USHAURI: TCRA Leteni Kisimbuzi Chenu Kitakachorusha Local Channels Bure

USHAURI: TCRA Leteni Kisimbuzi Chenu Kitakachorusha Local Channels Bure

Startimes wamefanya uhuni, eti bure mpaka kisimbuzi cha elfu80, wakati tayari ninacho kisimbuzi kingine ndani, upuuzi mtupu
 
Mbona mm zimo zote?Compact plus
Ipo kwenye list ila cyo free....kifurushi kikiisha walikua wanabakiza TBC, Chanel ten,Dish, CGTN News, French na Documentary ila xaiv wameondoa chanel 10 imekua ya kulipia cyo free tena
 
Bora local channels ziwe za kulipia. Or else watanzania mtakuwa mapoyoyo zaidi maana kwenye hizo channels hakuna chochote cha kumjenga mtu zaidi ya taarifa za kusifia serikali.
 
Fuateni Sheria na Kanuni za Nchi. Acheni kulialia na kulalamika kama waChaga.
TCRA ni mamlaka ya Usimamizi na sio kampuni ya Ving'amuzi.
Pambaneni na watoa huduma wa Ving'amuzi mnavyotumia ili walipie Leseni na Vibali stahiki muweze kupata huduma pendwa ya FTA Local channels. Mbali na hapo mtasaga meno sanaaa.
we boya tcra walisema local channels zote ni bure,sasa iweje sis tuwashinikize wakati wao ndo wenye sheria!!!!
 
Tatizo watu hamsomi sheria ya dijitali na masharti ya leseni
Unapoomba leseni unachagua utarusha bure au pay per view
kwa pay per view kama azam,ting na dstv,hawaruhusiwi kurusha channel zilisajiliwa kurusha matangazo bure isipokua Tbc tu
Ndio mana Azam wamestuka baada ya kuona wenzao wamelimwa notisi,wakazima tv za dezo
Ushauri kwa itv,ch10,star tv,n.k ,unapofukuzwa kwenye nyumba ndio unapata wazo la kujenga nyumba yako
Anzisheni kisumbuzi chenu Tanzania Integrated Digital services,on cost sharing basis kama walivyofanya watu wa umoja Atm,na mtaweza kuwa strong kuliko hao wa pay per view
Sanction huwa zinasidia sometimes
 
Kipindi cha analogue tv zililazimika kuwa na minara mikoa yote zinapo onekana na tuliangalia bureee... pia kupitia intelsat tunaona bure itv mpaka leo. Hoja yako ni dhaifu.
Tv owner kurusha bure ni possible kwa sababu wanauza vipindi vyao(vipindi vinalipiwa) kucover gharama zote... hawa wanaomiliki decoder unafikiri watatoa wapi hyo fedha ya kufidia gharama.
Sioni hoja yako...rudi analojia
 
Nasikia hata Azamtv nao leo loko Chanel zote wameziondoa isipokuwa TBC. Kuna tatizo gani kwasasa anayefahamu pls!
Tbc1 ilikosa watazamaji hivo wamepata mbinu ambayo itabidi waTZ wote muangalie Tbc1 mtake msitake!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kama nilielewa vizuri notisi ya TCRA kwa DStv ni kwamba DStv wanapotoa orodha ya channels zinazopatikana kwenye vifurushi mbalimbali wanavyouza wanaorodhesha na channels ambazo ni local channels ambazo azistahili kuwa ndani ya orodha. Maana kifurushi ulicholipia kikiisha na hizo channels za bure huzipati. Nafikiri kama DStv wakiziondoa katika orodha zao na kuendelea kuzirusha hata kifurushi chako kikiisha basi wangejiondoa matatani. Lakini kwa staili wanayotumia kwa sasa ya kuzima channels za dezo kifurushi kikiisha inaonekana kwamba wanauza channels za dezo.
 
Moderator uzi huu ni kwaajili ya familia masikini na hauhusiani na ule wa jana.

Wakuu baada ya kutafakari nimeona TCRA wanatakiwa waje na kisimbuzi chao kitakachokuwa kikitupa local channels bure.

Mpaka sasa hao Startimes, Ting na Continental wenye leseni ya kutupa local channels bure hawafanyi hivyo na TCRA wapo kimya (nashawishika kusema TCRA INAWAOGOPA).

Sasa kwakuwa mlituahidi mtatupa channels bure nadhani imefika wakati mchukue jukumu la kuanzisha kisimbuzi chenu na mkiite TCRA Digital Tv na kitupe local channels bure, hao wengine mtajuana nao sisi tunataka local bure au turudisheni analogue HAIWEZEKANI MTUDANGANYE.
Hicho kisimbuzi watakinunua wana ccm pekee yao
 
kama mtu unaweza kununua kingamuzi cha dstv au azam unauwezo wa kulipia kila mwezi kingamuzi alafu muelewe haya makampuni ni sekta binafsi azam na dsgv wameingia ubia na na hizo local tv ili nazo zijiendeshe nao waajili watu wawalipe mishahara na walipe kodi kwa mantiki hiyo watu watakosa ajira sana hii serikal ya ccm mbovu sana
 
hivi wewe mtu wa karne hii bado unawaza vya bure wakati ushaambiwa dunian akuna cha bure
 
Back
Top Bottom