Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

Kati yako na BABA YAKO nani wa KUUMIA ROHO kwa HUYO Dada yako?,UNADHANI KWANN BABA wengi WANALIA SIKU YA HARUSI YA BINTI ZAO?anajuwa fika nini kitamkuta BINTI YAKE..HUKO AENDAKO,,,LAKINI anaamua kumtoa kwa roho moja,,..dawa ni kuhama tu mkuu. Hakuna jinsi..
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo we inakuuma!yule ni mke wake,ulipokuwa unachekelea kumtoza mahari ulijua huko anakoenda anaenda kufanya nini?na vibia siku ya harusi bwana shemeji kajipinda ukavinywa weee,sasa dada anashikwa unaona hatari,kama hutaki hayo mambo ondoka hapo mkuu,yule ni wa kwake sio wako tena,kuna zaidi ya hayo in your absence we kuwa mpole.....
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Umesema upo hapo kwamalengo yalio nje yauwezo wako,,chamsingi nasecondar jitaid ayo malengo yawe ndani yauwezo wako ili uwepukane nahayo,,vinginevyo utakuja kukuta c*ako kakunjwa kwenye coch uzimie bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Fanya mpango utafute chumba uhame hujajistukia tu
 
Shemeji mimi nilimuowa dada yako sikukuowa ww kwann uje uish kwangu? Alaf sikujua kumbe uliamua uje unifungulie Uzi JF

Sent using Gun Trigger
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2] bongo sihami dadeki... Hama hapo atakuja mtombea mbele yako sasa...kwanza mahar inakuhusu nn ww ..[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Rafiki zako utawaambia unakaa kwa shemeji??? Ukisema kwa dada ni kosa kwani dada hana mji.
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Hamia kwako mkuu hayo utayaona au rudi kwenu.
Hivi wakuja unatakaje kuanza kudictate term kwa mwenye nyumba?
Ukiumia sana mkuu, na wewe tembea na dada wa shemeji yako
 
Siku ukigundua analiwa mpka tigo si utakufa kabisa..
 
tafuta chumba upange braza;
kama una uwezo wa kumiliki smart phone unashindwa nn kupanga chumba ?

uza hiyo tecno yako hata laki moja anza maisha kibishi dogo;
Kama upo arusha .... uza hyo smartphone then ukapange maeneo cheap kama kwamorombo, mbauda etc........ kazi anza na kuchoma mishkaki kila siku jion ad usiku town, uanze kwa staili hyo.
 
Back
Top Bottom