Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

Furahi hata anampenda dadako na wewe uendelee kula vya shemeji, kuliko angewaletea mchepuko na kuwatolea wote dirishani
 
Waswahili walisema akufukuzae hakwambii toka.

Shemeji yako hakutaki hapo,hama haraka sana kabla hujamkuta siku anamkula dadako kwenye kiti.
Narudia tena hama
 
Dada yako ni haki yake kufanyiwa hivyo maana ni mkewe.Swala mahari ndogo halina mashiko halikuhusu wao walishapendandana hata asingelipa mahari ni sawa tu.Kikubwa kapange kwako hutaumiza roho yako kisha na wewe oa
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Ulitaka amshike nani kama siyo mkewe! Miaka miwili (02) unakaa kwa mume wa dada yako! Ondoka nenda ukajitegemee
 
Nilivosoma tu unatokea babat,nikakumbuka wadada wa uko walivo mapini na sasa shemej yako puto anapasuka popote.
 
Sasa si akamshikie chumbani
Umeshindwa kuhoji hili kwa kuwa hapo unapoishi si kwako, ni kweli kwa tamaduni zenu si sawa kufanya hayo mbele yako, ila si sawa kwa wewe pia kuendelea kuishi hapo ilihali haupendezwi na kile kifanywacho, angalia mfn unakereka na shemeji yako kunywa supu ya pweza, karanga nk..tafuta namna uanze kujitegemea, jiongeze tu.
 
Unanyoosha mwandiko hivi bado ni Mwaka wa pili sasa unaishi kwa shemejio kisa sababu zisizozuilika. Aghrrr....
 
Umeshindwa kuhoji hili kwa kuwa hapo unapoishi si kwako, ni kweli kwa tamaduni zenu si sawa kufanya hayo mbele yako, ila si sawa kwa wewe pia kuendelea kuishi hapo ilihali haupendezwi na kile kifanywacho, angalia mfn unakereka na shemeji yako kunywa supu ya pweza, karanga nk..tafuta namna uanze kujitegemea, jiongeze tu.
Basi mkuu itabidi nihame hapa maana kwa mtindo huu sitoweza kuendelea kuishi
 
Back
Top Bottom