Ushauri please: Vidume vyangu vinadundana balaa

Epuka kupiga piga watoto pasipo sababu za msingi kisa tu wanapigana, hiyo ni hali ya kawaida kwa watoto. Hasa mdogo anapenda kuonesha ubabe kwani anajua mkubwa anapendelewa. Ukiwapa kibano kwa style huyo utawafanya wawe wakorofi na watakusumbua hadi utajuta kuwazaa. Lamsingi ni kuwakanya na mda mwngine unajifanya km huwaoni vile. Tuache ubabe wa wazazi wetu walivyokua wanatutolea hasira kitu kidogo tu kibano. Tulee watoto wetu kama wasomi na watu tulioelimika
 
Weka mbali hizo screw drivers asije huyo mdogo akamchomelea nayo jichoni kaka yake. Screw drivers na vitu vyote vyenye ncha kali ni hatari kwa watoto.
 
natumai watakaa sawa ni hatua tu ila zitapita...jitaidi kuwaeka sawa kisha kuwa mvumilivu...
 
Niadopt mimi nije kuwatuliza. Ila nina deni Loan Board.
 
Fungua BOXING...haaaaahh haaahhh jus kidding ni utoto tuu wakikua watapendana tena sio mbali ikifika age ya primary watenge shule zao wata mic one another sio kiu gomvi but just brotherhood
 
Hongera Karucee wanangu pia wamepishana miaka miwili, mdogo ni mtata huyo akishika kitu hata kuwe na watoto Wengine atamdunda dada ake ,huyu mkubwa akikwazika anamdunda mdogo wake wote wanalia,imefika mahali nakaa kimya nawaacha au nawaambia atakayeshinda nampa zawadi wanaachatu kila mtu anapita na shughuli zake.
Ila ni kazi sana kuwahandle
 
Huyo mdogo ni Electrical Engineer, huyo mkubwa ni Lawyer. Hapo lazima ngumi zipigwe. Go with them to the shop.....ask engineer anataka nini mnunulie vya kwake, ask lawyer anataka nini naye mnunulie vya kwake.

Hapo engineer hatakuja kuchukua visivyo vyake maana hakuvichagua. Na mara kwa mara mwambie engineer atunze vitu vyake... Na kila siku jioni Waite wote engineer na lawyers...ukitoka job.... Waambie walete toys zao.

Yule ambaye toys zake hazijahatibika kwa pamoja mnampigia makofi. Engineer atajisikia vibaya next time hataharibu.

Sometimes njoo home na kitu kimoja either pipi, biscuits, juicy wape wagawane wenyewe wewe kazi yako ni kuhakikisha wanapeana equal parts.

Buni michezo yeyote mfano kuvuta kamba wao wakae wawili wewe peke yako na makes sure wao wanashinda. Hii itawajengea bonding na Upendo.

Anyway mambo mengine ukihitaji nitafute
 
Thanks sweetie. Great input.
 
Kawaida sana hy0 kwa watoto waliofuatana.Mimi mwnyewe nimempiga sana mdogo wangu.
 
Dah. Labda nitapata nguvu ya kuwapuuza huko mbele
Weka mbali hizo screw drivers asije huyo mdogo akamchomelea nayo jichoni kaka yake. Screw drivers na vitu vyote vyenye ncha kali ni hatari kwa watoto.
I know mkuu. Kuna zile set za toolbox za watoto ndo huwa anachezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…