Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

Why uhangaike kama mtu hana muda na wewe dawa hyo hyo aende zake majuu akatafute kitoto kimoja kiteke teke saaafiiii
Sure mkuu...mimi binadamu anapewa attention mara mbili ya tatu piga chini.

Halafu siku hizi kuna mambo mengi ya kufanya hivo.
 
Aaah, nimesoma kisa chako kw kweli kimeniumiza sana, kwanza pole kw yote yaliyokukuta, ndg yangu wanaake wanavitimbi vingi kilichokukuta wewe ni wengi tu kimewakuta, kifupi ulichokifanya ni sawa kw mtazamo wangu
Umenena vyema mkuu.Hawa viumbe sijui wana tatizo gani.
 
Kuna daktari mmoja aliwahi kuniambia wanawake ndio walaji wakubwa wa chips kuku na chips mayai .

Akasema zile tabia za kuku wa kisasa na mayai yake yasiyo na kiini ni sawa na akili zao, yaani akili zao hazina kiini zipo tu.

Ujinga wa kuku wa kisasa ni pale unapomkamata bila kumfukuza ndio sawa na wanawake wa kisasa.

samahani kama kuna mwanamke nimemkera ,imebidi nitoe huo mfano japo najua wengi watahisi nimewadharau hapana natambua sana uwepo wenu maana hata mimi nimezaliwa na mwanamke.
 
Mtoto si anabaki kwa dada yake mkuu..au pale nilipomwambia atafute mtoto mwingine mzuri? Nimemaanisha mtoto/mwanamke
Nimekusoma mkuu kabisa, nazungumzia mwanae, anasema hatak kukaa na mtu zaidi ya baba yake.ndo mana nasema akiondoka atamwacha ktk hali gani mwanae...
 
Sure mkuu...mimi binadamu anapewa attention mara mbili ya tatu piga chini.

Halafu siku hizi kuna mambo mengi ya kufanya hivo.

Uzur tayar ameshafanya maamuz hii ni kama mrejesho aende zake amuache na kaz yake huko huko bukoba
Kwanza mbefele kuna watoto wazur mixa na kale kabarid bas swaaafii
 
Nimekusoma mkuu kabisa, nazungumzia mwanae, anasema hatak kukaa na mtu zaidi ya baba yake.ndo mana nasema akiondoka atamwacha ktk hali gani mwanae...
Anatakiwa awe makini. ..kama anamwamin dada yake..ni nzuri
 
Naomba niende kwny mada .mke wng alikuwa mama wa nyumban nilikaa nae kwa upendo sanaaa cjawahi kujutia na upendo sanaaa na heshima.mpk Dada yng akasema nifanye mpng mke wng awe na kazi basi nikaanza mchakato kumpa elimu pia nikamtafutia kazi kabla ya kuanza kazi tulikuwa tunawasiliana kila cku maaan nimezaa nae mtoto 1 .nikamtafutia kazi mm nipo arusha akapangiwa kazi bukoba ss ndio tatizo limeanzia hapo.wiki ya kwnz kuripoti mwasaliano yalikuwa mazuri sanaaa maaaan hela ya kuanzia nilimpa ss alipoanza kupokea mshahara duuuuh akaaanza kunifanyia dharau napiga cm hapokei hata miss calls 30 akija hakutafuti nakutafuta cku akipenda nikimuuliza Mara nilikuwa busy na kazi hata jmosi na jmpl busy ucku busy basi umerudi home mbona unitafuti Mara simu haikuwa na Salio nakuuliza tafadhali nipigie kwny cm ukuwa nazo mbona ulipokuwa ujaanza kazi ukuwa na tabia hiyo umefika uko umekuwa busy.kunipigia cm kwa mwezi Mara 1 tenaaa aniuliza mzima ww nilikuwa nakusalimia au naomba kuongea na mtoto basi unaweza kumuona online whatuaspp online ukituma SMS asbh anakujibu ucku ukiuliza nilikuwa unachat na best zake daaa niliumia siku ambayo aliniambia kwa ss siwezi kufanya lolote ana kazi yake .cku hiyo nilitka nimfanyie kitu ambacho hawezi kusahau maishani mwake nilitaka niende kazini kumharibia kazi ila Dada yng aliniomba nisifanye hivyo baaada ya kumwambia nakuja kufany hivyo akamwambia mama yake.mama yk akaniomba nisifny hivyo sikutka kumusikiliza ila nilisikiliza ushauri wa Dada yng .mwaka 1 umeisha sina mawasiliano mazuri mama yake akaniomba nimsamehe nikakubali ila kasema atajirekebisha wiki 1 tu baadae akaanza tabia yake toka anze kazi cjawahi kumuomba hela yake najua mshahar anapokea bei gani kuna cku nikamuomba hela kidogo akasema nakutumia baaadae akaniambia sina nilimuuliza hela yako unafanyia nn maaaan sijawahi kkuomba hela yako wala kkuliza mshahar wako unapeleka wapi hana cha kuniambia. Kwnz kuongea nae kwa mwezi 1 moja mpk nimeamua nikae kimia simuulizi lolote nimemuacha afanye anachojickia siwahi kumuuliza ss.mm kwa ss nimekuja dar kikazi Nina miezi 2 wala cjamwambia km nipo dar nimekaaa kimia Nina mpango wa kusafiri nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 sijamuambia nyumba ya arusha nimemuweka MTU natka niuze nyumba ya dar na gari yang niondoke zng bila kumwambia mwanangu nimepeleka kwa Dada yng na nimemtafutia shule nzuri mm najindaaa kuondoka nikifika nje ya nchi namba itakuwa haipatikan ya tz hawezi kunipata nirudi tz nitaaanza maisha Mpya na mwanangu kuoa tenaaaa sitaki je nimefany kosa au pia ndugu zake nimeacha mawasiliano nao kabsa baaada ya ndugu yako unifanyia sivyo
Hili jina ulilonalo...."sitaki raha" hebu litafakari vzr.
 
