othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,641
- 12,126
Unataka akushike ww kalio?
[emoji51] [emoji51] [emoji51]Sawa mkuu endelea kutulisha matango pori tu hii ndo jei efuu bwanaa[emoji23][emoji23]View attachment 873012
Umenichekesha sanaVipi mkuu
maamuz magumu yapi? ya kumsaidia DADA yako?.. alaf angalia bro... atahamia kwako na ww akushike kichuguu hicho tafuta pa kuishiHabari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.
Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.
Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
au PENTAGON hawajakulipa mashahara wako?Aisee itabidi nihame
😀😀😀Habari wana JF

Wewe ni mbuzi, na tafsiri ya hiyo tamthilia ni kwamba UONDOKEEE...Habari wana JF

Oooo...moyo unauma, Mara mbavu zinakaza, kwanini? Why? Sepaaaaaaaa.........Habari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.
Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.
Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Mkuu mbona unakuwa mkorofi? Zingatia matumizi ya lugha.Kwa hiyo unataka na wewe ushikwe tako? endelea kuweka matako yako kwa shemeji yako badala ya kujitegemea, siku nyingine mchuzi wa pweza na karanga atakula kwa ajili yako.
Halafu alivyo kiazi analalamikia mahari!!! We umekula na kunya kwa shemeji miaka miwili huoni unamtia hasara!! Acha dadayo ashikwe kalio hadi nyonyoAcha uzembe na ukozmen jiongeze ujifungie chumbani tu vinginevyo tafuta pa kukaa mıaka mıwılı unabebwa tu huonı haya? Ipo sıku atajısahau na mkono utahamıa kwako. Mfyuuuuu
Mi niliona ni matangopori kule mwisho alivyoanza habari za pweza na manini sijui!!!Sawa mkuu endelea kutulisha matango pori tu hii ndo jei efuu bwanaa[emoji23][emoji23]View attachment 873012
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utoto unakusumbua kweli, yaonekana Dada yako alikuwa anakupa papuchi enzi ya utoto wake