Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,762
- 4,576
Wamiliki wa kisimbuzi cha TING (Agape Television Network-ATN ) wameonesha ubabe wao baada ya kufungia local channels zote ikiwa ni pamoja na TBC1. Ikumbukwe kuwa TCRA ilitoa maelekezo kwa wamiliki wa Continental, Ting, Startimes na Digitek kuachia local channels bure. Tangu walipo toa agizo hilo, TING hawajatekeleza na wamefungia zote hadi channel yetu pendwa ya TBC1
Continental wao wametii na kuachia TBC1, ITV, CHANNEL TEN, STARTV na EATV. Channel ya UHAI TV pia inaonekana bure kwenye Continental na kufanya jumla ya channels zinazopatikana bila malipo kufikia 6
Continental wao wametii na kuachia TBC1, ITV, CHANNEL TEN, STARTV na EATV. Channel ya UHAI TV pia inaonekana bure kwenye Continental na kufanya jumla ya channels zinazopatikana bila malipo kufikia 6