Uzur tayar ameshafanya maamuz hii ni kama mrejesho aende zake amuache na kaz yake huko huko bukoba
Kwanza mbefele kuna watoto wazur mixa na kale kabarid bas swaaafii

Sema hajasema mbele wapi isije ikawa anaenda..Syria hahah
 
Mkuu @sitakiraha unaona Mungu mkubwa unapata na wanunuaji kama hivi
Kongowe ya kibaha
e474ed176b1c9e010cf9b2d97dc5320d.jpg
 
Mtoto ana 4year kwa upendo nikajua tutasaidian maisha mtoto aliniachia akiwa na mwaka 1 ckutak kumpeleka MTU nikitaka niteseke mwenyew na mwanangu mwenyew pia hataki kukaaa na MTU zaidi ya baba yake
Hapo kwenye umri wa mtoto ndio naona usumbufu kwako....
kisheria mtoto anatakiwa kulelewa na baba kama kafikisha miaka 7 au uthibitisho kuwa mzazi wa kike hawezi kumlea kwa matatizo ya kiafya na pia kama hana kupata cha kutosha kumlea.

naona vita kubwa ya kumgombea mtoto na yeye atakushinda plus unatakiwa kutoa pesa ya malezi ya mtoto na kumpata mama yake....patamu hapo.

kama unaweza ..... mwamishe mtoto mpeleke mbali na dadako na pia hakikisha hawezi kujua mpaka atapofikisha miaka 7 then mjulishe na mchukuwe mwanao kisheria asijeleta fyoko baadae.
pole sana mkuu....hawa viumbe no wounder MUNGU alisema tuishi nao kwa akili alijua ni wapuuzi na akili hawana kabisa.
angalizo. ....KAMA UMEAMUA KUMUACHA MKEO MWACHE NA USITHUBUTU KUMRUDIA... YATAYOKUPATA UTAKOSA WA KUMLILIA.
 
Dah sasa kama.hatak anataka kukaa na wewe tu baba yake, ukiondoka itakuwaje? Embu fikiria tena mkuu unamwachaje mtoto....mi nsingeweza kabisa kumuacha mwanangu aisee, yan mwaka mmoja hilo limwanamke limeondoka amekuachia umeweza kumuangalia hadi ana miaka 4 sasa ...sasa unashindwa nn kuondoka nae ..
Naenda kikazi mkuu miaka 2. Nitakuwa na jukukumu kubwa sanaa
 
Back
Top Bottom