Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Ushauri: Simpendi, sijui ilikuwaje nikafunga naye ndoa

Mbona kuna ambao wake zetu tunawajali sana tu Hornet sema tu huwa wanazingua. Sasa mke anapoamua kukunyima pusi anategemea nini? Yani unamtunza vizuri unamtimizia mahitaji yake kwa usahihi ila bado analeta nyodo sometimes adi unasema nini hiki!

Kuna kitu hakipo sawa
Hivi huwa mnaomba?

Hahahhaaaaaa mi sijawahi ombwa aisee
Yaani matukio tu hutupeleka mtini!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani uko kamimi kopi kabisa hakuna kitu sipendi kama kulala Na mtu asee nibora chumbani kwangu nikiwa namaisha
Mazuri niwe navitanda viwili ili sikutukihitaji ndo tunalala pamoja yaani sipendi kabisa ndo bahati mbaya nimguse usiku naweza fukuza mtu nahisi hii ndo
Tabia yangu mbaya zaidi nachukia sana tena sana kulala Na mtu kitanda kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuwa hujampenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni moja kati ya threads za mleta mada.

Mimi namshauri akasome alichokiandika humo!


- KANA -
Safi sana mtu wa database

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tulikutana kwenye daladala
mimi nilimuanza sikuwa na nia ya kuoa
mtoto mmoja
yeye form four mimi degrée 2
uchumi si mbaya...we get what we want...sema uwezo wake kuchangia mdogo
sijui kama anadaka mchepuko
ni RC ila Watoro
Huu ndio uwezo wa mtu mwenye dehree mbili kujieleza...hatari sana

By the way, kaa na mke wako kama kuna mabo ambayo unaona huyapendi kwake meeleze na kama kuna vile mabvyo unataka awe mjulishe na umsaidie kubadilika

Jifunze kumpenda, ni kipindi tu katika ndoa na kitapita maisha yataendelea as long anakuheshimu na natimiza wajibu wake kama mke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think so.dah..napata tabu sana
Pole mzae, i can feel your pain. Mwenyewe mwanamke niliepiga nae match enzi nabalehe siwezi kuwa nae kwa sasa hata Magu akisema ananipa billion 1 sasahivi. 😂😂😂😂😂
 
Hahah sindo ndoa za kushinikizwa na umri hizo. Ukifika 27 ushapiga sarakasi zote yeyote anaekuja twendeee!!! Baada ya mwaka yanaanza majuto, excitement ya kuvaa shela, kucheza kwaito na hongera zimeshaisha unabaki na mawazo but this guy is not the one i wanted to spend my life with ila nimeshaolewa. Vituko vinaanza mara huna hamu ya sex mara ugomvi yani kukerana tu..
Hehe ndo hvyo au sabbu umemzalisha basi unaona uishe nae ndo yaliyomkuta mdau
 
Mkuu mimi mke wangu sasa hivi ndio hata simwambii yani sometimes nina hamu kweli ninapotaka huduma ya ndoa dah ni shida kwakweli hivi kwa nn wanakuwa hivi wanawake zetu hawa yani katabia haka ni tatizo kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Washenzi tu kwa sababu anajua fika utaenda kuchepuka ila still anakufanyia huo uhuni. Wengine inakuwa ni visasi tu. Labda kuna kitu ulimuahidi ila bado hujatimiza anaamua kukukomoa. Ila kiufupi ni tabia ya kisheitwani kabisa maana kasisi aliposema sie ni mwili mmoja hakuwa anafanya komedi, maanake ni tuwe huru kuingiliana kimwili kadri tuwezavyo!
 
Back
Top Bottom