Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

Hahahaa aiseee ww ni punguani namba moja. Sasa roho inakuuma kwani huyo demu wako?! Katafute wako umuone wivu. Na habari za kukaa kwa shemeji yako mwenzio kakuchoka unamnyima uhuru wa kucheza vizur na mkewe kisa uwepo wako. Kakuvumilia kakuchoka kaona liwalo na liwe lakn siyo kujibana tena. Ukiona mambo magumu muombe dada ako akakupangishie chumba, cyo kubaki hapo kumla chabo dada ako. Maana anakoelekea shemej yako! utakuja kumtupia ngumi alafu ashindwe kukuelewa
 
Jiongeze uondoke ama unataka hadi akuambie uondoke.Na bado, soon tu ataanza kula vumbi la mkongo mbele yako.
 
Jiongeze uondoke ama unataka hadi akuambie uondoke.Na bado, soon tu ataanza kula vumbi la mkongo mbele yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakula mkongo afu anakuangalia kwa jicho direct, km nyapara wa gerezani
 
Hahahaa aiseee ww ni punguani namba moja. Sasa roho inakuuma kwani huyo demu wako?! Katafute wako umuone wivu. Na habari za kukaa kwa shemeji yako mwenzio kakuchoka unamnyima uhuru wa kucheza vizur na mkewe kisa uwepo wako. Kakuvumilia kakuchoka kaona liwalo na liwe lakn siyo kujibana tena. Ukiona mambo magumu muombe dada ako akakupangishie chumba, cyo kubaki hapo kumla chabo dada ako. Maana anakoelekea shemej yako! utakuja kumtupia ngumi alafu ashindwe kukuelewa
Mpaka mwezi wa kumi na moja ntakuwa nshahama mkuu
 
Huyu jamaa ni mkuu kweli! Kinakuuma nini ww? Au unamkulaga dada ako? Kwanza,jamaa anakuchelewesha sana,maana jamaa anakulisha,anakulaza,si ajabu hata matumizi anakupa..kifupi naww umeolewa pamoja na dada ako.ingekuwa mm ningesha kukula 0712 ka dada ako..HUNA AKILI.
Mkuu tatizo jamaa ananikomesha makusudi anajua kama Mimi roho inaniuma
 
Dunia imejaa vituko, mimi nilidhani anamchezea dada wa kazi kumbe ni mkewe.
Kwa lugha nyingine unatakiwa uondoke hapo urudi Babati mkuu
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
ituko
 
Kwanini ajiongeze kuwa kaambiwa toka?....anachofanya Shemeji yake ni Sawa kabisa. ...kuliko angekuwa ana mzaba vibao
Vibao labda angengombana na dada. Dawa ndio hiyo, tena bado kufanya mapenz sebleni, awakute siku moja.
 
Back
Top Bottom