1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,969
- 13,848
We ndo mmiliki wa hiyo gari,, unaposema hupendi kuendesha inabidi utupe sababu za kutoipenda, labda hulipigi service? Hulioshi? Utalipendaje?kivipi
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo mmiliki wa hiyo gari,, unaposema hupendi kuendesha inabidi utupe sababu za kutoipenda, labda hulipigi service? Hulioshi? Utalipendaje?kivipi
There is a thin line between the two, ila ni rahisi sana kupenda! Ndio maana wapenzi ni wengi kuliko maadui!Love is feelings...
Sometimes we don't get what we want but we get what we deserve.
You can choose and tune your mind whatever you want... everything starts in your mind, jipende mwenyewe Sana zaidi na zaidi kisha utaijua thamani ya kumpenda mwingine...kuna gharama kubwa Sana kumchukia mtu kuliko kuamua kumpenda ikiwa hakuna Jambo gumu analokuzuia kuonyesha upendo, la hata kama lipo, kumpenda ni kujiponya nafsi.
You can choose love instead of hatred.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipe likizo, jifanyie retreat.vitu hakuna mkuu...coz mademu wa nje saivi sina...ila sitaki hata kukaa nae...sometimes nawaza nimwachie tu nyumba
Nachokiona ww huna tatizo hilo ukimpenda ME ila kuna wenzio sijui ni uvivu au mambo ya shetani. Ngefex inakuwa utata yani ukikumbuka enzi za uchumba unatamani ubonyeze replay!Anyway , siwez kujudge sana maana kama mtu mnapenda inakuaje mpangiane mgegedo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kuna ambao wake zetu tunawajali sana tu Hornet sema tu huwa wanazingua. Sasa mke anapoamua kukunyima pusi anategemea nini? Yani unamtunza vizuri unamtimizia mahitaji yake kwa usahihi ila bado analeta nyodo sometimes adi unasema nini hiki!
Omba likizo ya muda fulani uwe pekeako.shida ninapigaje chini...nampenda sana mwanangu
Hilo la mwisho ndio tatizo lako/lenu, Nendeni kanisani mtapata hekima, hasa wewe.tulikutana kwenye daladala
mimi nilimuanza sikuwa na nia ya kuoa
mtoto mmoja
yeye form four mimi degrée 2
uchumi si mbaya...we get what we want...sema uwezo wake kuchangia mdogo
sijui kama anadaka mchepuko
ni RC ila Watoro
Unahitaji mchepuko permanent!!?? Duuuh bado nawaza kwa hiyo huo mchepuko wenyewe kazi yake ni kujikusanyia dhambi ya uzinifu tu??? Wanaume hebu kuweni na huruma yaani mchepuko milele ndoa aolewe mwingine yeye akuburudishe hahahahahahaahahah dahGuys I am facing the same tratgy, mi pia nina umri wa ndoa miaka 5 but tulianza kuishi kama wazazi kabla ya kuoana. Shida ilianza mwaka wa 3wa ndoa. Actually nlikuwa nishadate waschana si zaidi ya wa 3 ndo huyu akawa wa 3. Miaka mitatu ya kuishi wote nlianza kupangiwa mgegedo once per week na mm ndo nlikuwa nina dam bado changa 33yrrs, she was 26. Nlianza kuchepuka but nlikuwa naumia sana moyoni. Pia nlikuwa na mipango ya maendeleo so sikutaka nitumie hela kuhonga. Taratibu nikazoea hadinikaonani haki yangu. Ilianza kupita mwezi bila mgegedo na hatimae miezi3 na kuna kipindi tunakata 3moths kasoro. Sasa tu a 10yrs. Nimechepuka na wanawake wengi tu. Alishanikamata na sms marakadhaa, and huwa nakuwa mbogo,na kwavile ni mwanamke huwa ananywea, kinachoniuma ss nahitaji kupata mtu mwenye uchungu na maisha ili awemchepuko permanent and hata kamanawekeza kwake nijue kuna faida. Nimechoka kuwa cha wote aiseee, tofautini kuwa mi wife nampenda, na siko tayarikumwacha, japo huwa namwambia kama ameniona malaya basi tuachane
Ni kweli iko hivyo unatamani uwe nae kila muda ila idea ya kulala kila siku maisha yote nahisi kama inachosha
Una matatizo walahyaani uko kamimi kopi kabisa hakuna kitu sipendi kama kulala Na mtu asee nibora chumbani kwangu nikiwa namaisha
Mazuri niwe navitanda viwili ili sikutukihitaji ndo tunalala pamoja yaani sipendi kabisa ndo bahati mbaya nimguse usiku naweza fukuza mtu nahisi hii ndo
Tabia yangu mbaya zaidi nachukia sana tena sana kulala Na mtu kitanda kimoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah sindo ndoa za kushinikizwa na umri hizo. Ukifika 27 ushapiga sarakasi zote yeyote anaekuja twendeee!!! Baada ya mwaka yanaanza majuto, excitement ya kuvaa shela, kucheza kwaito na hongera zimeshaisha unabaki na mawazo but this guy is not the one i wanted to spend my life with ila nimeshaolewa. Vituko vinaanza mara huna hamu ya sex mara ugomvi yani kukerana tu..Asilimia 80 ya ndoa nyingi wameoana tu hakuna upendo ni kutokana na sbbu mbalimbali
Anyway pole mdau..ndoa sio kifungo
Mie hutochoka kulala nami mpenzi?
Mbona kuna ambao wake zetu tunawajali sana tu Hornet sema tu huwa wanazingua. Sasa mke anapoamua kukunyima pusi anategemea nini? Yani unamtunza vizuri unamtimizia mahitaji yake kwa usahihi ila bado analeta nyodo sometimes adi unasema nini hiki!
Mbona kuna ambao wake zetu tunawajali sana tu Hornet sema tu huwa wanazingua. Sasa mke anapoamua kukunyima pusi anategemea nini? Yani unamtunza vizuri unamtimizia mahitaji yake kwa usahihi ila bado analeta nyodo sometimes adi unasema nini hiki!
I can feel your pain mzeeI think so.dah..napata tabu sana