Ushauri unahitajika kwa huyu Ticha

Ushauri unahitajika kwa huyu Ticha

Mtu kama huyo unanyamaza usimuulize kitu chochote ,usimuulize baba wa mtoto ni nani, usilala nae tena, kila kitu kaa kimya, aisha lazima aondoke mwenyewe.

Option two ticha atafute mwanamke mwingine.hiyo ndo dawa pekee, aisha akienda mahakamani ticha aiombe mahakama wapime DNA ya mtoto huyo.ishu itakuwa simple sana.
 
Hio shida mzee lakini kwa Sasa Hamna kesi Hapo tena labda Kama watamroga au kumfanyia vitu vngne
Jinai haifi mkuu,ticha alimmimba Aisha akiwa bado mwanafunzi na huenda alikuwa bado chini ya 18 yrs.Hapo ticha aache woga kwani hata wazazi walishiriki kumuozesha nao Wana hatia.Hawawezi kufufua kesi.
 
Picha ya Aisha hii hapa nimeamua kuwaibia ila msiseme
255762469547_status_30d59e59fa9c4c7b9760a1351342e17b.jpg
 
Jinai haifi mkuu,ticha alimmimba Aisha akiwa bado mwanafunzi na huenda alikuwa bado chini ya 18 yrs.Hapo ticha aache woga kwani hata wazazi walishiriki kumuozesha nao Wana hatia.Hawawezi kufufua kesi.
Binti alikuwa mdogo sana ndio kwanza alikuwa anamaliza la saba
 
Huu mchezo unatakiwa kuchezeka kihuni zaidi ukoo wao wote watakuheshimu tu
 
Ahame kwanza shule ndio ushauri wa maana
Ila lingine hawezi kununua bunduki hata kitoi tuu?
 
Hapo ticha hamia Mkoa mwingine hata Kigoma huko kabisa ukakae kwa Amani. Ikishindikana tumia Principle ya Said na hamza ila hii unaitumia kwa ujanja wa mjini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom