Ticha hatoi Kodi ya MEZA mkuuKila siku nasema humu,
Dawa ya mwanamke Ni mwanamke mwenzie.
Uyo ticha wako anakwama wapi aisee?![]()

Ha ha ha ....Ticha hatoi Kodi ya MEZA mkuu![]()

Mkuu huyu ticha alifanya kitu kinaitwa rape,msichana wa miaka 15 hajakomaa na kuweza kuamua kuhusu sex,hii ni cold case kwa wanaojielewa ticha angekua na case hapa ya kujibu,ushauri wangu ticha akajisalimishe kituoni (police)
Ebu kaa na kama mwanaume mwenzie mchane ukweli.Hahahaa mkuu hapo nimekuelewa inawezekana kweli ticha akawa ana hilo tatzo ndio maana huyu mchuchu anakuwa hatulii sasa hili sijui kama linasaidika? na ni zuri kama mtu akikiri mwenyewe tatzo

Fact sana mkuu umemaliza kila kitu yaaniHakuna mwanamke kichwakibovu kwa mwanaume mwenye misismamo.
Asimame nae BAMPA to BAMPA,
Wanawake hawawezagi kuvumilia mateso yakisaikolojia.
Ningekua ticha,
Breki ya kwanza natafuta mchepuko afu namuoneshea live kua uyo ndo mwenye thamani kwaiyo asijishaue Sana.
Kisha naanza kua nalala nje,
Kisha namtaaarigmfu kua iyo Ni zamu rasmi.
Kama anaweza na yeye akatafute wa kumlaza nje, Sina tatizo na Hilo.
Lazima atajitafakari na kujiona takataka.
SASA KWA MAELEZO YAKO, INAONEKANA JAMAA NI MSTAARABU SANA SIO MTU WA PIGO HIZO.
Kwaiyo
mwanamke wake najiaminisha kabisa kua hakuna mwanamke wa kumshobokea.
Wanawake always wanapenda wanaume wanaogombewa na wengi, ile Hali ya wivu ndo hujenga upendo na heshima kwenye mahusiano.
MWAMBIE
JAMAA YAKO AACHE UNYONGE UYO![]()

Tutafanyaje Sasa mkuu, ndo mitihani tulojaaliwaMkuu nyie watu vichwa vidogo vinawakimbiza mbio ndefu Sana.

Mambo ya ugomvi wa wanandoa hayaingiliwagi mkuu.Akioa wa pili unaweza kuwa mtiti tena wakasema tunaenda fufua kesi upya

Mwalimu wa Zamu Tz Nadhan hili jukumu upewe wewe umwadabishe.Ticha ni kenge kabsaa
Dawa yake uyo ticha kumlaza na kumtandika stiki nyingi sanaaa labda akili zitakaa sawa

