimbilie mwenyewe polisi kuomba talaka mwenywe, maana ake apo itakua kesi ya wanandoa iyo.
Watapelekwa dawati la jinsia kusuluhisha


Ila akikimbilia kuvunja ndoa yake yeye mwenyewe, atakua kaonyesha unyonge.

Apo mwanamke atataka apige panakouma zaidi ili imuume vzur, atafufua ile cold case na mawakili na mapolisi wanampiga Sana ulaji. Afu atachavua reputation yake kazin.

Apo ndo ule msemo wa tuishi nao kwa akili unakopaswa kuonesha makali yake Sas.

Ticha anapaswa afanye Jambo amtese Aisha kisaikolojia mpk akili imkae
 
mkuu huyo ticha ni wewe tu

tupia picha kidogo ya aisha
Wee Usimlishe Maneno mtoa mada

By the way,
Kapicha Ni muhimu asiwape tabu wakulungwa kuimagine huo urembo wa sura na shape vya uyo Aisha viko namna gani
 
Baada ya hiyo safari ticha alifikiria kumuacha huyu mwanamke kwani alikuwa malaya sana ticha akiwa ameshagongewa na karibia nusu ya walimu wote vijana shuleni hapo,

Zingatia sanaHapa juu nilipoquote,


Ticha wetu huenda anatatizo kubwa Sana ambalo huenda ndo likawa tatizo mama la matatizo yote ya uyo Aisha wako tunayemlaumu.

Kwa kueleza hayo,
Hebu mtoa mada turud square one, tujadili tunakwamuaje hapa mwanaume Mwenzetu uyu.

NAJUA USHANIELEWA
 
tabia ya aisha haimuondoi teacher hukumuni, kwa sasa techer aombe uhamisho kama yupo magharibi aende mashariki na kama yupo kusini aende kaskazini.

maadamu wazee wanapokea pesa ndogondogo toka kwa wengine hawatakuwa na jambo kubwa.

akija siku mkuu wa mkoa au wilaya hatari ataagiza huyo jamaa yako aingie kwa pilato akajibu tuhuma za kukatiza masomo ya aisha hata kama wkt huo ana miaka 30.
 
Inaonekana uyo ticha wako anazuzuka Sana na huo uzur was uyo mwanamke kias kwamba mwanamke kajua na kuutumia Kama silaha ya kunyanyasia.

Anachotakiwa kufanya uyo ticha wako Ni kumuonyesha kua uzuri wake sio lolote wala chochote linapokuja suala zima la mustakabali wa familia yake.

Anapaswa ampige matukio ya ajabu ajione taka taka , asie na uzur wowote Wala thaman yoyote MPAKA AKILI IKAE MAHALA PAKE
Hap umenena mkuu ila changamoto wakiona matukio yamezidi si watafufua upya kesi au hapo mkuu anaruka vipii.?
 
mkuu huyo ticha ni wewe tu

tupia picha kidogo ya aisha
Hapana mkuu huyu ni mtu mzima kidogo mimi ni kama mdogo ake japo hatuna undugu wowote
picha ya shemej yangu sio vizuri kushare hapa
 
Ticha anapaswa kumpiga matukio Aisha mpk akimbilie mwenyewe polisi kuomba talaka mwenywe, maana ake apo itakua kesi ya wanandoa iyo.
Watapelekwa dawati la jinsia kusuluhisha


Ila akikimbilia kuvunja ndoa yake yeye mwenyewe, atakua kaonyesha unyonge.

Apo mwanamke atataka apige panakouma zaidi ili imuume vzur, atafufua ile cold case na mawakili na mapolisi wanampiga Sana ulaji. Afu atachavua reputation yake kazin.

Apo ndo ule msemo wa tuishi nao kwa akili unakopaswa kuonesha makali yake Sas.

Ticha anapaswa afanye Jambo amtese Aisha kisaikolojia mpk akili imkae
Yaani hii na mm nilikuwa naona ingefaa sana japo ticha amekuwa mtu wa kupoa sijui kama matukio ya kibabe atayaweza maana akibeep atapigwa yeye matukio atajuta Aisha ni kichwa kibovu haswaa
 
Zingatia sanaHapa juu nilipoquote,


Ticha wetu huenda anatatizo kubwa Sana ambalo huenda ndo likawa tatizo mama la matatizo yote ya uyo Aisha wako tunayemlaumu.

