Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

Hakikisha unapotoka nchini unaondoka na mwanao. Huyo dada yako anaweza kubadilika pia na kum-mistreat mtoto mpaka ukajuta! Wanaweza kumshushia mpaka self esteem yake buuuree! Nenda na mwanao tu...apata exposure ya nje na yeye
 
Mkuuu unaelewa maana ya kujitambua.. M2 ukijitambua utajua kuishi na malimbukeni wa maisha hasa walioshka pesa ukubwan kama uyo dada! Kingne cc tukiongea yy ndo anabak na maamuz ya maisha yao ya ndoa mkuu! Nasstiza upendo ni gharama
Nimekuelewa kabsa
 
Au alipata mimba bahat mbaya alikua hakupendi?? Mana mwenye ufahamu wake haezi fanya hvo
 
Kuna daktari mmoja aliwahi kuniambia wanawake ndio walaji wakubwa wa chips kuku na chips mayai .

Akasema zile tabia za kuku wa kisasa na mayai yake yasiyo na kiini ni sawa na akili zao, yaani akili zao hazina kiini zipo tu.

Ujinga wa kuku wa kisasa ni pale unapomkamata bila kumfukuza ndio sawa na wanawake wa kisasa.

samahani kama kuna mwanamke nimemkera ,imebidi nitoe huo mfano japo najua wengi watahisi nimewadharau hapana natambua sana uwepo wenu maana hata mimi nimezaliwa na mwanamke.
Me nmekereka kwa kweli ....hao kuku wa kisasa wanaitwa zezeta sa nyingine sasa means mwanamke ni sawa na zezeta
Anyway ushatanguliza samhn no problm
Hatufanani wote kila mtu na akil zake
 
Mmmh! Wanawake huwajui wewe, haya kwao ni ya kawaida kabisa. Mwanamke hata awe smart kiasi gani na mwanaume wake ampe kila kitu chenye matamanio mwilini mwake na machine pake, usaliti ni kugusa tu tena inategemea na nguvu tu za ushawishi za huyo anaemshawishi si zake.

Huwa wanaanza kusaliti huku wakijilaumu, then kwa kasi ya ajabu wanatoka mazima, don't trust a woman.
Mkuu, kitu kimoja ambacho nataka nkuambie ama nijiambie,
ushetani ama upumbavu ama usaliti ama ujinga aliofanya mwnaamke mmoja its not guarantee kwamba wote duniani wako hivyo.....huwez pata mwanamke ambae ni mkamilifu mana binadamu tuna mapungufu, lakini wanawake bora wapo ...mwanamke ambae atakua bora kwako, ambae atakua na mapungufu lakin heshima yake kwako ipo, na upendo wake kwako upo pale pale despite everything, hatatamani kua mwanamke kati ya wanawake ambao huibomoa ndoa kwa mikono yao wenyewe.
 
Mkuu piga chini angalia maisha yako na mwanao. Siku ukifanikiwa atarudi kwa magoti and that will be too late. Hatred is her reward for your love. Pathetic.
 
Big up sana mkuu wanawake ni walewale awafikirii ya kesho anaona amefika apo na ukiona ivyo jua kuna boya anamiliki kikubwa na kusepa na kufata yako kwani ye ndo wa kwanza kwako?km ye itakusumbua sana mi namini wapo wengi wenye sifa nzuri ata zaidi yake komaa na maisha mwanamke asikuchanganye akili
 
Sawa mkuu
 
Ushauri wangu unaonekana ni kijana mzuri hongera.
Ushauri:
1.Shetani anaipiga vita familia yako believe me, usimruhusu shetani aivuruge hata kidogo.Piga goti omba Mungu ajuaye kesho yako akuteee.

2. Usijaribu kutafuta mwanamke mwingine Lea mtoto wako kwa hivi sasa muda ni jibu tosha .Mean vumilia
3. Usiuze Mali zako kisa kumkomoa mke wako no big No kwani uko nje ukienda hurudi? i acha mawazo hayo.Don't make permanent decision for temporary emotion.
4.Hujakosea kumshirikisha Dada yako anaonekana ana hekima sana muamini zaidi.
5.Nenda kwa amani uko abroad lakini endelea kumtumainia Mungu aitetee ndoa yako kumbuka usipomtegemea Mungu na kumkabidhi fadhaa zako wafwaa.
6. Nazidi kukuombea kwa Mungu ni imani yangu utarejeshewa furaha yako . Hakuna awezaye kupima kiwango cha fadhaiko la moyo wako ila Mungu ndiye ajuaye nitazidi kuikumbuka familia yako katika Maombi uwe mvumilivu.Yer 33:3
 
Nashukuru sanaaaa mkuu
 
Duuu mapenzi magumu sana aisee maana wengine wanasemaga ukimzalisha mwanamke anakuwa na heshima kumbe nalo sio jibu
 
Pole sana Mkuu na hongera kwa jitihada zako za kumsomesha mkeo na kumtafutia ajira. Binadamu wengine ndivyo walivyo hawana shukrani hata chembe sasa anajiona yeye ndiye yeye.

Umefanya maamuzi mazuri kila la heri na baraka kwenye safari yako nchi za nje na pia maisha yako.

