Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 2,940
- 5,594
Huyu ni teacher konde nn mbona fala fala ivo si aombe hata ruhusa ya kwenda masomoni atokomee uko huku akiwa mbali naye ili aweze sasa kujipanga ikiwa ni pamoja na kuseti uhamisho wa kubadilishana kwa dar hawez kukosa wa kubadilishana nae



