Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

nilisikia wewe jamaa ndo mtanzania wa kwanza kufanya kazi pentagon na ukatushauri vijana tuache uvivu tupige shule maana chance zipo mingi sana hapo Washington DC

Sasa huyo shemeji yako ni Trump nini, ndo unaishi hapo kwake !?

Pole sana lakin
 
Habari wana JF

Mimi ni mmoja wa vijana wanaoishi kwa shemeji(mume wa Dada) baada ya kutoka nyumbani kwetu babati.

Nimekuwa nikiishi mahala hapa kwa takribani mwaka wa pili sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Tatizo kubwa ni huyu shemeji yangu ananiumiza roho kwa kufanya vitu ambayo kwa namba moja ama nyengine Mimi sipendezwi navyo.

Shemeji amekuwa na tabia ya kunioshea akiwa na dada yangu wa tumbo moja, amekuwa akimchezea dada makalio wakati Mimi naona kwa macho yangu mawili.

Hili swala linaniuma sana ukizingatia jamaa alitoa mahari kidogo tu isiyozidi laki nne katika harakati za kumuoa dada.

Hivi juzi wakati naenda jogging mida ya saa mbili usiku nimemkuta anakunywa mchuzi wa pweza sio siri niliumia sana, bado nilivyorudi hapo nyumbani nilimkuta anakula karanga mbichi.

Naombeni ushauri wanajamvi kabla sijachukua maamuzi magumu dhidi ya huyu shemeji yangu
Hama tu mkuu,mbona solution iko open tu haihitaji akili nyingi[emoji4] [emoji1]
 
Wewe unamatatizo ya akiri,sasa asipomchezea mkewe,akuchezee wewe?,huyo ni mke wake,ana haki zote,
Angekuwa anampiga,hapo sawa,wewe kaka mtu kuingilia,mtoto anashikwa bambataa na mumewe,wewe kaka MTU,unakasirika,sasa unataka ushikwe wewe,na mkuyenge uchapwe wewe?
 
Endelea tu kuishi kwa shemeji yako ipo siku atakupapasa na wewe kalio
 
ilo picha bado, subir maelezo zaidi siku dada ako akiwa period ndo utagundua umefanana sana na dada yako wa damu, kwa kukusaidia nipe number ya shemeji yako nimuuzie kasongo mundende a.k.a vumbi ya congo
 
Back
Top Bottom