Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
- Thread starter
- #61
Tangu lini?Mkuu siyo kweli. Startimes inaonyesha hizo channel zote buree. Bila kulipia hata senti.
Tangu lini?Mkuu siyo kweli. Startimes inaonyesha hizo channel zote buree. Bila kulipia hata senti.
Hahahahahaja! PrimitiveHaipigwi picha pale, konda anawapa alert mapema kabisa
Mijitu isiyojulikana ipo inasoma ramani kila kona .
Jiwe anasumbuliwa na u-primitive kama role model wake PK.
Hii dunia ya leo itawasumbua sana
Kifurushi kimekata holaaMkuu siyo kweli. Startimes inaonyesha hizo channel zote buree. Bila kulipia hata senti.
Moderator uzi huu ni kwaajili ya familia masikini na hauhusiani na ule wa jana.
Wakuu baada ya kutafakari nimeona TCRA wanatakiwa waje na kisimbuzi chao kitakachokuwa kikitupa local channels bure.
Mpaka sasa hao Startimes, Ting na Continental wenye leseni ya kutupa local channels bure hawafanyi hivyo na TCRA wapo kimya (nashawishika kusema TCRA INAWAOGOPA).
Sasa kwakuwa mlituahidi mtatupa channels bure nadhani imefika wakati mchukue jukumu la kuanzisha kisimbuzi chenu na mkiite TCRA Digital Tv na kitupe local channels bure, hao wengine mtajuana nao sisi tunataka local bure au turudisheni analogue HAIWEZEKANI MTUDANGANYE.
Kira =kilaBongo kira kitu siasa tuuuu
Basi itakuwa upo Congo kwa KabilaKifurushi kimekata holaa
hadi 2020 ni mwendo wa TBC1,2Nasikia hata Azamtv nao leo loko Chanel zote wameziondoa isipokuwa TBC. Kuna tatizo gani kwasasa anayefahamu pls!
Labda chakwako mkuu.Mimi hizo zote lazima nizilipie.ITV
TBC1
TV1
EATV
StarTV
CHANNELTEN
CLOUDSTV
MLIMANI TV
WRM
RISE AND SHINE
Zote hizo ni buuuuuure ktk kisimbuzi cha Startimes
Mkuu,ulichokisema hapa ndio uhalisia.mimi nina kishumbusi cha startimes, local channel nalipia elfu 7, now bundle limekata hivyo Napata TBC1 pekee.
kuna wafanyakazi wa startimes humu nawaona wanavyo ongopa
Utaipata wapi HD kwa kutumia antena ya mwiba wa samaki?Kipindi cha analogue tv zililazimika kuwa na minara mikoa yote zinapo onekana na tuliangalia bureee... pia kupitia intelsat tunaona bure itv mpaka leo. Hoja yako ni dhaifu.
Acheni uongo mie nina king'amuzi cha startimes lakini hizo channel mpaka nilipie ndo nazionaOkay kama nikweli basi itakuwa poa, mimi pia nazipata Bureeeeeeeeeeeeeee ITV, STAR, CLOUDS, EATV, MORNING STAR, TBC, TV1 kupitia Ting.....
Lakini ni lazima tuwasemee wenzetu pia.
Na google earth amei-block au?Du! Sikulijua hili kuwa Chato marufuku kupiga picha, jamaa hataki tujue kinachoendelea Chato.
Huyu ndugu tecnolojia inamtesa sana.
sio kweli imebaki tbc one tuSio kweli kwenye Dstv channel za local zote zipo kama kawaida
Acha kudanganya watu ziko wapi hizo za bure?siku hizi bila kulipia 7000 utapata tbc1,tu labda kama una decoder ile dvb t2, ndio unaona bure ila ni wachache sana wenye nazo.ITV
TBC1
TV1
EATV
StarTV
CHANNELTEN
CLOUDSTV
MLIMANI TV
WRM
RISE AND SHINE
Zote hizo ni buuuuuure ktk kisimbuzi cha Startimes
Nayo imebaki ili iweje wangeanza nayoJana Dstv wameondoa chanel ten imebaki TBC