USHAURI: Simuelewi mume wangu


Ingia P

Kuna kaujumbe nimekuwekea
 
Performance imeshuka kwakweli hakuwa hivi mwanzo alikuwa anajitahidi tunaenda hata round 2 Ila sahivi round moja basi
Round mbili tu daaah af hapo ndo kajitahidiπŸ€”πŸ€”?? Aisee polee kwa unayopitia homegal
 
Wanaume kuna mda tunakinai sio dhambi wala ni mindset tuu ila kunamda tunamiss, pia kunamawazo na kunakuchoka pia na maradhi pia yapo huenda yakawa wazi au mpaka kupima mfano maradhi kama ya moyo pia kupungukiwa ham ya tendo kupitia vichocheo vyake and etc kwaiyo kabla ya kuwaza negative jitahid kua positive maana ndo shetan na maana ya ndoa inapimwa kwaiyo upo kwenye majaribio.

Mi ningekua mme wako ningekutaftia kazi itayokukeep buzy namajukum tofauti tofauti maana invyonekana upo free sana ndo maana una ashki kubwa ya tendo.
 
Kwani kwao alishindwa kufanya hizo kazi
 
Bi dada anataka de libolo, anataka haki yake ya kugegedwa
Huyu mwamba sijui anafeli wapi. Bi dada analala utupu jamaa anaishia kukumbatia tu lakini hachakati mbususu 🀣🀣🀣

Kweli duniani kuna vituko mzee baba
 
Njoo pm mama tuzungumze
 
Kuandaa anajua ananiandaa vizuri sana mpaka kwenye maandalizi naweza mwaga hata mabao 3 Ila akishaingiza mkuyenge haichukui hata dk 5 kashamwaga na harudii round ya 2

Kama ni ivo anamatatizo ya nguvu za kiume ata mimi kunakipindi nshawahi kua ivo ila nilipoanza kufanya tizi nakuzingatia mlo nkawa namuwashia moto hadi anaogopa nisiende kazini anahisi sitosheki ntamchit ila usisubutu kumwambia kua anaupungufu wanguv za kiume we mwambie ajitahid tuu iyo kauli hua hatuipendi kuambiwa na tunaowapenda.
 
Ha ha ha .....
Hadi lotion haishiki mwilini?
 
Kama siyo stress za kazi anazofanya,itakuwa ni stress za hapo nyumbani,vinginevyo labda ulikwa mwembamba sasa umetutumka mpaka umepoteza muelekeo,maana wanawake wengine wanafikiria unene ni uzuri,kumbe inafikia mahali mpaka wanatisha...
 
 
😁😁😁 nina cousin wangu kwenye ndoa hajanyanduliwa miezi mpaka 6 au mwaka , yaani mpaka sometimes anambaka mume wake.

Sema kuna wanawake kwenye ndoa wanaliwa daily lkn bado hawarudhiki yaani.

Dah mapenzi kizungumkuti na kizunguzungu.

Pole sana
 
M nadhani amegombana na mchepuko wake anayempenda sana,that why Hana hamu na ww.
 
Duh kuna watu wana maisha magumu jamani. Huyo mwenzetu huko kwao aliua? Au ni yatima? Au ni mlemavu?
Anayajua makosa yake.... Ukiwa mkosaji na ukarudu kwenu na wakakuopokea wewe na familia yako wote mnauwa wa hovyo. Narudia ANAJUA MAKOSA YAKE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…