Umemaliza kila kituNashauri kwanza ajifanye kama haoni atafute nafasi kuhamia sehemu nyingine kabisa kwa kubadirishana na mwalimu mwingine ili awe mbali na wazazi wa huyo manzi akifanikiwa hilo kumuacha ni vyepesi sana
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Miaka 15 ? Wafufue kesi ........kuna walakini. Viashiria vya ushirikina!!!!Nina jamaa angu ambaye ni kama kaka angu ameajiriwa kama mwalimu ya shule ya msingi moja ya shule hapa jijini dar es salaam tangu mwaka 2004
Mwaka 2006 ticha alifanya kosa moja la kizembe sana kazini kwani alijikuta amempa mimba Aisha binti mdogo tu wa darasa la saba akiwa na umri wa miaka 15 tu.
Kwa bahati nzuri Aisha alipata ujauzito akiwa yupo miezi miwili tu kabla ya kufanya mtihani wake wa mwisho hivyo alifanikisha kuhitimu elimu ya shule ya msingi mwaka huo wa 2006
Suala lilikuwa kubwa sana lilivyofika kwa wazazi wa binti japo ni kweli binti yao alikuwa amemaliza masomo ya shule ya msingi ila walihitaji aendelee zaidi na masomo ili kuja kuisaidia familia yao ambayo kiuhalisia ilikuwa duni sana.
Mlolongo wa kesi ulianza ngazi ya mtaa na kijiji pamoja na kutumia busara za pande zote mbili ambapo ticha alikuwa yupo tayari kulipa fidia yoyote ili kuepusha jambo hili kufika mbali, kwa busara za wazee jambo lile lilizimwa kwanza ili wasubiri matokeo ya binti ambayo hayakuwa miezi mingi mbele
Kwa upande wa aisha darasani hakuwa vizuri sana kwani miezi kadhaa tu baadae matokeo yalivyotoka alikosa nafasi ya kuchaguliwa kujiunga kidato cha kwanza hivyo kupelekea kusalia nyumbani akiwa pia bado hajajifungua
Vikao vikarudi tena na safari hii wazazi wa aisha walikuja na wazo moja tu la kutaka ticha amuoe binti yao kwani amemharibia maisha na pia ni moja ya sababu zilizopelekea binti yao kufanya vibaya mtihani wa darasa la 7
Licha ya kwamba alishakuwa kwenye mahusiano na mwanamke mwengne ambaye kwa wakati huo alikuwa na mtoto wake apataye miaka miwili ticha aliridhia suala hilo kwani ndio ilikuwa njia pekee ya kumuweka salama maana wazazi wa binti walitishia kwenda mbali zaidi kama angekataa kumuoa binti yao huyo
Ticha na Aisha wameishi pamoja tena kwenye kota za shule hiyo hiyo ya msingi kwa takribani miaka 15 sasa na wakibahatika kupata watoto wengne wawili wote wakiwa wa kike
Miaka ya hivi karibuni Aisha ambaye ni mke wa ticha amekuwa malaya wa kuotea mbali akifikia hatua ya kufanya mambo yake hadi kulala nje, na kibaya zaidi wazazi wa binti wapo pamoja na mtoto wao kwa kila jambo analolifanya huku wakimshutumu ticha kwa kukatisha ndoto za mtoto wao
Kuna wakati huyu mwanamke alisafiri wiki nzima kwenda zanzibar huku wazazi wakimkingia kifua kuwa ni safari ya kawaida na wao wanaitambua lakini ukweli ni kwamba kuna mwanaume ambaye anamchukua aisha kuzunguka nae maeneo tofauti na hata kwao wanajua kwani anatoa vijisenti vya kuwakimu ukizingatia hali yao duni
Baada ya hiyo safari ticha alifikiria kumuacha huyu mwanamke kwani alikuwa malaya sana ticha akiwa ameshagongewa na karibia nusu ya walimu wote vijana shuleni hapo, wazazi wa binti walitia mkwara kwamba mwanetu huwezi kumuacha kirahisi vingnevyo tutafufua kesi ya kumpa mimba binti yetu
Kila akijaribu kumtimua huyu mwanamke nyumbani kwani sasa ana ujauzito licha ya ticha kusema hajashiriki nae tendo kwa miezi 7, na huyu mwanamke anasema siwezi ondoka hapa kirahisi lazima kieleweke na tutakufikisha mbali ukitaka au la sivyo utulipe fidia
Huyu ndugu yangu ni muoga sana wa kesi na anahofia sana kudhalilishwa kama mtumishi analazimika kuishi na huyu mwanamke huku akinyanyasika sana kwani amekuwa ni mwanamke wa kuingia na kutoka siku nzima
Je kuna namna nzuri anaweza kufanya kuachana na huyu Aisha bila kumuathiri kazini na maisha yake kiujumla??
NB:Aisha ni mwanamke mzuri sana kisura na umbo pamoja na rangi yake ya chungwa aliyobarikiwa
Tatizo Aisha mwenyewe anamtesa jamaa kisaikolojia. Ticha kabski na saikolojia ya kuteswa na mke, ya kumtesa mke imekimbia. Natamani nimfundishe nilichofanya mimi. Nipo huru na familia yangu. Maisha yanaenda. Nina kaz moja tuvya kupambana na umaskini, na siyo mke.Ticha anapaswa kumpiga matukio Aisha mpk akimbilie mwenyewe polisi kuomba talaka mwenywe, maana ake apo itakua kesi ya wanandoa iyo.
Watapelekwa dawati la jinsia kusuluhisha
Ila akikimbilia kuvunja ndoa yake yeye mwenyewe, atakua kaonyesha unyonge.
Apo mwanamke atataka apige panakouma zaidi ili imuume vzur, atafufua ile cold case na mawakili na mapolisi wanampiga Sana ulaji. Afu atachavua reputation yake kazin.
Apo ndo ule msemo wa tuishi nao kwa akili unakopaswa kuonesha makali yake Sas.
Ticha anapaswa afanye Jambo amtese Aisha kisaikolojia mpk akili imkae![]()
Wewe ushamgonga shemejio Aisha?Hapana mkuu huyu ni mtu mzima kidogo mimi ni kama mdogo ake japo hatuna undugu wowote
picha ya shemej yangu sio vizuri kushare hapa
The Early decision destroy the Teacher!!Nina jamaa angu ambaye ni kama kaka angu ameajiriwa kama mwalimu ya shule ya msingi moja ya shule hapa jijini dar es salaam tangu mwaka 2004