USHAURI: TCRA Leteni Kisimbuzi Chenu Kitakachorusha Local Channels Bure

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Moderator uzi huu ni kwaajili ya familia masikini na hauhusiani na ule wa jana.

Wakuu baada ya kutafakari nimeona TCRA wanatakiwa waje na kisimbuzi chao kitakachokuwa kikitupa local channels bure.

Mpaka sasa hao Startimes, Ting na Continental wenye leseni ya kutupa local channels bure hawafanyi hivyo na TCRA wapo kimya (nashawishika kusema TCRA INAWAOGOPA).

Sasa kwakuwa mlituahidi mtatupa channels bure nadhani imefika wakati mchukue jukumu la kuanzisha kisimbuzi chenu na mkiite TCRA Digital Tv na kitupe local channels bure, hao wengine mtajuana nao sisi tunataka local bure au turudisheni analogue HAIWEZEKANI MTUDANGANYE.
 
Jiwe anachotaka ni kwamba ibaki TBC tu itakayokuwa inamtukuza yeye kwa ujinga wake anaofanya na upuuzi wake unavyomtuma kichwani mwake.

Ukiangalia startimes, local channels wameshindwa kutoa bure kama TCRA ilivyoagiza sasa sijui ipo kisheria au haipo hilo sielewi.
Local channels zinaonekana kwenye ving'amuzi vingine na hiki ndicho kitu hawakitaki hawa watu wanaitwa serikali chakavu kwa kuogopa kuonyesha madudu yao wanayoyafanya.

Hakuna mtu muoga dunia hii niliyepata kumuona kama jiwe .
Chato tu pale kaweka mijitu isiyojulikana ya kuzuia mtu yeyote asipige picha wala kuandika lolote kuhusu chato mpaka yeye ndiyo atake.
Mkipita pale kondakta anawapa angalizo kabisa kabla ya kushuka usije ukapiga picha

Kama mnakumbuka kuna kipindi aliomba malaika ashuke azime mitandao baada ya miaka kadhaa irudi, maana yake hii ni kwamba anaogopa watu wakijua nyumbani kumekaa vibaya watamsema na ataonekana yeye si kitu sasa anachofanya ni kukimbiza maendeleo huko kwake( alipolelewa, chato si kwao) ili baadae ndiyo mkipita mpige picha muone namna alivyoijenga chato.

Cha ajabu ni kwamba mpaka huo muda anafika kuruhusu picha, hayo majengo aliyoyajenga yanaweza kuwa ni outdated na watu wataona si kitu chochote kutokana na kwamba muda unasonga mbele huku jiwe akidhani kaweka pause.

Ulimbukeni ni kitu hatari sana
 
Uvivu wenu wakutotaka kujifunza au kusoma mambo ndio unao wafanya muwe mnatoa tuu lawama kwa kila mtu ..kumbe tatizo hamna mnalolijua...

Waulize hao Dstv na azam walichukua leseni za aina gani ndio uje kutoa lawama kwa TCRA..

TCRA wana watetea muone chanel hizo zote bila malipo lakini hamuelewi hahahah
 
Tatizo watu hamsomi sheria ya dijitali na masharti ya leseni
Unapoomba leseni unachagua utarusha bure au pay per view
kwa pay per view kama azam,ting na dstv,hawaruhusiwi kurusha channel zilisajiliwa kurusha matangazo bure isipokua Tbc tu
Ndio mana Azam wamestuka baada ya kuona wenzao wamelimwa notisi,wakazima tv za dezo
Ushauri kwa itv,ch10,star tv,n.k ,unapofukuzwa kwenye nyumba ndio unapata wazo la kujenga nyumba yako
Anzisheni kisumbuzi chenu Tanzania Integrated Digital services,on cost sharing basis kama walivyofanya watu wa umoja Atm,na mtaweza kuwa strong kuliko hao wa pay per view
 
Daah kweli hali syo nzuri maana mwanzo nilidhani king'amuz changu cha Azam ndo kina tatizo lakini kumbe siyo kuna tatizo. Kati ya TV za nyumbani zinaonyeshwa TBC, Wasafi TV na TV za Zanzibar pekee. Kulikoni....!!!!!
 
Kwa hiyo hata ukiwa umelipia,hizi hauwezi kuziona?
 
Back
Top Bottom