Naomba niende kwny mada .mke wng alikuwa mama wa nyumban nilikaa nae kwa upendo sanaaa cjawahi kujutia na upendo sanaaa na heshima.mpk Dada yng akasema nifanye mpng mke wng awe na kazi basi nikaanza mchakato kumpa elimu pia nikamtafutia kazi kabla ya kuanza kazi tulikuwa tunawasiliana kila cku maaan nimezaa nae mtoto 1 .nikamtafutia kazi mm nipo arusha akapangiwa kazi bukoba ss ndio tatizo limeanzia hapo.wiki ya kwnz kuripoti mwasaliano yalikuwa mazuri sanaaa maaaan hela ya kuanzia nilimpa ss alipoanza kupokea mshahara duuuuh akaaanza kunifanyia dharau napiga cm hapokei hata miss calls 30 akija hakutafuti nakutafuta cku akipenda nikimuuliza Mara nilikuwa busy na kazi hata jmosi na jmpl busy ucku busy basi umerudi home mbona unitafuti Mara simu haikuwa na Salio nakuuliza tafadhali nipigie kwny cm ukuwa nazo mbona ulipokuwa ujaanza kazi ukuwa na tabia hiyo umefika uko umekuwa busy.kunipigia cm kwa mwezi Mara 1 tenaaa aniuliza mzima ww nilikuwa nakusalimia au naomba kuongea na mtoto basi unaweza kumuona online whatuaspp online ukituma SMS asbh anakujibu ucku ukiuliza nilikuwa unachat na best zake daaa niliumia siku ambayo aliniambia kwa ss siwezi kufanya lolote ana kazi yake .cku hiyo nilitka nimfanyie kitu ambacho hawezi kusahau maishani mwake nilitaka niende kazini kumharibia kazi ila Dada yng aliniomba nisifanye hivyo baaada ya kumwambia nakuja kufany hivyo akamwambia mama yake.mama yk akaniomba nisifny hivyo sikutka kumusikiliza ila nilisikiliza ushauri wa Dada yng .mwaka 1 umeisha sina mawasiliano mazuri mama yake akaniomba nimsamehe nikakubali ila kasema atajirekebisha wiki 1 tu baadae akaanza tabia yake toka anze kazi cjawahi kumuomba hela yake najua mshahar anapokea bei gani kuna cku nikamuomba hela kidogo akasema nakutumia baaadae akaniambia sina nilimuuliza hela yako unafanyia nn maaaan sijawahi kkuomba hela yako wala kkuliza mshahar wako unapeleka wapi hana cha kuniambia. Kwnz kuongea nae kwa mwezi 1 moja mpk nimeamua nikae kimia simuulizi lolote nimemuacha afanye anachojickia siwahi kumuuliza ss.mm kwa ss nimekuja dar kikazi Nina miezi 2 wala cjamwambia km nipo dar nimekaaa kimia Nina mpango wa kusafiri nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 sijamuambia nyumba ya arusha nimemuweka MTU natka niuze nyumba ya dar na gari yang niondoke zng bila kumwambia mwanangu nimepeleka kwa Dada yng na nimemtafutia shule nzuri mm najindaaa kuondoka nikifika nje ya nchi namba itakuwa haipatikan ya tz hawezi kunipata nirudi tz nitaaanza maisha Mpya na mwanangu kuoa tenaaaa sitaki je nimefany kosa au pia ndugu zake nimeacha mawasiliano nao kabsa baaada ya ndugu yako unifanyia sivyo
 
Sio kila siku itakuwa ni furaha tu no I say no kuna wakati inakuja lazima uingie majaribuni na jaribu lina mlango Wa kutokea.
Hata Yesu alijaribiwa na shetani kama ni msomaji mzuri Wa BIBLIA utakubaliana nani vipi kuhusu Ayubu?
Kaka yangu je ni ajabu Mimi na wewe kujaribiwa?
Alafu shetani huwa anapenda kuvuruga kitu unachokipenda siku zote mfn. Umesema mke wako alikuwa ni mtu msikiivu umfurahiaye? Shetani a napenda kuharibu ile sehemu ikupayo furaha mfano Mwingine unakuta kijana a napenda sana kusoma kila wakati yupo na kitabu na furaha ya kijana IPO kitabuni shetani hitokea sehemu hii Mara ataleta magonjwa ghafla kijana haoni lengo ni kupoteza furaha ya kijana.

Cha msingi jua kuwa ni karibu tu limekufika cha msingi kuwa mvumilivu utavuka salama.

NB; Angalia kwa tahadhar sana ushauri Wa watu upewao siku zote usiruhusu jambo hili likatenganisha ushirika wako na Mungu hakuna furaha ya Kweli ukiwa nje ya neno la Mungu.
Furaha ya kweli IPO kwa Mungu ndo mana anasema Mimi ni Alpha and Omega.Tunakuombea
 
Nimefundishwa kutoyakimbia matatizo aisee..ingekuwa vyema kama ungefahamu root cause ya hayo yote aliyokufanyia na nini msimamo wake kwa sasa kuelekea uhusiano wenu, ukiamua kuondoka na kumuacha dillema haitoleta picha nzuri ukizingatia huyo ni mwanamke na vitabu vitakatifu vinasema tuishi nao kwa akili! always remember what goes around comes around... you heard?
 
Amini nakwambia ukifos utapata magonjwa coz hajui nn anafanya huko aliko
 
Back
Top Bottom