simba wa dodoma
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 930
- 1,024
rais wangu lowasaa njoo tusaidie jaman
Kama tbcTCRA kama BASATA tu
Si kweli..Jana Dstv wameondoa chanel ten imebaki TBC
Ipo kwenye list ila cyo free....kifurushi kikiisha walikua wanabakiza TBC, Chanel ten,Dish, CGTN News, French na Documentary ila xaiv wameondoa chanel 10 imekua ya kulipia cyo free tena
ila pilau habari nyingine.... hivi striker Mandingo bado yupo?Mpaka leo kuna watu mnaangalia TV si bora mpakue pilau maana huko kila siku ni maagizo tu
noma sana...tuangalie TBC tu hamna namna sasaTBC ukweli na uhakika
No escape......