luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,788
sor mme"Mmke". Ndio nani huyu?
sor mme"Mmke". Ndio nani huyu?
ajifunze yeye lugha yao hakuna namna!Wazazi wetu wengi wamekulia huko vijijin na Lugha inayotumika huko si kiswahili ni kinyumbani..Na wanasema akiongea kiswahili anahisi kinamchelewesha na bila yeye kujua anajikuta keshakubadilshia gia hewan toka kiswahili karudi lugha ya hme na wengi hawana maana mbaya ya kusema mtu ila ni mazoea tu...Hapo ndiyo busara inahitajika kidogo kama mke keshamtonya Mume kwamba hajihisi salama wanapoongea kilugha Mume ilitakiwa ajaribu kujibu kiswahili atleast wife atapata picha ya hayo mazungumzo na atakuwa na amani..
Mtu akimuacha mkewe kwa sababu ya lugha ujue hakumpenda tu aisee......Ukiwa na msimamo mkali kama huo basi utaanza kusikia maneno kutoka ukweni wakisema
Wazee:
"yaani huyu mtoto kaolewa huku kwetu miaka nenda miaka miaka rudi hata kusalimia kilugha tu hawezi? Hawezi au hataki? Au anatudharau? Kajifunzaje Kiingereza na Kifaransa leo iweje kashindwa kujifunza kilugha chetu rahisi kama hiki?
Mawifi:
Dawa yake ndogo huyu. Ni kumtafutia kaka yetu msichana bomba wa kabila letu - basi hata kama ni kimada tu. Ataisoma namba huyu.
Wewe:
Huna hili wala lile unajikuta umeachika, au amani inakuwa ndogo katika familia.
Jifunze lugha ya wakwe zako - hata kama utaivunjavunja unapoizungumza. Wakwe zako (na muhimu zaidi, mume wako) watafurahia sana kuwa unajitahidi uijue.
Ushauri wa bure huu.
Rahisi tu hiyo,mwezi tu watosha. Ayi laway,baba laway,a i doma,... Hâta JPM anaimanyaThis is too much asee, wanajua mie kabila lingine wanaongea lugha all the time afu nianze tena kuulizia cha kufanya mmh ngumu, sasa hapo kwenye kumtafutia kaka yao dem itabidi hao dada ndo wawe madem zake ili waelewane lugha.....
Kuna lugha za kujifunza kirahisi, namie ni mwepesi sana kujifunza lugha (sio lugha ya queen Eliza ha ha ha) Ila kuna lugha zingine mmh kama kiiraq(mbulu) hiki kimenishinda zaidi ya salamu siambulii kitu na hii ndo lugha ya ukweni kwangu
Nshaisikiliza sana sielewi, nimekaa na wanyiramba miezi Sita tu nikajua kinyiramba, hicho kimenishindaRahisi tu hiyo,mwezi tu watosha. Ayi laway,baba laway,a i doma,... Hâta JPM anaimanya
Ngoja nikupe mfano huu:Mtu akimuacha mkewe kwa sababu ya lugha ujue hakumpenda tu aisee......
Sio lazima kujifunza lugha ya mtu,hata mimi yangu hajui nitafutiwe mume kwetu?Ukiwa na msimamo mkali kama huo basi utaanza kusikia maneno kutoka ukweni wakisema
Wazee:
"yaani huyu mtoto kaolewa huku kwetu miaka nenda miaka miaka rudi hata kusalimia kilugha tu hawezi? Hawezi au hataki? Au anatudharau? Kajifunzaje Kiingereza na Kifaransa leo iweje kashindwa kujifunza kilugha chetu rahisi kama hiki?
Mawifi:
Dawa yake ndogo huyu. Ni kumtafutia kaka yetu msichana bomba wa kabila letu - basi hata kama ni kimada tu. Ataisoma namba huyu.
Wewe:
Huna hili wala lile unajikuta umeachika, au amani inakuwa ndogo katika familia.
Jifunze lugha ya wakwe zako - hata kama utaivunjavunja unapoizungumza. Wakwe zako (na muhimu zaidi, mume wako) watafurahia sana kuwa unajitahidi uijue.
Ushauri wa bure huu.
Ewe ka salt hujui kujifunza lugha ya wakwe ni kama umekubalika? Akikoroge tu akivunje vunje tu ila mme wake naye ndo bomu kwanini asimlazimishe tuition week moja kabla ya kuja ili wakifika ana kianzio?This is too much asee, wanajua mie kabila lingine wanaongea lugha all the time afu nianze tena kuulizia cha kufanya mmh ngumu, sasa hapo kwenye kumtafutia kaka yao dem itabidi hao dada ndo wawe madem zake ili waelewane lugha.....
Kuna lugha za kujifunza kirahisi, namie ni mwepesi sana kujifunza lugha (sio lugha ya queen Eliza ha ha ha) Ila kuna lugha zingine mmh kama kiiraq(mbulu) hiki kimenishinda zaidi ya salamu siambulii kitu na hii ndo lugha ya ukweni kwangu
Kujifunza lugha ya mpenzi wako ni kitendo cha mahaba na sio ukandamizaji. Nyie watu hamjui hata hizi romance za vijijini jamani? Mkoje nyie?Sio lazima kujifunza lugha ya mtu,hata mimi yangu hajui nitafutiwe mume kwetu?
Sasa mbona inaongelewa kama lazim?nisinge react hivi.kama ni hiyari.ntajifunza nikitaka lakini sio itumike kama fimbo,ungeoa dada zako wanaijua vizuri tuKujifunza lugha ya mpenzi wako ni kitendo cha mahaba na sio ukandamizaji. Nyie watu hamjui hata hizi romance za vijijini jamani? Mkoje nyie?
Hujui ni kiasi gani mume wako anavyokunwa anapokuona unaongea na kucheeeka na mama yake. Huyo mume hata kama alikuwa ameficha mgao wake wa Escrow mtungini atautoa tu akupeleke Dubai. Muwe na vijiujanja ujanja kidogo wakina dada. Hee! Lugha tu ndiyo unayogangamalia hivi? Wengine wanasema "MWE!"
Huyu bwana alipokuja kukuoa wewe aliwapita wengi tu wa kabila lake. Hii ina maana amekupenda wewe zaidi. Tunachozungumzia hapa ni njia ipi ya kumfanya mke awe karibu na watu wa ukweni (hasa kama wanapenda kuongea kilugha).Sasa mbona inaongelewa kama lazim?nisinge react hivi.kama ni hiyari.ntajifunza nikitaka lakini sio itumike kama fimbo,ungeoa dada zako wanaijua vizuri tu
Nimekupima sana we mwanamke unaonekana una mahaba sana,Mbona anajipa stress zisizo za lazima au hajiamini? tena ashukuru mungu yani ningekua mie wakiongea lugha yao mie nakua
chumbani na tv nawasha au naingia JF kwa raha zangu,akiuliza why umekaa huku namwambia "Habibi unajua napenda
nikupe nafasi uonge na Mama huenda ana mengi yatakayo tusaidia sasa kwasababu mimi sielewi lugha nakupa nafasi
wewe umsikilize halafu utakuja kinielezea halafu una mpa bonge la Kiss,bila kukasirika as if umependa alivyofanya..
lakini ukiuliza kasemaje mbona hasemi nikaelewa sometimes wakwe wanafanya visa hasa kwa watoto wao wa kiume..