Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

Mkuu wa kazi nina mambo 2 hapo ya kukuambia...

1. Kwa maneno mengine ninafikiri unatafuta mwanamke wa kupunguzia machungu af akijielewa huyo ndo awe mkeo sio? Ipo ile page ya love connect sijui.

2. Unamuumiza sana dadaako achana na hiyo tabia ya kumwambia mambo ya ndoa yako na kama na yeye huwa anakumbia basi shida ilianza kwenye malezi.

Oveeeer!
Nimeipenda sanaaa point yako ya pili hiyo. Hakika unafaa kuobwa ushauli.
 
Kuna mambo na wewe itakua ulimfanyia mkeo sio bure mtu akupotezeee tu...tungepata story upande wake ingekua poa
 
Kuna wanawake wengine ni mashetani, M/Mungu akujaalie kaka yangu mipango yako yote ifanikiwe nenda bwana hakuna haja ya kumtafuta mtu mshenzi kama huyo filauni, hajali hata mtoto wake?
YOUR THE BEST SINGLE DADDY EVER
 
Kumsomesha na kumtaftia mwanamke kazi ,kunahitaji moyo sana ,
wengi walosomesha wanawake,Hawakupata matokeo chanya kabisaa

pole sana mkuu ,Sahihisha makosa yasije yakakutokea tena
 
Hukupaswa kukaa mbali na mkeo siku nyingine tafuteni ajira ya karibu mkae wote Pamoja sio dar to bukoba. Wapi na wapi hata ingekuwa wewe unakuwa na girl friend tu
 
Back
Top Bottom