Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

Uza kila kitu bro. Hudumia mtoto,kama keshafikisha 7yrs itakua vizur zaidi coz utakua salama kisheria pia. Yani huyo mwanamke usije kujaribu kumrudia hata atoe machozi ya damu
 
Haya maisha kwel hayana formula m2 umeona umsaidie msaidiane katka maisha mara ghafla anabadlka.... Ungemuacha vilevile nayo ingekua shida maskin pole jipe moyo... Upendo ni gharama unaweza ruka mkojo ukakanyaga kinyesi mfate uko aliko and talk to her ucwe una assume tu ukiwa arusha nenda mzungumze.... Upendo ni gharama sana kumpenda m2 ni gharama kubwa na lazma ukubal yote ila kuna muda ukifka inabd umuache mtu kwa ajil yako mwaya.... Kukaa kmya co suluhisho... Soln ni kuongea nae na ukajua msmamo wake uko wapi katika ndoa...!
Ndugu yangu sijui ni mapepo ama nguvu za giza mana ukifikiria huez pata jibu la haraka ..
 
Huto anapigwa katerero huko keshakolea.. Kwa hio yupo bukoba kwao..????
Ushauri wangu ni kuwa hayo unayotaka kuyafanya yapo sahihi sana.
Na kuna kosa moja ambalo nakushauri usije ukalirudia.. Ni kumsameha na kurudiana naye.
Utakuwa umefanya ufala mkubwa sana.
 
Mkuu hiyo njia yako safi sana! Tena watu wanaitumia sana tu wewe wala sio wa kwanza,Nakupa big Up sio wale wanalialia.Hao watu lazima twende nao kihivyo ili watuelewe.
 
Uza kila kitu bro. Hudumia mtoto,kama keshafikisha 7yrs itakua vizur zaidi coz utakua salama kisheria pia. Yani huyo mwanamke usije kujaribu kumrudia hata atoe machozi ya damu
Mtoto ana 4year kwa upendo nikajua tutasaidian maisha mtoto aliniachia akiwa na mwaka 1 ckutak kumpeleka MTU nikitaka niteseke mwenyew na mwanangu mwenyew pia hataki kukaaa na MTU zaidi ya baba yake
 
Ila mkuu amuache mtoto kweli?
hilo limwanamke si ata mfeed maneno mabovu kuhusu baba yake na sidhan kama atakua mama mzuri
Mtoto si anabaki kwa dada yake mkuu..au pale nilipomwambia atafute mtoto mwingine mzuri? Nimemaanisha mtoto/mwanamke
 
Upo sahihi kamanda. Kama uliyoandika hapa ni sahihi basi upo sahihi kwa asilimia 800.

Piga chini mhudumie mwanao tafuta mtoto mwingine mzuri utulie.

Why uhangaike kama mtu hana muda na wewe dawa hyo hyo aende zake majuu akatafute kitoto kimoja kiteke teke saaafiiii
 
Pamoja na ushauri mbalimbali, sisi ni binadamu tu....hatma ya maisha yako haipo mikononi mwetu. Kwa imani yako pata muda kumshirikisha Mungu. Najua una stress isiruhusu zikufanyie maamuzi...usije ruka mkojo ukakanyaga mavi.
 
Mtoto ana 4year kwa upendo nikajua tutasaidian maisha mtoto aliniachia akiwa na mwaka 1 ckutak kumpeleka MTU nikitaka niteseke mwenyew na mwanangu mwenyew pia hataki kukaaa na MTU zaidi ya baba yake
Dah sasa kama.hatak anataka kukaa na wewe tu baba yake, ukiondoka itakuwaje? Embu fikiria tena mkuu unamwachaje mtoto....mi nsingeweza kabisa kumuacha mwanangu aisee, yan mwaka mmoja hilo limwanamke limeondoka amekuachia umeweza kumuangalia hadi ana miaka 4 sasa ...sasa unashindwa nn kuondoka nae ..
 
Back
Top Bottom