USHAURI: TCRA Leteni Kisimbuzi Chenu Kitakachorusha Local Channels Bure

USHAURI: TCRA Leteni Kisimbuzi Chenu Kitakachorusha Local Channels Bure

Moderator uzi huu ni kwaajili ya familia masikini na hauhusiani na ule wa jana.

Wakuu baada ya kutafakari nimeona TCRA wanatakiwa waje na kisimbuzi chao kitakachokuwa kikitupa local channels bure.

Mpaka sasa hao Startimes, Ting na Continental wenye leseni ya kutupa local channels bure hawafanyi hivyo na TCRA wapo kimya (nashawishika kusema TCRA INAWAOGOPA).

Sasa kwakuwa mlituahidi mtatupa channels bure nadhani imefika wakati mchukue jukumu la kuanzisha kisimbuzi chenu na mkiite TCRA Digital Tv na kitupe local channels bure, hao wengine mtajuana nao sisi tunataka local bure au turudisheni analogue HAIWEZEKANI MTUDANGANYE.
TCRA ni miongoni mwa taasisi tutakazoziondoa kabisa kwenye kitabu cha msajili , hii ni miongoni mwa taasisi duni kabisa ambayo ililetwa maalum ili kuumiza wananchi
 
Hilo ndo jibu,walete vyao au waruhusu mfumo wa zamani kuona local kwa antenna bila dishi Kama zamani waache ubabe kwenye biashara za watu au wawape ruzuku wamiliki wa vingamuzi. Kusaidia gharama za uendeshaji wakiweka free local nani atanunua vifurushi?
 
Hivi hili suala la bure mbona haliingii akilini... pamoja na running cost kibao za kiofisi kuanzia jengo na installation zote, mishahara, vifaa vya kurushia matangazo, kodi na fees mbalimbali kisha urushe bure. Hatuwezi kuwa serious kwa kweli.
 
Km walivyonunua ndege kuingia kwenye ushindan bas na visimbuz waanzishe vya kwao ili kutoa huduma bora waitakayo. Over...
 
Hapana.
ITV
TBC1
TV1
EATV
StarTV
CHANNELTEN
CLOUDSTV
MLIMANI TV
WRM
RISE AND SHINE
Zote hizi ni buuuuuuure kabisa ktk kisimbuzi cha Startimes
Kweli? Vipi star times haipotezi network
 
ITV
TBC1
TV1
EATV
StarTV
CHANNELTEN
CLOUDSTV
MLIMANI TV
WRM
RISE AND SHINE

Zote hizo ni buuuuuure ktk kisimbuzi cha Startimes

Unapoambiwa hazionekani uwe unaelewa usikariri
 
Moderator uzi huu ni kwaajili ya familia masikini na hauhusiani na ule wa jana.

Wakuu baada ya kutafakari nimeona TCRA wanatakiwa waje na kisimbuzi chao kitakachokuwa kikitupa local channels bure.

Mpaka sasa hao Startimes, Ting na Continental wenye leseni ya kutupa local channels bure hawafanyi hivyo na TCRA wapo kimya (nashawishika kusema TCRA INAWAOGOPA).

Sasa kwakuwa mlituahidi mtatupa channels bure nadhani imefika wakati mchukue jukumu la kuanzisha kisimbuzi chenu na mkiite TCRA Digital Tv na kitupe local channels bure, hao wengine mtajuana nao sisi tunataka local bure au turudisheni analogue HAIWEZEKANI MTUDANGANYE.
TCRA wana kaujinga fulani.
Mtu umegharamia mitambo, leseni,kutengeneza air programmes ili uzirushe kwa charge kidogo, urudishe hela yako yabuwekezaji.

Leo anatokea TCRA na kusema watu fulani watumie mitambo yako bure!
Haingii akilini.
 
Hivi hili suala la bure mbona haliingii akilini... pamoja na running cost kibao za kiofisi kuanzia jengo na installation zote, mishahara, vifaa vya kurushia matangazo, kodi na fees mbalimbali kisha urushe bure. Hatuwezi kuwa serious kwa kweli.
Kipindi cha analogue tv zililazimika kuwa na minara mikoa yote zinapo onekana na tuliangalia bureee... pia kupitia intelsat tunaona bure itv mpaka leo. Hoja yako ni dhaifu.
 
Jiwe anachotaka ni kwamba ibaki TBC tu itakayokuwa inamtukuza yeye kwa ujinga wake anaofanya na upuuzi wake unavyomtuma kichwani mwake.

Ukiangalia startimes, local channels wameshindwa kutoa bure kama TCRA ilivyoagiza sasa sijui ipo kisheria au haipo hilo sielewi.
Local channels zinaonekana kwenye ving'amuzi vingine na hiki ndicho kitu hawakitaki hawa watu wanaitwa serikali chakavu kwa kuogopa kuonyesha madudu yao wanayoyafanya.

Hakuna mtu muoga dunia hii niliyepata kumuona kama jiwe .
Chato tu pale kaweka mijitu isiyojulikana ya kuzuia mtu yeyote asipige picha wala kuandika lolote kuhusu chato mpaka yeye ndiyo atake.
Mkipita pale kondakta anawapa angalizo kabisa kabla ya kushuka usije ukapiga picha

Kama mnakumbuka kuna kipindi aliomba malaika ashuke azime mitandao baada ya miaka kadhaa irudi, maana yake hii ni kwamba anaogopa watu wakijua nyumbani kumekaa vibaya watamsema na ataonekana yeye si kitu sasa anachofanya ni kukimbiza maendeleo huko kwake( alipolelewa, chato si kwao) ili baadae ndiyo mkipita mpige picha muone namna alivyoijenga chato.

Cha ajabu ni kwamba mpaka huo muda anafika kuruhusu picha, hayo majengo aliyoyajenga yanaweza kuwa ni outdated na watu wataona si kitu chochote kutokana na kwamba muda unasonga mbele huku jiwe akidhani kaweka pause.

Ulimbukeni ni kitu hatari sana
ni kweli Chato huruhusiwi kupiga picha?
 
ITV
TBC1
TV1
EATV
StarTV
CHANNELTEN
CLOUDSTV
MLIMANI TV
WRM
RISE AND SHINE

Zote hizo ni buuuuuure ktk kisimbuzi cha Startimes
acha uongo wewe kifurushi kikikata unabaki na tbc peke yake na star guide
 
Hilo nalo neno. Watu wanalipa mishahara, wanalipia masafa, wanalipa kodi na tozo kibao halafu waonyeshe bure!!!?
kwani enzi za antenae walikuwa hawafanyi yote hayo?
 
acha uongo wewe kifurushi kikikata unabaki na tbc peke yake na star guide
Mkuu siyo kweli. Startimes inaonyesha hizo channel zote buree. Bila kulipia hata senti.
 
Back
Top Bottom