GOLDGREEN9
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 351
- 224
Hahaha
Hahaaaa !!!nini !? uchiz wa kujitambua unahitajika hapo ,tena ni vizuri ukiwa unarap pekeyako freestyle pamoja na kuropoka kunaongeza uchangamfu ..Mim nilikuwa hivyo nilisoma vitabu na kuelekezwa kufanya uchiz kwa faida mpaka SAA hii nikichangamka nakuwa kama chiz chiz !!! katika furaha kwa sababu kila kitu nakichukulia simple na kukifanyia chiz komedy