Ushauri: Nina shida ya kutokuwa mchangamfu

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
Wakuu habari zenu,

Nimekuwa na tatizo moja la kutokuwa mchangamfu mbele ya marafiki zangu pindi ninapisalimiana nao pia mimi ni mtu nisiyejali kwa vitu vingi sana mara nyingi uchukulia kawaida tu na sio mpenzi wa kuwasiliana na watu kwenye social media msaada kwa hilo wakuu ni tatizo gani hili.
 
sehem kuu ni kutokua unajiamini sana lakini zaidi hauwezi kujibu wala kuuliza maswali magum unapenda kujiamlia mwenyewe hautaki kushauliwa au kujifunza kupitia mtu mwengine na kua Jasiri wa mahamuzi ...
 
Umegusa wengi mkuu, kuna uzi upo humu unafanania huu..!! Pia kuna rafiki zangu walishaniambia ishu kama hii, kubwa zaidi inaweza ikawa stress za maisha na life style!!
 
Wakuu habari zenu

Nimekuwa na tatizo moja la kutokuwa mchangamfu mbele ya marafiki zangu pindi ninapisalimiana nao pia mimi ni mtu nisiyejali kwa vitu vingi sana mara nyingi uchukulia kawaida tu na sio mpenzi wa kuwasiliana na watu kwenye social media msaada kwa hilo wakuu ni tatizo gani hili
Una umri gani? Kama ni below 25 hizo ni hatua za makuzi zilizochelewa kidogo...fuata moyo wako utakacho usilazimishe usichokiweza utaishi kwa maumivu
Kama huna social activities jichunguze ni kitu gani kinakupa furaha kisha kifuate hicho lakini angalia kisiwe na makwazo kwa wengine
Furaha yako ndio muhimu kuliko chochote kile kwakuwa furaha huleta matumaini furaha ni afya ya akili na mafanikio
 
Una umri gani? Kama ni below 25 hizo ni hatua za makuzi zilizochelewa kidogo...fuata moyo wako utakacho usilazimishe usichokiweza utaishi kwa maumivu
Kama huna social activities jichunguze ni kitu gani kinakupa furaha kisha kifuate hicho lakini angalia kisiwe na makwazo kwa wengine
Furaha yako no muhimu kuliko chochote kile kwakuwa furaha huleta matumaini furaha ni afya ya akili na mafanikio

Below 25
 
Then I got it right ni kipindi kitapita ila kumbuka ndio unajishape hivyo hivyo kuwa makini na maamuzi yako mengi ya sasa hasa anza kujifunza kutopaniki au kuwa na majibu ya haraka
Kuna nyakati utajikuta unataka kulia au unakasirika tu bila sababu au unakata tamaa huku ukiwa na options nyingi sana na ndoto nyingi
Just come down everything will be alright
 
...aisee!, yani nikikusoma wewe, halafu nikimkumbuka yule aliyemwambia afanye mapenzi mara kwa mara!, mbingu na ardhi.
 
Back
Top Bottom