acha uboya weweSasa ndo mbele yangu
Yeah ndo huuBibah mohd nadhani ule uzi wa jamaa wa milembe ndo huu
Habari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.
Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.
Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
[emoji16] [emoji3] [emoji3] Huyu jamaa ni muongo muongo sananilisikia wewe jamaa ndo mtanzania wa kwanza kufanya kazi pentagon na ukatushauri vijana tuache uvivu tupige shule maana chance zipo mingi sana hapo Washington DC
Sasa huyo shemeji yako ni Trump nini, ndo unaishi hapo kwake !?
Pole sana lakin
Umesharudi pentagon.....?hivi uongo utaacha lini au wewe mwenzetu ni wakiume?Habari wana JF
Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.
Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.
Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.
Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.
Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.
Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Sasa itakuumaje mkuu, we si upo kwa shemeji, amsha uondoke, au shem akiingia ndani ya nyumba we nenda room katulie au kavute fegi kwa mangiHabari wana JF