Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
[emoji8][emoji8][emoji8]Vibao labda angengombana na dada. Dawa ndio hiyo, tena bado kufanya mapenz sebleni, awakute siku moja.
[emoji8][emoji8][emoji8]Vibao labda angengombana na dada. Dawa ndio hiyo, tena bado kufanya mapenz sebleni, awakute siku moja.
ungekuwa shemeji yangu ningekupapasa tu!Mi ni me mkuu hawezi nipapasa
Mkuu wewe si jana tu ulisema uko pentagon unapiga kazi ya electrical engineer ukadai ndio mtanzania wa kwanza kufanya kazi pentagon? Au lilikuwa fiksi? Au ni shemeji yako yuko huko Washington pia?Habari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.
Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.
Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Habari
Vijana someni sana muwakilishe Tanzania nje ya nchi maana nimegundua huku pentagon ninapofanya kazi sasa hivi kama Electrical engineer kuna mtanzania mmoja tu ambaye ni Mimi.
Jitahidini sana kusoma masomo ya sayansi na mfaulu kwa alama za juu kisha muapply scholarships, Mimi nilipata scholarship nikajiunga na chuo cha Harvard miaka kadhaa hapo nyuma.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Hebu subiri kwanza,Acha uzembe na ukozmen jiongeze ujifungie chumbani tu vinginevyo tafuta pa kukaa mıaka mıwılı unabebwa tu huonı haya? Ipo sıku atajısahau na mkono utahamıa kwako. Mfyuuuuu
Naondoka mwezi wa 11
🤔🤔nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.