nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,502
- 8,195
Wanamtetea nani?Uvivu wenu wakutotaka kujifunza au kusoma mambo ndio unao wafanya muwe mnatoa tuu lawama kwa kila mtu ..kumbe tatizo hamna mnalolijua...
Waulize hao Dstv na azam walichukua leseni za aina gani ndio uje kutoa lawama kwa TCRA..
TCRA wana watetea muone chanel hizo zote bila malipo lakini hamuelewi hahahah
Kama wanalijua hilo si wangeruhusu watu watumie antena kama zamani ambazo hazihitaji kulipia chochote kww chanel za ndani. Walitupeleka digital ili tulipie. Tunalipia, wanasema tusilipie watoe. Huoni kama huo ni mkanganyiko