Mleta mada umegusa sana life stlye yangu kwa % kubwa yaani tabia yangu ni kama yako kabisa afu kubwa Zaidi mimi kuongea mbele za watu huwa nashindwa nilikuwa napata shida sana wakati wa presentation mdomo unakuwa mzito kabisaa
Nimejaribu kujimix na watu nimeshindwa cz mimi siyo mtu wa story sina marafik chuo mtaani mda wote nipo kivyangu yaani ni vingi napitia
Ndugu mshana nashukuru kwa ushauri wako atleast nimepata kitu
Tunaomba wadau wengine mtupe ushauri nini tufanye Zaidi kuepuka hii hali
Una umri gani ndugu yangu,
Uchangamfu wa mtu huletwa na mambo mengi. Mosi Hujiamini.
Kujiamini ni tiba pekee ya tatizo linalokukabili. Ikiwa utafanikiwa kuongeza hali ya kujiamini itakuwa mchangamfu sana.
Kwanini nasema hivi!!
Unapokuwa mbele za watu Mara nyingi huwa unakuwa muoga wa kuchangia aidha made inayozungumzwa kutokana na hofu na kutokujiamini kwako kulikopitiliza kiasi kwamba unahisi utakachokisema au kukitenda hakitapokewa au kukubaliwa na wengine.
Unataka nikusaidie!! Nitafute PM
...pata picha angekuwa mdogo wako,ndio kakufuata dada kwa ushauri!
Ndo ujue kuna watoto na watu wazima humu. 😀...aisee!, yani nikikusoma wewe, halafu nikimkumbuka yule aliyemwambia afanye mapenzi mara kwa mara!, mbingu na ardhi.
Hii kitu inanisumbua sana aisee yani umeeniogea mm 100% na maamuzi ya gafla hata kwenye jambo la muhimu siogopi kupata hasara hata kama kuna ishu ambayo nimeitolea hela mtu akinikwaza tu kidogo naitelekeza bila kufikiria mara mbili mbili! Napenda sana kudharau watu hata kama wamenizidi kipato sijali, Sipendi kukaa na marafiki kiufupi sina marafiki najitenga nao sanaa hata nikikaa nao siogei chochote nawaskiliza tu wanacho ongea!! Na kama nimekaa na mpenzi wangu hata kama sijamkosea na yeye hajanikosea tunacheka na weza kuchukua maamuzi ya gafla na kumtimua bila sababu asipo ondoka nasepa mim!!Then I got it right ni kipindi kitapita ila kumbuka ndio unajishape hivyo hivyo kuwa makini na maamuzi yako mengi ya sasa hasa anza kujifunza kutopaniki au kuwa na majibu ya haraka
Kuna nyakati utajikuta unataka kulia au unakasirika tu bila sababu au unakata tamaa huku ukiwa na options nyingi sana na ndoto nyingi
Just come down everything will be alright
Jitahidi ubadilike kwasasa it's alright lakini in future itakusumbua sanaHii kitu inanisumbua sana aisee yani umeeniogea mm 100% na maamuzi ya gafla hata kwenye jambo la muhimu siogopi kupata hasara hata kama kuna ishu ambayo nimeitolea hela mtu akinikwaza tu kidogo naitelekeza bila kufikiria mara mbili mbili! Napenda sana kudharau watu hata kama wamenizidi kipato sijali, Sipendi kukaa na marafiki kiufupi sina marafiki najitenga nao sanaa hata nikikaa nao siogei chochote nawaskiliza tu wanacho ongea!! Na kama nimekaa na mpenzi wangu hata kama sijamkosea na yeye hajanikosea tunacheka na weza kuchukua maamuzi ya gafla na kumtimua bila sababu asipo ondoka nasepa mim!!
Check hili jitu! Yaani unawaza tu ngono! Watu wanaoitwa cesilia ni mijitu nyeusi tii na ina roho mbaya balaaa!fanya mapenz mara kwa mara utapona
chuo umefukuzwa kilaza umeitwa unadhani mimi nitakusaidia nini poleCheck hili jitu! Yaani unawaza tu ngono! Watu wanaoitwa cesilia ni mijitu nyeusi tii na ina roho mbaya balaaa!
Jambo la kwanza na muhimu, je? upo tayari kubadilika. ( tunasubili jibu)
punguza muda wa kushika masmartphone wewe tatizo lako limesababishwa na addiction ya electronic devices kamq kompyuta na ma playstation