Kwa kueleza hayo,
Hebu mtoa mada turud square one, tujadili tunakwamuaje hapa mwanaume Mwenzetu uyu.

NAJUA USHANIELEWA
Hahahaa mkuu hapo nimekuelewa inawezekana kweli ticha akawa ana hilo tatzo ndio maana huyu mchuchu anakuwa hatulii sasa hili sijui kama linasaidika? na ni zuri kama mtu akikiri mwenyewe tatzo
 
Hap umenena mkuu ila changamoto wakiona matukio yamezidi si watafufua upya kesi au hapo mkuu anaruka vipii.?
Matukio anapigwa ya ndani ya ndoa ya kuteswa kisaikolojia,

siku zote ugomvi wa wanandoa hauingiliwi, na hata ukiingiliwa itakua kusuluhisha TU.

Hakuna mtu anaubavu wa kuwashurutisha muachane, hata mwende polisi.

Apo anahenyeshwa mpk anaomba poo.
Yaan Aisha anatakiwa afikie hatua yeye ndo awe anaenda kushtaki badala ya ticha
 
Yaani hii na mm nilikuwa naona ingefaa sana japo ticha amekuwa mtu wa kupoa sijui kama matukio ya kibabe atayaweza maana akibeep atapigwa yeye matukio atajuta Aisha ni kichwa kibovu haswaa
Hakuna mwanamke kichwakibovu kwa mwanaume mwenye misismamo.

Asimame nae BAMPA to BAMPA,
Wanawake hawawezagi kuvumilia mateso yakisaikolojia.

Ningekua ticha,
Breki ya kwanza natafuta mchepuko afu namuoneshea live kua uyo ndo mwenye thamani kwaiyo asijishaue Sana.

Kisha naanza kua nalala nje,
Kisha namtaaarigmfu kua iyo Ni zamu rasmi.
Kama anaweza na yeye akatafute wa kumlaza nje, Sina tatizo na Hilo.

Lazima atajitafakari na kujiona takataka.

SASA KWA MAELEZO YAKO, INAONEKANA JAMAA NI MSTAARABU SANA SIO MTU WA PIGO HIZO.

Kwaiyo
mwanamke wake najiaminisha kabisa kua hakuna mwanamke wa kumshobokea.

Wanawake always wanapenda wanaume wanaogombewa na wengi, ile Hali ya wivu ndo hujenga upendo na heshima kwenye mahusiano.

MWAMBIE
JAMAA YAKO AACHE UNYONGE UYO
 
mi Mchepuko wangu tunanyukana vilivyo,
Hakuna kupeana pumzi
YaanAkiweka ya uso, naweka ya tumbo.

Mbona tayar nishamtafutia dawa yake,
mdogo wake yupo, akichomoa betri TU, mi namlipua
SOMETIMES MWANAUME UNAPASWA KUA MAFIA,ili maisha mengine yaendelee
Hahahaha Ila baada ya pilika nyingi Sana ndo hyo dawa imepatikana mkuu,Mara nyingi amekuhenyesha na ukakubali kumrudia. Na usisahau umeadmit utamu wa show yake kuliko mdogo ake
 
Jambo la mwaka 2006 huko leo tunaongelea 2022.

Timua hiyo mbuzi wasilete za kuleta.
 
Pole sana ticha japo umesingizia kuwa ticha ni rafiki to
 
Hahahaha Ila baada ya pilika nyingi Sana ndo hyo dawa imepatikana mkuu,Mara nyingi amekuhenyesha na ukakubali kumrudia. Na usisahau umeadmit utamu wa show yake kuliko mdogo ake
Utamu wa show yake nauelewa,
ila hawez autumie Kama silaha, alileta za kuleta namzingua hivyo hivyo.

Kuna kipind huwa anasema wee mwanaume utakua unavuta mibangi, unanibadilikia MDA wowote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom